Mavazi...

Hayo ni maumbile kwa sababu wangependa basi wasingehangaika kuivuta. Kuna wanaume wakivaa nguo haziwakai. Hawana miili ya mazoezi!

mim sipendi nikiona mbaba kavaa suruale imejikusanyia pale katikati halafu huku kwa chini inakua fupi,wengine wanakumbuka kila mara anaivuta kwa chin mwengine,anaiacha inazidi kujizongorota kadri anavyotembea,ila bora hiyo sbb nadhan inasababishwa na unene,wanaonishefua ni wanaovaa kata k mboxer wote nje aaaagh nataman kuwalamba viboko.
 
Tatizo sio kuweka make up bana, tatizo mnaweka ma make up yasioeleweka, yaani utakuta mdada anaweka lipustiki mpaka kwenye meno khaaaa! sasa hii nini?

Hahaha...kumbe hua hampendi eeeh?!Sasa mbona hamsemi mpaka muulizwe?!Nwy kweli wadada wengine hawajirembi wala kuvaa kwa mpangilio...

Btw kuhusu hiyo post ya wigi kwani siku ile unanitokea hukuona kwamba nna nywele za marehemu wa kizungu!?
 
I have no problem with lipstick,eye shadow or make-up as long as it's not too excessive or wrong colour meaning haiendani na rangi ya mhusika.Mavazi nayoyapenda mimi bubble dress,mini skirts and hotpants tukitoka usiku mchana chochote akipendacho yeye lakini kiendane na mwili wake nyumbani avae kaptura loose bila chupi na vest.
Seen.....!
 
Hahaha...kumbe hua hampendi eeeh?!Sasa mbona hamsemi mpaka muulizwe?!Nwy kweli wadada wengine hawajirembi wala kuvaa kwa mpangilio...

Btw kuhusu hiyo post ya wigi kwani siku ile unanitokea hukuona kwamba nna nywele za marehemu wa kizungu!?

Tatizo mnakubali hapa JF tu lakini majumbani tukikuelezeni ukweli mnakuwa mmepata sababu ya kununa na kutunyima ile tam tam laini! wanawake ni kipimo cha uvumilivu askwambie mtu
 
nina tatizo na wanaume wanaovaa suruali za rangi kama kijani,njano,cream,nyekundu,zambarau au nyeupe.....rangi ya suruali ya kiume iwe khaki,dark bluu,nyeusi,kijivu...... rangi nyingine ni so feminine!!!
Hivi kuna wanaume wanavaa rangi hizi? Michelle hama uswahilini haraka kabla haijakuwa too late.
 
Hizo rangi za ma MC na wasanii

nina tatizo na wanaume wanaovaa suruali za rangi kama kijani,njano,cream,nyekundu,zambarau au nyeupe.....rangi ya suruali ya kiume iwe khaki,dark bluu,nyeusi,kijivu...... rangi nyingine ni so feminine!!!
 
nina tatizo na wanaume wanaovaa suruali za rangi kama kijani,njano,cream,nyekundu,zambarau au nyeupe.....rangi ya suruali ya kiume iwe khaki,dark bluu,nyeusi,kijivu...... rangi nyingine ni so feminine!!!

Boxers or briefs?
 
Sipendi wanaume wanaovaa mashati ya vitenge au vitenge full suti. Japo najua wengi wanavaa na wengine wanavaa sare na wake zao. Nashukuru mume wangu pia hapendi.
 
nina tatizo na wanaume wanaovaa suruali za rangi kama kijani,njano,cream,nyekundu,zambarau au nyeupe.....rangi ya suruali ya kiume iwe khaki,dark bluu,nyeusi,kijivu...... rangi nyingine ni so feminine!!!

Asante....

ila white avae napenda kweli yaani, huwa wanaonekana very
smart ila inategemea anina ya kitambaa na the way he can pull
it off na viatu/sandals (in short itapendeza kama ni casual)
 
Dearest kusema ukweli hizo rangi sio za suruali kabisaaaaaa....
 
Approach Kloro...approach!!
sasa mnataka tuwaapproach na camcorder?, hivi mdada unamwambia simple marangi yako rekebisha au tafuta make up consultant, yeye anaamua kununa na ili kuonesha msisitizo wa kununa anagoma hata kufua makufuli yake. khaaa! tutauwana jamani!
 
nina tatizo na wanaume wanaovaa suruali za rangi kama kijani,njano,cream,nyekundu,zambarau au nyeupe.....rangi ya suruali ya kiume iwe khaki,dark bluu,nyeusi,kijivu...... rangi nyingine ni so feminine!!!
Hapo toa nyeupe na cream ambayo siku moja moja beach sio mbaya lakini njano,nyekundu,zambarau na pink hazifai sio kwa suruali tu hata shati.
 
Asante....

ila white avae napenda kweli yaani, huwa wanaonekana very
smart ila inategemea anina ya kitambaa na the way he can pull
it off na viatu/sandals (in short itapendeza kama ni casual)
naweza kubali if its linen na mwanaume mwenyewe ajue namna ya kuivalia

Dearest kusema ukweli hizo rangi sio za suruali kabisaaaaaa....
asante dearest.....wananipa taabu hata kama hawanihusu.... yaani unakutana na mtu kitu cha kwanza unawaza ku change wardrobe yake....lol
NB: ningefurahi ungemjibu NN swali aliloniuliza,manake mimi nimeongelea suruali ye anauliza briefs or boxers? sijamuelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom