Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Siamini, mpaka watangazwe mawaziri wapya kushika nafasi zao
Jk akirudi atapinga kujiuzulu kwao kwenye kikao cha wazee wa Dar es salaam na kuwalaani walioanzisha chokochoko. Bonge la presid! Saa hizi anapanga ratiba ya mazishi kule Malawi na anaandaa b/fast na Maximo
 
Magamba wamedata...ni kama wamelogwa , bila 'people's power' hawang'oo ng'o!Mwisho wao umefka thus why wanaila hii nchi kwa mashindano!

Ni vizuri 'MAGAMBA' wakajua, muda ukifika tutawatapisha na kama hawana kitu tutawakamua mafuta!
 
Hizi habar zaweza kuwa za kweli!nakumbuka longtime nilisomaga majadiliano kati ya mzee wa @NY na huyu Field Marshar ES!nakuaminia mkuu,upo jikoni,nasubir kusikia tamko.
 
Hizi zitakuwa juhudi za Zitto, wako wapi waliokuwa wanasema zitto kashindwa. Mimi nadhani huu ni ushindi kwake
 
Confirmed. Waliojiuzulu ni Mkullo, Mponda,Nundu na Chami.
mnyisanzu kulonga Mbeka??(Unasema kweli?) Nafikiri sasa somo la uwajibikaji linaanza kueleweka. Japo safari hii wamelazimishwa kuwajibika, next time mtu akiharibu atawajibika kwa hiyari...
 
- Bado Wabunge wa CCM wapo kwenye kikao chao, wakitoka tutakwua na full info, sos tay tuned na the datas ni kwamba Rais anatoka Brazil na kwenda Dodoma moja kwa moja, leo atalala Dodoma.

ES!
bora na asilale kabisa anatakiwa akeshe
 
Watu kama hao hawafai kuendelelea kuwa wabunge pia! Kwani hakuna sheria ya kuwavua madaraka yote kabisa?
 
Majina tafadhali mkuu natamani Ngeleja pia awemo
 
Kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kuwa leo Mawaziri wanne wa CCM wamejiuzulu kwenye kikao cha kamati ya uongozi ya CCM kilichofanyika na hata katibu mkuu kiongozi alishiriki na sasa ndio wanaenda kuwatangazia wabunge wa CCM kwenye kikao cha ndani.

CONFRIMED!!!!!!! BY BLACK BAT......kutoka DODOMA.
hutaki jinyonge
Tia pingu, Segerea, basi!
 
Haijaeleweka kinachohitajika nini hasa!
Labda kwa wengine, ila kwangu naona nchi inatarajia makubwa kuliko hicho kiini macho kinachoenda kufanyika
 
mbona sijaona jina la Ngeleja na Mkuchika?ongera mh Zitto
 
hii tabia ya kusubiri mpaka rais aseme itaisha lini? kwa nini wasijipime wenyewe wakachukua hatua bila kusubiri kushinikkizwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom