Mayai ya Bundi ni zaidi ya dhahabu

Dah we jamaa ni hatari sana yaani unaandika kama jamaa flani wa kutoka kijijijni sana kumbe umeweka mtego
 
Mimi nakwambia tafuta ukiyapata nakutoa namba za mnunuz bila Mimi kuingilia biashara zenu.
Mbona hukuendelea kutafuta million 16 ilikutosha kuacha hiyo kazi rudi porini mzee yatafute mayai kama 1000 hivi ndio uache hiyo biashara
 
Mbona bundi wanaishi kwenye dari langu. Usiku wanatoka na asubuhi wanarudi kulala.
Huko darini wanaweza kutagiapo kweli?
kama vipi njoo tuweke mtego
 
Habari zenu!

Naomba leo nitoe ushuhuda hapa jukwaani. Kwanza nipende kutoa shukurani kwa Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kuniweka hai kwani wengi Sana walitani kuishi ama kupata bahati Kama yangu lakini hajaweza kupata.

Kiu kubwa ya mwanadamu ni kupata mafanikio katika maisha. Wengi tunatamani mafanikio ya kiuchumi kwani bila haya hatuwezi kuheshimika ktk nyanja zingine za kijamii kama ndoa n.k.

Wengi wetu tumekuwa tukipigana kuufuza umasikini bila mafanikio lkn leo naomba kukufumbua watu macho kuhusiana na mayai ya bundi. Nakumbuka nikiwa form mwaka 2010 nilipewa mchongo na mjomba wangu alisema Kama utani. Aliniambia ukipata mayai ya bundi nambie nikuoneshe pesa ilipo.

Aisee kwa vile huwa nina uchu na utajiri niliyasaka sana huko mbungani kwa kweli mungu siyo Athumani mnamo mwezi Kama huu nilipanda kwenye mkuyu mkubwa Sana. Nilishangaa bundi unaruka usawa wangu nikatetemeka kidogo nianguke ila nilivumilia tu. Baada ya kutulia nikaangalia vzr nikapata Kuna mayai mawili yanakaribiana na mayai ya kuku. Aise nilikimbia mpaka centre ya Kijiji nikanunu wembe wa topaz. Nikaenda kutest kweli wembe ukanasa.

Nifupishe stori tu. Nilipeleka akanipeleka Mji wa Kisumu Kenya tukauza KSh 10m tukaja tukabadilisha ila kwa bahati mbaya Sana Mimi nilipata kama 16m za kitanzania tu. Sijui zingine zilienda wapi ata. Kuanzia siku hiyo Sina maisha mabaya sana kwani nilifanikiwa kuanzisha biashara zangu na nimejenga na umri nilionao unaruhusu kabsa.

Namshukuru Mungu
Wizzy wizzy....

 
Back
Top Bottom