Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Politics has never been as interesting as this phase... hadi tufike
2015 idadi ya wapiga kura lazima iongezeke maradufu! CCM wanatia aibu hadi
ni aibu kwa mwanachama kuji acknowledge mbele ya hadhara ni mwanachama.
 
MUNGU WANGU NA HUYU MZEE WA KULALA AMEPONA??HATA SIAMINI WAPI TUNAKWENDA

 
Eti ni mtoto wa mjini.....hammuoni amekaa kipedejeepedejeeee?! Unadhani atakaaje mjini bila huo uhishimiwa sana? Lazima akomae...lakiniii........yanamwisho hayaaaaa!
 
....people, caution needs be taken. Things should be looked up from its wider perspective..! Haitakuwa na maana kuwawajibisha mawaziri, wakati watendaji wadogo at local levels, ambao hatuhitaji taarifa ya tume to dig out madudu yao wanaendelea kupeta, ufirauni wao unaathiri maisha ya kila siku ya mtz wa kawaida. It is not meant kumtetea yeyote, in the political realm there is what is termed as 'the political will'. Inawezekana kabisa kukawa na msimamizi mzuri na mwenye maadili, but what about his/her team and the working implements..!?
Salaam Wana JF. Mimi sidhani kama kujiuzulu pekee kunatosha, nafikiri hatua zaidi zichukuliwe ili iwe mfano. wasemaje?
 
Du! Nchi imefika patamu sana, maana mabadiliko haya yanaashiria muda si mrefu na sis wanyonge tutaonja keki ya nchi., na si kuendelea kuliwa na wachache tu.
 
Wewe ni mjinga wa kuandika. Ni mbumbumbu wewe. Huna akili timamu. Niliposoma title ya post yako ni kama ulikua unatoa taarifa. Kuja ndani kumbe unauliza. Wewe ni mdaku. Full stop.
 
hapo jana usiku bungeni mjini dodoma wanahabari waliitwa kwenye viunga vya bunge kwa ajili yakupewa brief ya kikao cha chama cha mapinduzi kilichokaliwa na kuamuliwa kujiuzulu kwa baadhi ya mawaziri, Jenista muagama ndiye aliyeongea na wanahabari akawaambia kuna mawaziri saba wamependekezwa kujiuzulu na naibu waziri mmoja hivyo aliyepewa dhamana ya kutangaza majina hayo ni Waziri Mkuu Pinda na atatoa taarifa hivyo kabla ya kikao cha bunge kuhairishwa mchana wa leo.....tufuatilie bunge mchana.
 
Boss wako akipigwa chini mnaenda wote!
Ivi Ekelege bado haja resign tuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom