CCM Music
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 1,036
- 1,782
- Thread starter
- #21
Maxence Melo kama unanisikia chukua huu ushauri:
Peleka JF next levels kutokana na mazingira ya kitanzania.
Mfano:
Tengeneza Jukwaa la 'Private ama VIP'. Hili jukwaa liwe la kulipiwa ili ujiunge.
Ndani ya hili jukwaa kuwepo na watala wabobezi ama watu wazoefu wa fani mbalimbali. Mfano wanasheria, wahasibu, madaktari, mainjia, manesi, watu wa MAHUSIANO, washauri nasaha, n.k.
Ambapo humo watu hutoa ushauri au muongozo wa masuala mbalimbali yanayowahusu watu ile serious. Yaani like mtu anafanyiwa consultation ya kulipiwa kabisa hv. Watu sio wachoyo wa Ku share mambo!
Humu ndio kuwe na connection ya kila aina. Waalike watu competent wa kila sekta kwa ajili ya jukwaa hili la VIP.
Humu ukiwa na subscribers 100,000 kila mmoja sh 2,000 kwa mwaka ni Sawa na sh. 200,000,000/- kwa mwaka.
Yaani humu VIP unajitahidi kila uwezavyo pawe ndio pahala pa kupata info sahihi za chochote kile.
JF ya kawaida imevamiwa mno na huwezi ku strict sana kiwango cha watu kujiunga. Lkn humu VIP kunakuwa ni sehemu very reliable kupata info zozote zile ama ushauri wowote ule.
Maxence Melo