Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Samboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2011
Messages
4,492
Points
2,000

Samboko

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2011
4,492 2,000
Nshafanya sehemu hatarishi mara kadhaa, lakini hii hadi nikiikumbuka sijui najionaje,
Nilikua na mahusiano na mdada mmoja hivi mme wake ni mtu mzima kiasi ambae ni boss wangu, sasa walikua jubilee ya miaka kumi ya ndoa yao tukaenda kijijini kwao kusheherekea, siku mbili baada ya sherehe mchana na mme wake yupo nje na watu wengine, mdada kanipigia simu njoo nyumba kubwa nikaenda akaniambia ana hamu ya kugegedwa nikamwambia tuende wapi sasa akasema hapahapa, nilishtuka kidogo kwa mazingira yaliyokuwepo akaanza kushushq pichu nikasema ngoja nimhudumie fasta, dk tano tayari kishapiz na bado akataka apate cha pili, anakuja kupata cha pili tumetumia zaid ya dk 15 akaridhika, lakini wakati wote huo mi akili yangu ilikua kwenye milango ya nyumba kusikiliza kama kuna mtu anakuja, ila nyumba ilikua kubwa sana na ina milango kama minne hivi hadi ufike tulipokua.
Baada ya kutoka pale nilijiona mjinga sana kukubali tufanye kule ndani hata mzee niliona sana aibu kumwangalia.
 

Forum statistics

Threads 1,357,971
Members 519,129
Posts 33,156,655
Top