Mavazi...

Partner naona ile nia ya kumteka mwana JF ndo process zishaanza...lol... I hope nae atasema....lol... Hope uko poa, missed you

Hahhaha...partner we acha tu!!
Me missed you too....busy day ehhh!?
 
honestly,hilo hua ni swali gumu kweli kwangu kupita yote!
kuhusu kuvaa sijui,vaa vyovyote ila usiwe nusu uchi huku tunaenda sehem za heshima
kama kwa wazazi vile!

Kinacho niboa zaidi ni kupaka madude mengiiiiii mdomoni sijui yanaitwaje
yale kama mafuta hivi,ops,tena mekundu mmh

halaf kuna na ile mirangi ya macho, utaona limwanamke limekaa kama rainbow. Aaaaargh hakyababu inauzi.
 
mim sipendi nikiona mbaba kavaa suruale imejikusanyia pale katikati halafu huku kwa chini inakua fupi,wengine wanakumbuka kila mara anaivuta kwa chin mwengine,anaiacha inazidi kujizongorota kadri anavyotembea,ila bora hiyo sbb nadhan inasababishwa na unene,wanaonishefua ni wanaovaa kata k mboxer wote nje aaaagh nataman kuwalamba viboko.

Hahaaah...hao wanakuaga vibonge bonge...mwenyewe hua naboreka kweli!!Mbaba mzima suruali imejikusanya kama fungu la nyanya!
 
Hehe bado naendelea, wala hujanikwanza... Sasa ndo vitu sipend
Kwa wadada
Sipendi tena sipend kabisa
Kumuona msichana/mama amevaa nguo bila bra, kifua kimehamia tumboni ahaa sipend mie
Naomba utafute picha bila chozi hamna kitu kinacho nigusa kama chozi la kike nahisi vibaya sana.
 
honestly,hilo hua ni swali gumu kweli kwangu kupita yote!
kuhusu kuvaa sijui,vaa vyovyote ila usiwe nusu uchi huku tunaenda sehem za heshima
kama kwa wazazi vile!

Kinacho niboa zaidi ni kupaka madude mengiiiiii mdomoni sijui yanaitwaje
yale kama mafuta hivi,ops,tena mekundu mmh

Speaker tatizo linakua lipgloss au rangi anayotumia mhusika haimpendezi?!Maana kama tatizo sio rangi sidhani kama kuna ubaya wowote...unless mnataka lips zetu zipaukiane tu!
 
avatar3710_2.gif
dah

Vp? Speaker usifanyie hivyo!
 
Very busy day... but uzi naona unaenda vizuri, kina kaka wajimwaya... Mwishoni tutajua tuwe tunavaa nini...

Powwwle!!
Yeahhh ngoja niwasome kabla sijaanza kujipitisha pitisha hapa JF na kawigi kangu na tights!
 
Speaker tatizo linakua lipgloss au rangi anayotumia mhusika haimpendezi?!Maana kama tatizo sio rangi sidhani kama kuna ubaya wowote...unless mnataka lips zetu zipaukiane tu!

Tatizo sio kuweka make up bana, tatizo mnaweka ma make up yasioeleweka, yaani utakuta mdada anaweka lipustiki mpaka kwenye meno khaaaa! sasa hii nini?
 
mambo,haujatimiza ahadi bibie.

pouwa,
tatizo siku hizi unaniona kikongwe,umesahau tai yako ya kwanza nilichoma vitumbua nikakununulia leo umesahau yote,
wazazi wangu wameniambia nisiirudishe hadi ukawahakikishie kua ukiwa rais mm ndo ntakua official wife kama mama salma au nitakua kama wale ambao hata gazetin hawatokei ktk picha moja na mkulu.:mimba:
 
Speaker tatizo linakua lipgloss au rangi anayotumia mhusika haimpendezi?!Maana kama tatizo sio rangi sidhani kama kuna ubaya wowote...unless mnataka lips zetu zipaukiane tu!
I have no problem with lipstick,eye shadow or make-up as long as it's not too excessive or wrong colour meaning haiendani na rangi ya mhusika.Mavazi nayoyapenda mimi bubble dress,mini skirts and hotpants tukitoka usiku mchana chochote akipendacho yeye lakini kiendane na mwili wake nyumbani avae kaptura loose bila chupi na vest.
 
Kamanda kwa fantasiez bana! Yule mchumbaako si anapiga mafuta ya nazi wewe?
 
Speaker tatizo linakua lipgloss au rangi anayotumia mhusika haimpendezi?!Maana kama tatizo sio rangi sidhani kama kuna ubaya wowote...unless mnataka lips zetu zipaukiane tu!
no rangi nyekundu sipendi,tatizo ni pale mtu unapo paka kama
mtoto mdogo alo jimwagia mafuta pale anapopata kopo la mafuta!

mwingine anapaka na kuya sahau hadi yanakuja kuweka utando mweupe mdomoni
duh,afu nani akukiss?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom