Mazishi ya Bilionea SAMBEKE yatikisa mji

Mazishi ya Bilionea SAMBEKE yatikisa mji

Tupo kwenye mazishi ya bilionea Sambeke watu ni wengi na bdo wanazidi kuingia wafanyabiashara wote wa mji wako hapa ni kama shughuli zimesimama umati ni mkubwa.

Nakumbuka wote hawa waliwahi mapema sana na kwa gharama kubwa kwenda kunywa "kikombe Cha babu". Lakini Mwenyezi Mungu anajia zake....Tusimsahau Mola. Pole sana na Msiba mkuu. Hata mimi unanigusa pia.
 
Haiwezekani hata kama alikuwa chain smoker!! Ni majibu kuwa usanii kama usipokuwa makini hujijengi kimaisha, kwa usanii wa kibongobongo!!! Si unajua hata maarufu kama kina marehemu Kanumba hawakuwa wamejenga pamoja na kuwa na hela kiasi, japo si za kuitwa milionea. Kuna mashetani yanakula hela nini huko!! Just curious to know!!! Usinituage jiwe Nivea.
mali bila daftari huisha bila habari!!!jiulize pia hakuwa mtu wa club wala luxurious life kama hao kina kanumba
 
Nakumbuka wote hawa waliwahi mapema sana na kwa gharama kubwa kwenda kunywa "kikombe Cha babu". Lakini Mwenyezi Mungu anajia zake....Tusimsahau Mola. Pole sana na Msiba mkuu. Hata mimi unanigusa pia.
what do u want to insinuate here!!!!!
 
Most importantly, He is gone and am not sure if history will remember him.
 
mali bila daftari huisha bila habari!!!jiulize pia hakuwa mtu wa club wala luxurious life kama hao kina kanumba

Nivea, mimi naona huwa wanapata hela za pupa wakiamini watapata kila siku kumbe usanii unahitaji ubunifu kitu ambachoo wabongo hawana. Pia sanaa inabidi uwe mtu wa kubadilikabadilika na umri kama wafanyavyo wenzetu wazungu. Sasa msanii unakuwa na fani moja tu, kuimba na unafika mahali kama si mbunifu unachuja. Bora hata wale wa filamu wanabadilika wana play roles mbalimbali.
 
Aisee swali halijibiwi hivi! Jibu swali vizuri! Mali zake ni siri sana?

issue ya kuwa bilionea ni nyingine. ila jamaa ana hela na assets za kutosha. Ana land cruiser nyingi na nyumba nyingi. Pia anakopesha hela instantly ukikamilisha vigezo. Ukizingua kwenye kulipa, ndo utamjua Babu Sambeke ni nani. Ananunua na kuuza Nyumba na Magari. Anauza baada ya kufanyia ukarabati mkubwa. Ni mtemi na ana connection kubwa na wakuu wa Polisi na viongozi wa Juu. Thats all i know about him
 
*Nimegundua marehemu hakuwa billionare bali ana singiziwa tuu!

*Hakuna aliyeweza kueleza vyema mali alizokuwa ana miliki au hata assets!

*Hakuna aliyeweza kueleza pengine wapi assets zake zina patikana wapi au hata kwa picha!

*Nime gundua marehemu alifanya mambo yake kwa siri sana na ndio maana hakuna anaye mfahamu kabisa!

*Nimegundua marehemu alikuwa na biashara zisizo za halali ndio chanzo cha usiri huo!

Mungu amlaze marehemu panapo stahili na tuache kumsingizia hakuwa billionare bali alimiliki ndege!
 
Cha kusikitisha hata nyumba ya maana hana!! walionesha gofu ambalo waliishi na mama yake (nafikiri ni la urithi). She died poorly, very poor. Sijawahi kusikia if she had a family of her own (husband and children). Nimejifunza mengi kupitia kifo chake.

...............over 100 years of age, na pamoja na kulala na njaa mara moja moja !:yo:
 
*Nimegundua marehemu hakuwa billionare bali ana singiziwa tuu!

*Hakuna aliyeweza kueleza vyema mali alizokuwa ana miliki au hata assets!

*Hakuna aliyeweza kueleza pengine wapi assets zake zina patikana wapi au hata kwa picha!
Umegunduaje kuwa anasingiziwa?

Je hujagundua pia kuwa pesa ni asset?
 
Mhhh unataka ufaidi mali za urithi wanawake wa kiswahili bana

Amenivutia tu jamani kwani hata mimi nitakuwa namsaidia maana nina za urithi kama yeye, tatizo za kwao wako wengi mimi tuko wawili tu
 
Ni PM usisahau kuweka na picha yako! Mi nitakuunganisha naye! Usisahau gharama za kuunganisha!

Picha tena si atakataa hata kuongea na mimi. Wewe unganisha tu na malipo si unaona urithi hapo dogo kaupata.
 
Watu wana exaggerate sana! Sijauona ubilionea hapa!
Sio ku-exaggerate mkuu, mtu hujawahi kushika hata million I tangu uzaliwe, halafu unaambiwa jamaa alikuwa,anakopesha hadi bilioni 5! Utaachaje kumuita bilionea? Unajua mtu wa,aina hiyo akipewa 50m anaweza kufa kwa kihoro? Wachezea pesa wewe
 
Nimezipokea shukrani zako !
Hakika Masheikh wetu ni Bin adamu hivyo wana udhaifu kama watu wengine. Mara nyingi watu wengi wasioelewa wala kusoma Uislaam huleta mambo ya vijiweni au uzushi pasi na elimu yeyote.
Hao masheikh ubwabwa, hawana tofauti yeyote na wale wachungaji wanao kesha kuhimiza watu waje makanisani kuwaombea utajiri ! ......umaskini ni sehemu ya uwepo wa neema ya Mwenyezi Mungu. Sadaka na Zaka ni kwa ajili ya Maskini. Tutajitahidi kadri tutakavyojaliwa kuelimisha watu ili waepukane na dhana potofu za mitaani. !

Unakosea hapo unaposema wachungaji na hili ndo tatizo lenu wengi wa huko lazima mnatafuta kitu kidogo hata hamjui vizuri mnakisimamia. Wale hawahubiri utajiri ila wanakwambia kabisa dhambi zako ndizo zinakufanya hufanikiwi na ukitaka ufanikiwe ni lazima uache kinyongo, ugawe kidogo ulicho nacho na mambo yote yanayomuudhi Mungu utafunguliwa na kufanikiwa. Sasa nyie mlio nje mnatafsiri neno moja njoo utajirike unasimama nalo wala huelewi linamaanisha nini. Yaani kumbe huna tofauti nao kabisa kwanini sasa?
 
Back
Top Bottom