Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

(1)Wamejidhihirisha wao ni genge la wezi watupu, (2) wamejidhihirisha kuwa hawana uwezo wa kuwajibishana mpaka wapigwe mkwara na wapinzani (wanalindana) (3) wameipa chadema umaarufu mara 90
Angel Msoffe, Umelipua Whitehouse!
Binafsi nina mashaka sana na hatua hizi zinazofanyika kwa kilemba cha kuinusuru ccm, na wala si kutetea wananchi wanaoibiwa rasilimali zao.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani wabunge wa CCM wangesiamama na wabunge wengine kwenye hoja ya Zitto chama chao kingepata credits za kutosha na kuanza kuaminika kwa kitendo cha kujifungia na kupeana unyago ni kujivunjia uaminifu kwa umma.
 
Mimi nadhani waziri wa Elimu naye angetoka kwa sababu zifuatazo
1-Matatizo Bodi ya mikopo (kucheleweshwa kwa hela za wanafunzi
2-wanafunzi kwenda kidato cha kwanza bila kujua kusoma na kuandika.
 
Angel Msoffe, Umelipua Whitehouse! Binafsi nina mashaka sana na hatua hizi zinazofanyika kwa kilemba cha kuinusuru ccm, na wala si kutetea wananchi wanaoibiwa rasilimali zao.
hatukuwatuma wafanye kazi kwa maslai ya ccm,tumewatuma wafanye kazi kwa maslai ya Taifa. WAMEJICHIMBIA KABURI LA PAMOJA.
 
Last edited by a moderator:
Njia nyeupe kwa bwana Januari Makamba kumrithi Ngeleje!
Nani kakuambia January Makamba(pandikizi la EL) atafanya kazi kwa maslahi ya Taifa?
Kelele zote anazopiga ni kwa maslahi ya moja ya makundi ndani ya CCM
 
JK alikuwa tayari kuona watu wanapoteza maisha wakati wa mgomo wa madaktari kwa kuwakataa Mponda na Nkya na kutoa hotuba iliyojaa kejeli mbele ya wazee wa dar es salaam, Je atawatunishia misuli na wabunge kuwatetea hawa maswaiba zake?
 
Hawajui kwa kutojiuzuru ndo wanaendelea kufuga na kulea wezi, na ndivyo wanavyotupa nguvu upinzani hahahaha ccm kama mazuzu
 
anza huyo Jenister na yeye hajafanya lolote jimboni kwake, hana jipyaaa
 
Usipoteze makali ya hoja. Kwahiyo jamaa wanabaka mali zetu kwakuwa mfumo ni dhaifu je wameishauri nini serkali kuepuka. Hawa manyang'au siyo wazalendo. Kama ni mfumo mbona nyerere hakuiba kama wao wanavyofanya. Angalia nundu anavyotetea maslahi binafsi hadi anakwamisha kampuni ambayo ingetusaidia kuingiza faida badala anataka ile itakayomiliki gati kwa miaka 45 kuna nini hapa kama siyo mrahaba wa kwake mwenye. Infact huu uozo enzi za mwalimu angechapwa viboko 12 wakati anaingia mahabusu na 12 anapotoka akamuonyeshe mke wake na hawara yeke
 
Taarifa ya CAG iko wapi? Imesemaje kuhusu:
-Mapato na matumizi ya mifuko ya maendeleo ya majimbo ambayo iko chini ya wabunge wa majimbo?
-Imesemaje kuhusu mapato na matumizi ya ofisi ya Bunge?
Uozo huu wa mawaziri kuzitafuna taasisi zilizochini ya wizara zao haujaanza leo. Utajiri wa watu kama Lowasa ambaye amekuwa kwenye utumishi wa UMMA muda wote wa maisha yake ya kazi kwa sehemu kubwa umetokana na mchezo huu mchafu. Mtu kama Chenge naye hali ni hiyohiyo.
 
....people, caution needs be taken. Things should be looked up from its wider perspective..! Haitakuwa na maana kuwawajibisha mawaziri, wakati watendaji wadogo at local levels, ambao hatuhitaji taarifa ya tume to dig out madudu yao wanaendelea kupeta, ufirauni wao unaathiri maisha ya kila siku ya mtz wa kawaida. It is not meant kumtetea yeyote, in the political realm there is what is termed as 'the political will'. Inawezekana kabisa kukawa na msimamizi mzuri na mwenye maadili, but what about his/her team and the working implements..!?
Salaam Wana JF. Mimi sidhani kama kujiuzulu pekee kunatosha, nafikiri hatua zaidi zichukuliwe ili iwe mfano. wasemaje?
 
Mimi nadhani waziri wa Elimu naye angetoka kwa sababu zifuatazo
1-Matatizo Bodi ya mikopo (kucheleweshwa kwa hela za wanafunzi
2-wanafunzi kwenda kidato cha kwanza bila kujua kusoma na kuandika.
mkuu umepiga ikulu MJOMBA WA DAMU HUYO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom