Mazishi ya Bilionea SAMBEKE yatikisa mji

Mazishi ya Bilionea SAMBEKE yatikisa mji

ku argue na watoto wa kiume wa kizazi hiki ni tofauti na mwanaume wa kizazi cha nyuma mtu anawaza eti tigo,eti jf sio ya wachagga????who say so!!!!panua wigo wako wakufikiri mkuu Matola think outside the box na usione kila kitu ni ajabu kwako kama unamwona huyu ni waajabu basi wanaosafirisha mnyama mzima ,mikataba ya uongo kujineemisha ,wanafuja hela za kodi za wananchi kujineemisha , hawa basi kwako ni malaika walioshushwa akati mimi hapa nawaweka kwenye kundi moja na alex massawe,sambeke na wengine wengi
Hapa naona unazuguka tu na wala huna hoja, hit the point vunja mfupa kwa hoja na si porojo, rejea post zako kwanza ndio utajuwa msingi wa mimi kuclash hoja zako nyepesi, sasa badala ya kuzivunja hoja zangu kwa hoja wewe unaleta ngonjera!!

Msimamo wangu uko pale pale Jambazi hawezi kuwa role mode wangu, na ni heri nife maskini kuliko kuwa na utajili wenye damu za watu, cha kushangaza Moshi ndio kuna waumini wakubwa wa dini ya Kikristo, haya ni maajabu kabisa.
 
Jamal Sambeke mtoto wa marehemu akifunga jeneza la baba yake mara baada ya watu mbalimbali kutoa heshima zao za mwisho nyumbani kwake njiro Themi Mkoani Arusha

dscf8833.jpg

Nitampataje? He got sexy eyes
 
Alishawahi kukuibia na una ushahidi? Mbona hukuvitaarifu vyombo vya usalama kabla ya kifo chake?

Na zaidi sana[MENTION] ntogwisangu[/MENTION] mtoa hukumu wa mambo ya duniani ni Mungu ndiye anayeyajua yote hayo tuacheni story za mitaani unajua kama alisharekebisha na Mungu wake.

Kwa wale wenye imani ya KIMUNGU wanaamini kuwa Mungu ni mwema na mwenye huruma nyingi na mwenye kusamehe, hivyo huwezi kujua yeye anamchukuliaje mtu mwovu na kama mungua angelikuwa binadamu basi leo hii mimi na wewe tusingalikuwako.
 
]Tupo kwenye mazishi ya bilionea Sambeke[/COLOR] watu ni wengi na bdo wanazidi kuingia wafanyabiashara wote wa mji wako hapa ni kama shughuli zimesimama umati ni mkubwa.
cc: Matola hahahahahahaahahahaha hutaki unaacha huwezi jeuza direction ya upepo
 
Last edited by a moderator:
Tokea jana shughuli inaendelea mpaka jmosi.kwa wale wanaodaiwa/wanaodai Wanatakiwa kufika nyumbani hapo saa 4 asubuhi mapema jmosi
 
Baaadhi ya viongozi waliokuwepo ni LAZARO NYALANDU,CRYL CHAMI,JOSHUA NASSARI,LUCY OWENYA,GAUDENZI LYIMO,DC WA ARUSHA,MABRIGEDIA NA MAKANI WA JESHI,WAKUU WA TAASISI ZA KIFEDHA,WAKURUGENZI WA MAKAMPUNI MBALIMBALI NCHINI,MAJAJI WAKIONGOZWA NA AISHA NYERERE,MAWAKILI NA WANASHERIA MBALI MBALI NA WENGINE WENGI AMBAO WALIWAKILISHA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MAGARI YA KIFAHARI ZAIDI 800 YALIHUSIKA NA MSIBA HUU PAMOJA NA NDEGE
 
Pia msiba huu umetumiwa vizuri na wakazi majirani na marehemu kwn walifungua baa za dharura na Sehemu za nyama choma tokea msiba huo utokee na wote wanasema wameukata kwani waliwekuuza nyama choma mpaka kilo 200 kwa siku na makreti yakutosha R.I.P BILIONEA SAMBEKE
 
