Mawaziri watakiwa kurudi Dar na Kurejesha magari Wizarani

Rais anachemka, huwezi kumwambia waziri ninakufukuza kazi ndani ya siku chache halafu ukamwacha ofisini, anaweza kuhujumu wizara/nchi.

Ilibidi siku ile ile alipoamua kuvunja baraza na kuutangazia umma basi angewasimamisha kazi siku ile ile, au asubiri akisha sort out kila kitu na kujua washikaji gani anawateua na nani anawatosa ndio awaambie waliopo kwamba nimewa fire, kesho msije kazini.
 
Kuna taarifa za kuaminika kwamba JK atatangaza baraza jipya la mawaziri punde,lakini ameiomba mamlaka husika kuwafungulia mashitaka mawaziri wake wote waliotajwa na ndg LUDOVIC UTOUH kama
wabadhilifu wakubwa wa mipesa ya wa tz..na tayari ameshawapiga pini mawaziri wote wasitoke nje ya Dar.
Mh JK ameamua kuchukua uamuzi wa kuwashitaki mawaziri wake ili kukinusuru
Chama na kasheshe la uchaguzi mkuu ujao.
Bado nafatilia na kama kuna taarifa mpya ntawajuza.

Too good to be true!
 
Kwa kutuhumiwa kule tu, walitakiwa kuachia ofisi na kupisha uchunguzi huru!
Hapa ndipo utajua mwafrika n i nani!
 
Hivi kama unamiliki vijisenti vya bilions na unaishi Dar hata ukiambiwa usitoke nje ya iko wapi tabu?
Ingekuwa dom sawa, lakini jiji la maraha.....
 
Hao mahakimu wa kusikiliza kesi hizo wanalipwa kiasi gani ili wasitamani rushwa kutoka kwa mafisadi NYANGUMI
Kuna taarifa za kuaminika kwamba JK atatangaza baraza jipya la mawaziri punde,lakini ameiomba mamlaka husika kuwafungulia mashitaka mawaziri wake wote waliotajwa na ndg LUDOVIC UTOUH kama
wabadhilifu wakubwa wa mipesa ya wa tz..na tayari ameshawapiga pini mawaziri wote wasitoke nje ya Dar.
Mh JK ameamua kuchukua uamuzi wa kuwashitaki mawaziri wake ili kukinusuru
Chama na kasheshe la uchaguzi mkuu ujao.
Bado nafatilia na kama kuna taarifa mpya ntawajuza.
 
Hamna lolote,alikuwa wapi siku zote,mpaka wabunge wachachamae.Hakuna ambacho angeweza kufanya in the present circumstances ili kupoza joto la kisiasa lililopo.Na huu uteuzi wa Mbatia mbona siuelewi?Ametumia criteria gani,perfomance,ujana au nini.Kama ni perfomance,mbona wapo better perfomers than him.Mtu kama Lipumba namheshimu sana,na angeweza kutusaidia sana katika kurekebisha uchumi wetu unaodorora kila kukicha.Huyu bwana hata intergrity yake katika jamii iko juu.Sasa Mbatia mmm.,..
Kuna taarifa za kuaminika kwamba JK atatangaza baraza jipya la mawaziri punde,lakini ameiomba mamlaka husika kuwafungulia mashitaka mawaziri wake wote waliotajwa na ndg LUDOVIC UTOUH kama
wabadhilifu wakubwa wa mipesa ya wa tz..na tayari ameshawapiga pini mawaziri wote wasitoke nje ya Dar.
Mh JK ameamua kuchukua uamuzi wa kuwashitaki mawaziri wake ili kukinusuru
Chama na kasheshe la uchaguzi mkuu ujao.
Bado nafatilia na kama kuna taarifa mpya ntawajuza.
 
Hivi Jk na chama chake hawajala hizi pesa za mafisadi? kwani ccm inajiendeshaje, c kupitia huo ufisadi tu jamani?
ukiteuliwa lazima uipelekee ccm fadhila huo ndio mkataba...
 
Kuna taarifa za kuaminika kwamba JK atatangaza baraza jipya la mawaziri punde,lakini ameiomba mamlaka husika kuwafungulia mashitaka mawaziri wake wote waliotajwa na ndg LUDOVIC UTOUH kama
wabadhilifu wakubwa wa mipesa ya wa tz..na tayari ameshawapiga pini mawaziri wote wasitoke nje ya Dar.
Mh JK ameamua kuchukua uamuzi wa kuwashitaki mawaziri wake ili kukinusuru
Chama na kasheshe la uchaguzi mkuu ujao.
Bado nafatilia na kama kuna taarifa mpya ntawajuza.

Mkuu mandieta mawaziri wale wametajwa kwenye report ya CAG kwamba wizara zao zimemung'unya fedha hivyo hukumu yao kubwa kwa sasa ni kuwajibika/kuwajibishwa kisiasa lakini mambo ya mashitaka yana mchakato. Inabidi kufanyike upelelezi na mashitaka kupelekwa kwa DPP.
 
Last edited by a moderator:
Sina uhakika lakini sidhani kama mawaziri wanaweza kushitakiwa kwa makosa ya kiutendaji yaliyofanywa na watendaji katika wizara zao au taasis zilizoko chini ya wizara zao.

Upotevu wa fedha ulioko kwenye report ya CAG unahusu utendaji. Na nivyema mkatambua kuwa baadhi ya upotevu huo ni wa miaka 3 iliyopita wakati hata mawaziri husika walikya hawaja chaguliwa.

Pia ikumbukwe kuwa wengine kama Maige hawakutuhumiwa na CAG bali report za kamati za bunge.

Report hizi haziwezi kumpeleka mtu mahakamani hadi pale vyombo vinavyohusika vitafanya uchunguzi na kubaini kama tuhuma hizo ni za kweli au la.
 
Hii taarifa ya kuwashitaki hata mimi pia nimeiona sehemu,nadhani inaukweli na mkuu wa kaya kachukizwa,wao walimwaga mboga yeye anamwaga ugali sasa.
 
kuna taarifa za kuaminika kwamba jk atatangaza baraza jipya la mawaziri punde,lakini ameiomba mamlaka husika kuwafungulia mashitaka mawaziri wake wote waliotajwa na ndg ludovic utouh kama
wabadhilifu wakubwa wa mipesa ya wa tz..na tayari ameshawapiga pini mawaziri wote wasitoke nje ya dar.
Mh jk ameamua kuchukua uamuzi wa kuwashitaki mawaziri wake ili kukinusuru
chama na kasheshe la uchaguzi mkuu ujao.
Bado nafatilia na kama kuna taarifa mpya ntawajuza.

kwenye red hapo, ninamashaka napo.
 
Back
Top Bottom