Mavazi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mavazi...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lizzy, May 25, 2011.

 1. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Guys baada ya kutujulisha kwa kiasi gani msivyopenda tunavyozika nywele zetu ndani ya mawigi na weavings nimeona niulize kuhusu upande wa mavazi...!Maana hua hamuishi kulalamika sijui tunajiachia sana...wengine hawajali stlye kwao ilimradi kuvaa tu!

  Je wewe unapenda mke/mchumba/mpenzi wako avae mavazi ya aina gani ili nafsi yako iridhike na kufurahi?!Kua free kuongelea occasion tofauti kwanzia nyumbani...kwenye majukumu ya kijamii mpaka mnapokua mmeongozana kwenye mitoko ya weekend!
   
 2. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nyumbani upande mmoja wa kanga unatosha, tena zile za india maana zile ni nyepeeesi.......
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  Apendacho ndicho nipendacho........................it is a free WORLD.................
   
 4. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Haiwezekani wakati wote akawa amevaa kanga moja, kuanzia asubuhi mpaka jioni, lazima kutakuwa na vazi kabla ya hiyo kanga
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  May 25, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nyumbani avae nguo zake za kuzaliwa

  Huko nje inategemea na hali ya hewa na mazingira na (ma)tukio.

  Napenda sun dress, daisy dukes (kama ana miguu ya chupa ya bia. Akiwa na miguu ya chupa ya gongo hapana. Tutakorofishana.), capri pants, skinny jeans, thongs marufuku kuvaa, grandma underwear mwiko.
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo wewe unafuata tu?!
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Daisy dukes atoke kama hapa ehhhh
  http://www.google.co.uk/m/search?site=images&source=mog&hl=en&gl=uk&client=ms-android-lge&q=daisy%20dukes#i=13

  Hahahha hapo kwenye nguo za kuzaliwa safi kabisa maana hata sio gharama!
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  May 25, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Enheeee kama vile ambavyo wa ukweli huwaga alivyo akiwa nyumbani. :tonguez:
   
 9. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu ngabu uko sawa kabisaaa, nyumbani maguo ya nini tena
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Si za kufunika zile za kuzaliwa zisichafuke?!Pia wageni wasije wakawakuta ndivyo sivyo maana bongo bado watu hua wanatembeleana bila taarifa!!!
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahhaha..she does?!GOOD FOR HER!
   
 12. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Haha haha.....hicho ndo ninachopenda avae......

   
 13. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Anawezavaa chochote except huwa nachukia sana demu wangu ama mwanamke yoyote akivaa skin tight na juu avae just t-shirt. Hapo she just get on my nerves....I hate hizo skin tights a.k.a kanyela mumo.
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwanini unazichukia?!
   
 15. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #15
  May 25, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  The reason why? ........I don't know!! .....could be because machangu wengi ktk mji ninaokaa ndio style yao
   
 16. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Tukiwa nje avae nguo za heshima ambazo zinaendana na mwili wake na awe na furaha na alicho kivaa. Sio kuvaa nguo ambazo zinaachia viungo tata vya mwili kama anafanya biashara.

  Tukiwa ndani kama hamna watoto kwenye familia avae chochote kila ambacho anajisikia wakati wa shughuli za hapa na pale. Ukifika mda wa kupumzika pamoja napendelea avae lingerie.
   
 17. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Zile za kuzaliwa zinafunikwa na kijipande cha kanga tu lizzy
  bana
   
 18. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

   
 19. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #19
  May 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Napita tu....
   
 20. Uda'a

  Uda'a JF-Expert Member

  #20
  May 25, 2011
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 221
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mhh Lizzy mi nasema inayowahusu hao guys

  Mi sipendi wanaume wanaivaa suruali halafu hawavai au kuhifadh maungo vizuri. Yan unakuta mtu hapo mbele panaonekana pacheza cheza tena hapo mtu kavaa sut. Yan pamelegeaaaaaaa

  Nisamehen km nimeleta yasiohusika!!!
   
Loading...