Mavazi...

Kama kuna uwezekano waifu avae night dress tu hata tukienda sokoni. Ile kitu inanipa mzuka balaa, Kesi yangu ya kubaka ilikuwa kwa mdada kavaa night dress kwenye mkutano wa Chadema. nilishinda kesi

Hii ni kali ya mwaka.. nimeipenda sana
 
Guys baada ya kutujulisha kwa kiasi gani msivyopenda tunavyozika nywele zetu ndani ya mawigi na weavings nimeona niulize kuhusu upande wa mavazi...!Maana hua hamuishi kulalamika sijui tunajiachia sana...wengine hawajali stlye kwao ilimradi kuvaa tu!

Je wewe unapenda mke/mchumba/mpenzi wako avae mavazi ya aina gani ili nafsi yako iridhike na kufurahi?!Kua free kuongelea occasion tofauti kwanzia nyumbani...kwenye majukumu ya kijamii mpaka mnapokua mmeongozana kwenye mitoko ya weekend!

Asichokipenda mwenzio usilazimishe. Live kuna baadhi ya mavazi unavaa mpaka mwenyewe unajishtukia, sasa unafiki itakuaje mbele ya jamii?
 
Hehe bado naendelea, wala hujanikwanza... Sasa ndo vitu sipend


Kwa wadada
Sipendi tena sipend kabisa
Kumuona msichana/mama amevaa nguo bila bra, kifua kimehamia tumboni ahaa sipend mie

hususan wenye vifua tegemezi!!bora mi wangu chake kinajitegemea....lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom