Mawaziri watakiwa kurudi Dar na Kurejesha magari Wizarani

hawa kuwafunga haisaidii...mi ningependa mali zao zitaifishwe kama vile kuna waziri mmoja ana nyumba ya thamani ya dola laki 7, itaifishwe alafu iuzwe...hizo dola laki 7 waende wakanunue vifaa na madawa kwenye hizo hospital zetu ambazo madaktari kila siku wanalalamika wanafanya kazi kwa taabu kwa sababu ya kukosekana vifaa vya kufanyia kazi...serikali ikitumia hela za hawa watu walizoiba kwa manufaa ya jamii basi hata wasipowafunga hao watu wengi wetu tutaridhika
 
Huu ni usanii.Kwanza katika mamlaka ambayo imeonyesha udhaifu wa hali ya juu ni mahakama. Ningekuwa na uwezo ningeamrisha hawa baadhi ya majaji na mahakimu wachomwe moto hadharani na familia zao kwa wao kuwa mawakala wa baadhi ya matajiri/wahujumu uchumi/mafisadi.

Kesi za kina Yona,Mramba na Epa zimeishia wapi?.Kesi zinaendeshwa kiusanii mpaka kila mtanzania anaona.Mahakama imekuwa ni kichaka cha rushwa uonevu ndio maana ilipelekea Ditopile akahukumiwa nje ya mahakama baada ya mahakama kutoa hukumu tata.
Kesi ya Zombe iliishaje?

Zipo hukumu nyingi sana ila ukiwakuta mtaani wanawapumbaza/kuwahadaa wananchi kwa maneno magumu ya sheria.Ila kila jambo lina mwiso.Mwisho wa mambo mengine ni mbaya.Wasome historia ya Ufaransa wananchi walipochoshwa na dhuluma/uonevu walifanya nini.
 
Kuna taarifa za kuaminika kwamba JK atatangaza baraza jipya la mawaziri punde,lakini ameiomba mamlaka husika kuwafungulia mashitaka mawaziri wake wote waliotajwa na ndg LUDOVIC UTOUH kama
wabadhilifu wakubwa wa mipesa ya wa tz..na tayari ameshawapiga pini mawaziri wote wasitoke nje ya Dar.
Mh JK ameamua kuchukua uamuzi wa kuwashitaki mawaziri wake ili kukinusuru
Chama na kasheshe la uchaguzi mkuu ujao.
Bado nafatilia na kama kuna taarifa mpya ntawajuza.

Hayo tushachoka kuyasikia,sasa tunataka atende bila maneno.Anatapatapa ili kujiosha kwa jamii
 
Kuna taarifa za kuaminika kwamba JK atatangaza baraza jipya la mawaziri punde,lakini ameiomba mamlaka husika kuwafungulia mashitaka mawaziri wake wote waliotajwa na ndg LUDOVIC UTOUH kama
wabadhilifu wakubwa wa mipesa ya wa tz..na tayari ameshawapiga pini mawaziri wote wasitoke nje ya Dar.
Mh JK ameamua kuchukua uamuzi wa kuwashitaki mawaziri wake ili kukinusuru
Chama na kasheshe la uchaguzi mkuu ujao.
Bado nafatilia na kama kuna taarifa mpya ntawajuza.

This is c rap! Kikwete ni goi goi na mzembe! Doesn't have spine to act! Mzee wa misiba na semina elekezi! Sasa hivi anasumbuliwa na ugonjwa Huu "second term syndrome"
 
Rais anachemka, huwezi kumwambia waziri ninakufukuza kazi ndani ya siku chache halafu ukamwacha ofisini, anaweza kuhujumu wizara/nchi.

Ilibidi siku ile ile alipoamua kuvunja baraza na kuutangazia umma basi angewasimamisha kazi siku ile ile, au asubiri akisha sort out kila kitu na kujua washikaji gani anawateua na nani anawatosa ndio awaambie waliopo kwamba nimewa fire, kesho msije kazini.

yaani napata picha mtu ka ngeleja kamshtua bosi wake kamwambia aisee nipe kama wiki mbili kwanza kuna dili la hela nilikua nalisuka halijapita na ukiniachia hapa kwa wiki mbili dili likikamilika nitakupa na wewe kamishen yako au unasemaje boss? ndio maana mzee anachelewesha kulivunja hili baraza ili kila mtu akamilishe madili yake ya uwizi fasta fasta:shock:
 
Kwa kutuhumiwa kule tu, walitakiwa kuachia ofisi na kupisha uchunguzi huru!
Hapa ndipo utajua mwafrika n i nani!

Nakubaliana na wewe. Raisi kaifanya hii ishu imekuwa drama.

Hii ishu ya kuwavua madaraka ilipaswa ifanyike on_spot. Kama kweli tuko serious. Zaidi ya wiki mbili bado watuhumiwa wako maofisini tu. This is ridiculous.

On_spot jamaa walitakiwa waachie madaraka. Kupisha uchunguzi huru wa mahakama. Ili haki itendeke
 
Heading inatakiwa ianze na 'TETESI'
Pili, JK ni legelege sana, kwani haya mambo ya ubadhilifu ameanza kuyajua leo?
 
Hata kama kweli watashitakiwa hatuna tena imani na mahakama ni kesi ngapi zimegeuka usanii na kuwapiga changa la macho watz.
 
Nothing like that. Kwani alikuwa hawaoni muda wote? Naona kawazuia ili wahudhurie sherehe ya kuapishwa wenzao na kuwapongeza kwa "kazi nzuri" waliyoifanya.
 
awazuie kutoka nje ya dar? kwani wakitoka jeshi la polisi liko likizo? au wakikamatiwa nje ya dar ile ndege iliyombeba kamanda mbowe kwa mbwembwe kumpeleka arusha hairuki nowadays?
 
Back
Top Bottom