Alishawahi kukuibia na una ushahidi? Mbona hukuvitaarifu vyombo vya usalama kabla ya kifo chake?
Hustoria yake inajulikana vema,alikuwa mwizi toka akiwa shule tena ya msingi pale Jamhuri Moshi na ndiye aliyesababisha hata kifo cha baba yake aliyekuwa na duka la nguo pale soko kuu Moshi akipakana na duka la redio la Panjwani,huo ubilionea kautoa wapi,ulizia vizuri Dar alikuwa anashirikiana na nani na marafiki zake ni kina nani.ukweli utaujua kuhusu fedha zake.kwanza ulizia chuo alichosomea kurusha ndege kiko wapi au alipataje ujuzi wa kurusha ndege,haya ni maisha mengine we mezea kwani mwenda keshatangulia.
 
Sambeke sidhani kama ni haki kumuita bilionea, unless kuwe na ushahidi wa kutosha kuhusu hilo jamani. RIP Bob Sambeke.

Kwanini unaumia mkuu? Huyu jamaa nimemjua ni tajiri wakati nipo chekechekea pale korongoni church moshi,jamaa anakopesha makampuni,serikali na watu binafsi.Siku hizi nyumba na viwanja bei zinachezea kwenye bilion kadhaa na watu KILA SIKU wanauza na kununua,au wewe unatafsiri vp bilionea?hizi sio zama za kale mkuu watu wana hela,zinapatikana kwa njia gani hilo kila mtu anajua mwenyewe
 
Baaadhi ya viongozi waliokuwepo ni LAZARO NYALANDU,CRYL CHAMI,JOSHUA NASSARI,LUCY OWENYA,GAUDENZI LYIMO,DC WA ARUSHA,MABRIGEDIA NA MAKANI WA JESHI,WAKUU WA TAASISI ZA KIFEDHA,WAKURUGENZI WA MAKAMPUNI MBALIMBALI NCHINI,MAJAJI WAKIONGOZWA NA AISHA NYERERE,MAWAKILI NA WANASHERIA MBALI MBALI NA WENGINE WENGI AMBAO WALIWAKILISHA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MAGARI YA KIFAHARI ZAIDI 800 YALIHUSIKA NA MSIBA HUU PAMOJA NA NDEGE

------Duh
 
Kwa kweli mimi najua alikuwa ni mmiliki mwenza wa ASANTE TOURS yeye pamoja na Cuthbet Mbowe .pia alikuwa ndio mkopeshaji mkubwa wa hela ya riba hata kama ni bilion tano unapata. Vile vile alikuwa na mashamba makubwa ya ngano kule west kilmanjaro ambako ndiko alitokea kabla hajapata ajali.

Cuthbert Swai sio Mbowe
 
Mishemishe ni nini?

Mkuu unajuwa huyu mtu alikuwa pia akiogopa kufuatiliwa na maccm si unajuwa ukiwa na pesa na mtu kama yule wanaweza kukufilisi.
Sijui kiiasi cha pesa alizonazo,lakini ni ukweli amekopesha watu sana na ana assets zenye kufikia billion ya madafu.

Huyu jamaa tayari alikuwa ni mtu mishemishe.Usitegemee kuona figures za utajiri wake kama unavyoona kwenye forbes.
 
Serious???

cc Matola

ndio maisha waliochagua usitake kila kitu kifanane .nakumbuka ulipinga sana utajiri wa mawala !!!!here again .inaonyesha una allerge na kuwa tajiri eeee ......whatever he got his richness i respect him ,rather than die poor.
 
Last edited by a moderator:
Two wrongs doesnot make it right, ni kweli?

ku argue na watoto wa kiume wa kizazi hiki ni tofauti na mwanaume wa kizazi cha nyuma mtu anawaza eti tigo,eti jf sio ya wachagga????who say so!!!!panua wigo wako wakufikiri mkuu Matola think outside the box na usione kila kitu ni ajabu kwako kama unamwona huyu ni waajabu basi wanaosafirisha mnyama mzima ,mikataba ya uongo kujineemisha ,wanafuja hela za kodi za wananchi kujineemisha , hawa basi kwako ni malaika walioshushwa akati mimi hapa nawaweka kwenye kundi moja na alex massawe,sambeke na wengine wengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom