Mavazi...

The reason why? ........I don't know!! .....could be because machangu wengi ktk mji ninaokaa ndio style yao

Mmh owwkey!!

YAKUONEA hahahhaha...kanga ikianguaka?!Hua inatokea sana!!

KIBUNANGO naona unapenda sana vitovu maana naona wote wameonyesha..asante kwa picha!!
 
Mhh Lizzy mi nasema inayowahusu hao guys

Mi sipendi wanaume wanaivaa suruali halafu hawavai au kuhifadh maungo vizuri. Yan unakuta mtu hapo mbele panaonekana pacheza cheza tena hapo mtu kavaa sut. Yan pamelegeaaaaaaa

Nisamehen km nimeleta yasiohusika!!!

Hhahahhhah...usijali mwaya tuwakosoe hapa hapa ili nao wajue!!Hao ambao kengele haitulii watakua wale wasiovaa nguo ya ndani!!Suruali haswa ikiwa ya kitambaa inabidi mtu ajihifadhi vizuri huko ndani!
 
mim sipendi nikiona mbaba kavaa suruale imejikusanyia pale katikati halafu huku kwa chini inakua fupi,wengine wanakumbuka kila mara anaivuta kwa chin mwengine,anaiacha inazidi kujizongorota kadri anavyotembea,ila bora hiyo sbb nadhan inasababishwa na unene,wanaonishefua ni wanaovaa kata k mboxer wote nje aaaagh nataman kuwalamba viboko.
 
Kuna wale wanaume wanajikuna/kushika shika maeneo kila wakat hata mbele za watu pia sipend.
 
Kama kuna uwezekano waifu avae night dress tu hata tukienda sokoni. Ile kitu inanipa mzuka balaa, Kesi yangu ya kubaka ilikuwa kwa mdada kavaa night dress kwenye mkutano wa Chadema. nilishinda kesi
 
Mhh Lizzy mi nasema inayowahusu hao guys

Mi sipendi wanaume wanaivaa suruali halafu hawavai au kuhifadh maungo vizuri. Yan unakuta mtu hapo mbele panaonekana pacheza cheza tena hapo mtu kavaa sut. Yan pamelegeaaaaaaa

Nisamehen km nimeleta yasiohusika!!!
Uda'a samahani kama nitakukwaza lakini mbona akili na macho yako hayabanduki sehemu hiyo ? inawezekana tatizo liko kwako.

Kuna wale wanaume wanajikuna/kushika shika maeneo kila wakat hata mbele za watu pia sipend.
 
  • Thanks
Reactions: CPU
mim sipendi nikiona mbaba kavaa suruale imejikusanyia pale katikati halafu huku kwa chini inakua fupi,wengine wanakumbuka kila mara anaivuta kwa chin mwengine,anaiacha inazidi kujizongorota kadri anavyotembea,ila bora hiyo sbb nadhan inasababishwa na unene,wanaonishefua ni wanaovaa kata k mboxer wote nje aaaagh nataman kuwalamba viboko.
mambo,haujatimiza ahadi bibie.
 
Uda'a samahani kama nitakukwaza lakini mbona akili na macho yako hayabanduki sehemu hiyo ? inawezekana tatizo liko kwako.

Hehe bado naendelea, wala hujanikwanza... Sasa ndo vitu sipend

Kwa wadada
Sipendi tena sipend kabisa
Kumuona msichana/mama amevaa nguo bila bra, kifua kimehamia tumboni ahaa sipend mie
 
Mhh Lizzy mi nasema inayowahusu hao guys

Mi sipendi wanaume wanaivaa suruali halafu hawavai au kuhifadh maungo vizuri. Yan unakuta mtu hapo mbele panaonekana pacheza cheza tena hapo mtu kavaa sut. Yan pamelegeaaaaaaa

Nisamehen km nimeleta yasiohusika!!!

avatar3710_2.gif
dah
 
honestly,hilo hua ni swali gumu kweli kwangu kupita yote!
kuhusu kuvaa sijui,vaa vyovyote ila usiwe nusu uchi huku tunaenda sehem za heshima
kama kwa wazazi vile!

Kinacho niboa zaidi ni kupaka madude mengiiiiii mdomoni sijui yanaitwaje
yale kama mafuta hivi,ops,tena mekundu mmh
 
Guys baada ya kutujulisha kwa kiasi gani msivyopenda tunavyozika nywele zetu ndani ya mawigi na weavings nimeona niulize kuhusu upande wa mavazi...!Maana hua hamuishi kulalamika sijui tunajiachia sana...wengine hawajali stlye kwao ilimradi kuvaa tu!

Je wewe unapenda mke/mchumba/mpenzi wako avae mavazi ya aina gani ili nafsi yako iridhike na kufurahi?!Kua free kuongelea occasion tofauti kwanzia nyumbani...kwenye majukumu ya kijamii mpaka mnapokua mmeongozana kwenye mitoko ya weekend!

Partner naona ile nia ya kumteka mwana JF ndo process zishaanza...lol... I hope nae atasema....lol... Hope uko poa, missed you
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom