Mazishi ya Bilionea SAMBEKE yatikisa mji

Mazishi ya Bilionea SAMBEKE yatikisa mji

Kumbe uislam una mafundisho mazuri kama haya,sasa hawa mashekhe ubwabwa kila kukicha wanahubiri ukristu na wanawake ndo wanawapotosha watu. Asante mkuu ujawe na hekima uendelee kuelimisha

Nimezipokea shukrani zako !
Hakika Masheikh wetu ni Bin adamu hivyo wana udhaifu kama watu wengine. Mara nyingi watu wengi wasioelewa wala kusoma Uislaam huleta mambo ya vijiweni au uzushi pasi na elimu yeyote.
Hao masheikh ubwabwa, hawana tofauti yeyote na wale wachungaji wanao kesha kuhimiza watu waje makanisani kuwaombea utajiri ! ......umaskini ni sehemu ya uwepo wa neema ya Mwenyezi Mungu. Sadaka na Zaka ni kwa ajili ya Maskini. Tutajitahidi kadri tutakavyojaliwa kuelimisha watu ili waepukane na dhana potofu za mitaani. !
 
kuwa mstaarabu,acha kashfa mkuu na heshimu imani ya mwenzako.
kitu unachokiona kwako ni haram its just u wengine sio haramu usitake kujiaminisha kuwa kile unachokiamini ni sahihi sana,la sivyo hizi financial institution zisinge exist tena wala kuwepo kabisaaaaaaaasijadharau imani ya mtu wala sikuwaza hivyo neno riba sio specific kwa watu fulani tu
its a financial term and its what we are talking about
 
Baaadhi ya viongozi waliokuwepo ni LAZARO NYALANDU,CRYL CHAMI,JOSHUA NASSARI,LUCY OWENYA,GAUDENZI LYIMO,DC WA ARUSHA,MABRIGEDIA NA MAKANI WA JESHI,WAKUU WA TAASISI ZA KIFEDHA,WAKURUGENZI WA MAKAMPUNI MBALIMBALI NCHINI,MAJAJI WAKIONGOZWA NA AISHA NYERERE,MAWAKILI NA WANASHERIA MBALI MBALI NA WENGINE WENGI AMBAO WALIWAKILISHA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MAGARI YA KIFAHARI ZAIDI 800 YALIHUSIKA NA MSIBA HUU PAMOJA NA NDEGE

.........Lakini Jamhuri ilienda kumzika Bi Kidude bint Baraka, ikiongozwa na mkuu wa kaya ! (Marais wawili na makamu watatu !) Pamoja kuwa alikuwa muimba Taarabu na alikuwa ni 'Elifunea' !!!
 
cc: Matola hahahahahahaahahahaha hutaki unaacha huwezi jeuza direction ya upepo

With all due respect to Chagaz, kwa hiyo jeuza NIvea umedhihirisha kwa nini unatetea utakatishwaji Fedha haramu, tena zinazotokana na kutoa roho za watu.

Tutafute pesa kihalali tukikumbuka kuwa duniani tunapita na hatutaondoka nazo.
 
Last edited by a moderator:
.........Lakini Jamhuri ilienda kumzika Bi Kidude bint Baraka, ikiongozwa na mkuu wa kaya ! (Marais wawili na makamu watatu !) Pamoja kuwa alikuwa muimba Taarabu na alikuwa ni 'Elifunea' !!!

Cha kusikitisha hata nyumba ya maana hana!! walionesha gofu ambalo waliishi na mama yake (nafikiri ni la urithi). She died poorly, very poor. Sijawahi kusikia if she had a family of her own (husband and children). Nimejifunza mengi kupitia kifo chake.
 
with all due respect to chagaz, kwa hiyo jeuza nivea umedhihirisha kwa nini unatetea utakatishwaji fedha haramu, tena zinazotokana na kutoa roho za watu.

Tutafute pesa kihalali tukikumbuka kuwa duniani tunapita na hatutaondoka nazo.
kuna mtu anaweza taja hapa huyu bwana amemuua nani ili kuwa billionea ?
 
cha kusikitisha hata nyumba ya maana hana!! Walionesha gofu ambalo waliishi na mama yake (nafikiri ni la urithi).died poorly, very poor. Sijawahi kusikia if had a family of her own (husband and children). Nimejifunza mengi kupitia kifo chake.
du ???????????? ndio mnachofata kwenye mazishi eeeee
 
Pia msiba huu umetumiwa vizuri na wakazi majirani na marehemu kwn walifungua baa za dharura na Sehemu za nyama choma tokea msiba huo utokee na wote wanasema wameukata kwani waliwekuuza nyama choma mpaka kilo 200 kwa siku na makreti yakutosha R.I.P BILIONEA SAMBEKE

mabilionea wengine wanaweza kuibukia hapo!
 
du ???????????? ndio mnachofata kwenye mazishi eeeee
Mkuu Nivea, siyo tunachofuata kwenye mazishi, ila kwa jinsi alivyofanya kazi za kisanii na kulitangaza taifa hili nilitegemea alipata kipato cha kujiweka sawa kimaisha. Kwani kazi za usanii hazilipi? Si walimtumia pia katika ile kampeni ya malari, hawakumlipa? Si alitumika sana kutangaza utalii wa tanzania kupitia muziki wa taarabu, hawakumlipa? Ndicho nilichouliza na si vinginevyo. Hope umenielewa.
 
basi tuseme alivutia sigara zote
 
basi tuseme alivutia sigara zote
Haiwezekani hata kama alikuwa chain smoker!! Ni majibu kuwa usanii kama usipokuwa makini hujijengi kimaisha, kwa usanii wa kibongobongo!!! Si unajua hata maarufu kama kina marehemu Kanumba hawakuwa wamejenga pamoja na kuwa na hela kiasi, japo si za kuitwa milionea. Kuna mashetani yanakula hela nini huko!! Just curious to know!!! Usinituage jiwe Nivea.
 
Back
Top Bottom