Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
CCM bado inapendwa na inahitajiwa sana na watz..na mpaka sasa hamna chama mbdala au chenye nguvu kama CCM. Vyama vyetu vya upinzani ni waganga njaa tu.
Watanzania mafala na malofa wamebaki wachache sana.