Mayai ya Bundi ni zaidi ya dhahabu

Chakwanza uhakikishe umerusha wembe na umenaswa Kama sumaku na lile yai la Bundi. Kisha panda bus la kwenda Tarime ikifika nambie mi nipo Kehancha
Kwa uelewa wangu mdogo, sumaku unaweza kuipata ukiwa na mzunguko wa waya na umeme, uwe na metali yenye asili ya usumaku, au usugue kitu kimoja na kingine na kwa namna chache nyingine, isiyohusisha yai lenye Gamba la calcium na Ute wa protein isopokuwa tu Gamba la yai limesuguliwa na kitu kingine....
Najaribu kufikiria Kama mkulima kwenye hii sikukuu yetu ya wakulima.
 
Bundi Huyu Huyu Mchuro
Ukiitiwa Fursa Ujue Wewe Mwenyewe Ndiyo Fursa
Mwaka Huu Usiishe Bila Kutenda Miujiza
 
Kwa uelewa wangu mdogo, sumaku unaweza kuipata ukiwa na mzunguko wa waya na umeme, uwe na metali yenye asili ya usumaku, au usugue kitu kimoja na kingine na kwa namna chache nyingine, isiyohusisha yai lenye Gamba la calcium na Ute wa protein isopokuwa tu Gamba la yai limesuguliwa na kitu kingine....
Najaribu kufikiria Kama mkulima kwenye hii sikukuu yetu ya wakulima.
Wewe unaongelea physics wakati mie naongea miujiza
 
MYai ya Bundi ni kama mayai mengine tu, Bundi ni ndege kama ndege wengine shida ni kwamba yeye huwinda usiku tu na si mchana

Wewe ndo utakuwa na hayo mayai sasa unatafita watu waingie chaka baadae uje kwa ID nyingine kwamba unauza mayai ya bundi kumbe ni wewe ndo ulileta tangazo kwamba unayasaka ila baadse utakuja na ID nyingine kwamba unayauza au unajua mtu alie nayo
 
Mayai ya Kware ni Bishara sema Wabongo tu uwezo wetu wa kuchanganua mambo ndo kikwazo.

Kware mayai yake yabaliwa kama mayai tu ya kuku au Bata unaweza kaanga au kuchemsha, pia nyama ya kware ni tamu sana
Motivational speaker mumekuja na jipya baada ya mayai ya kware kudoda, hao bundi sihuwa wanaogopeka kwa uchuro na nuksi.
 
Mayai ya Kware ni Bishara sema Wabongo tu uwezo wetu wa kuchanganua mambo ndo kikwazo.

Kware mayai yake yabaliwa kama mayai tu ya kuku au Bata unaweza kaanga au kuchemsha, pia nyama ya kware ni tamu sana
Mie kware tangu utoto nilikuwa nawaona nimekua nikashangaa eti imekuwa biashara kubwa kila mtu kware kware Mara vile kikapanda mpaka mayai yakawadodea. Naamini mayai yake ni ya kawaida ka yalivo ya kuku, na Sasa wameanza ku promote mayai ya bundi
 
Utapeli ulikuwa kwenye kutibu mara kisukari mara kansa.

Ila kwa biashara bado ni bishara mimi nawafuga ila ni wale wakubwa Jumbo na Giant na kuna super Market huwa na suppy mayai ila wateja ni Wazungu na wahindi na Wachina, kwenye Nyama siuzi Super market ila nina wateja ambao huwa wanapelekewa nyumbani walio Chinjwa
Mie kware tangu utoto nilikuwa nawaona nimekua nikashangaa eti imekuwa biashara kubwa kila mtu kware kware Mara vile kikapanda mpaka mayai yakawadodea. Naamini mayai yake ni ya kawaida ka yalivo ya kuku, na Sasa wameanza ku promote mayai ya bundi
 
Hizi biashara zinazopendwa na wachawi ukisikia ndio hizi. Kwanza kuyapata mayai ya bundi tu shughuli labla uwe mwanga unapopaa na ungo misituni ndio unaweza ukayaona
 
Back
Top Bottom