Mavazi...

nina tatizo na wanaume wanaovaa suruali za rangi kama kijani,njano,cream,nyekundu,zambarau au nyeupe.....rangi ya suruali ya kiume iwe khaki,dark bluu,nyeusi,kijivu...... rangi nyingine ni so feminine!!!

mim huwa siwaelewi kabisa wakaka wanaovaa mashati ya pink,huko ughaibun,pink wanavaa zaidi gays,
unakuta mkaka kavaa shati la pink la satin na tai ya satin ya pink duuu,sema kwa bongo wengi kwa kweli hawajui kama kuna rangi ziko ni za kike zaidi.
 
sasa mnataka tuwaapproach na camcorder?, hivi mdada unamwambia simple marangi yako rekebisha au tafuta make up consultant, yeye anaamua kununa na ili kuonesha msisitizo wa kununa anagoma hata kufua makufuli yake. khaaa! tutauwana jamani!
We kama vipi mpeleke sehemu siku moja akipendezeshwa na ukamsifia kama ni mwelewa atapata tu ujumbe!!
 
Jamani Michelle tulikuwa tunaelewana sana muda flani siku hizi mhh! naomba unisamehe kama nilikukosea/kukukwaza kwa njia yoyote ile nahitaji urafiki wako sana.

Wewe jana si ulikuwa unamfukuzia Lizzy Licious wewe? Leo umehamia kwa 'Chelle?
 
naweza kubali if its linen na mwanaume mwenyewe ajue namna ya kuivalia


asante dearest.....wananipa taabu hata kama hawanihusu.... yaani unakutana na mtu kitu cha kwanza unawaza ku change wardrobe yake....lol
NB: ningefurahi ungemjibu NN swali aliloniuliza,manake mimi nimeongelea suruali ye anauliza briefs or boxers? sijamuelewa.

Noma kweli dearest...mtu unabaki kumshangaa!!Alafu wanavyotusemaga sisi utadhani wao ndo wataalamu haswa!
Ila shati la pink iliyopauka kwa mwanaume inapendeza!!
 
Inategemea uelewa wa mkewe. Wanawale wengine ukimpeleka salon ya kike utakiona cha moto. Ataanza maswali umepajuaje na wewe mwanaume? Unamletaga nani huku?

Labda amtumie wifi yake.

We kama vipi mpeleke sehemu siku moja akipendezeshwa na ukamsifia kama ni mwelewa atapata tu ujumbe!!
 
Jamani Michelle tulikuwa tunaelewana sana muda flani siku hizi mhh! naomba unisamehe kama nilikukosea/kukukwaza kwa njia yoyote ile nahitaji urafiki wako sana.

Usijali, Michelle ameamua kuwachunia watu kibao ili kuniimpress mimi. Huyu mdada kaoza kweli kwangu aisee. Nimemwambia haina haja ya yote hayo lakini amesema lazima wajue mwaka huu kwamba Klorokwini amemilikiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom