lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,305
- 34,272
Du aisee kweli we jamaa ni mtu wa mission ngumu Lol,we commando aisee.nimejiridhisha aloo.halafu unaonesha hukubali kushindwa ukiamua lako.Naona mnafufua hili kaburi--- . ..
Ngoja sasa ni wape hii ya kwangu....nakumbuka ilikuwaga mwaka 2006 kijitonyama'karibu na mitaa ya lodge 1 hivi inaitwa (sisimko)
''Kuna Mama mmoja (1) alikuwa ana mshobokea sana broh wangu" In short alikuwa anamtaka kimapenzi"......Mbaya zaidi Alikuwa Akiniona mimi kwa mbali alikuwa ana nifananisha na broh (Mimi na kaka yangu tuna fanana sana"
Basi bwana ikaenda Zile shobo za yule mama zikaja kuzaa Matunda (yeye na broh wakapeana mautamu)
Basi broh kesho yake siakaja kunipa detail zote'' (hapa niwe muwazi kaka yangu huyu huwa ana tabia ile ya kupenda kuongea mambo yake anayo yafanyaga faragha)
Basi alivyokuwa ana nihadithia ikawa anazidi kunichanganya aisee...Namimi nikajikuta naanza kumtamani yule m-mama" Baada ya siku 2 "3. ..Mungu bwana hamtupi mja wake ' ilikuwa ni mishale kama ya saa 5 hivi that day broh hakurudi home... Basi nikajitoa ufahamu na kuitumia hiyo kama opportunity (si nilikuwa najua kuwa yule mama ana tufananisha" Basi nikavaa Nguo za broh " kisha nikaenda mpaka kwa yule M-mama alikuwa anaishi nyumba ya 3 kutoka ilipokuwa nyumba yetu"....
Vyumba vyake vilikuwa vya nje' na kwakuwa nyumba yao haikuwa na Gate basi ilinipa wepesi wakufika mpaka katika chumba chake nika mgongea"
Yule mama akaniuliza wewe nani ?
Bila ya kusita nikamtajia jina la broh Akajisogeza mpaka mlangoni akafungua mlango----wakati huo nyumba aliyokuwa anaishi siku hiyo umeme ulikuwa umeisha (Hiki kilikuwa ni kile kipindi cha,kununua,umeme wa,luku dirishani so wakati ule ili upate umeme ilikuwa inakulzimu ukae,kwenye foleni ndefu sana mpaka zamu yako ifike)
Basi nilipoingia ndani nikakuta amewasha mshumaa" then pembeni amelala na,mtoto mimi moja kwa moja nikaenda kuuzima,ule mshumaa"
Akaniuliza mbona umezima mshumaa sasa" nikamjibu kuwa sio vizuri mtoto kuniona Huwenda ikawa hajalala kama vile tunavyo dhani--- (hahaa haa haa)
Si akakubali maneno yangu---
Basi,bila kuchelewa kaka/Mdogo wenu nikaanza kujilia Tunda Aisee........ Siku ile nilikula sana mambo ya yule M_mama she was so sweet aisee. asikuambie mtu hawa wamama waliozaa ngozi zao za mwili huwa kama zimelegea fulani hivi basi ukizipapasa huwa zinakuwa na mvuto/msisimko wa hatari......
Baada ya kuruka nae sana""na kutosheka nikavaa nguo zangu " nikaondoka zangu home..huku nikiwa siamini kwamba,tukio la hatari nililo lifanya halijaweza kushtukiwa"--..in short mazingira ya hatari yapo mengi sana nikianza kuongea humu nitajaza server..............BTW nyege mbaya sana