Mauzauza ya mke wangu

Mkuu hujasema kwamba tatizo hilo lina muda gani ?
Ndoa yenu ina muda gani ?
Mkuu unataka u solve tatizo la mkeo au umkomoe mkeo?
 
dah,ndoa hizi...wakati yako inafuka moshi,ya mwenzio inawaka moto....pole
 
Mrudishe kwao na waambie wazazi wake kuwa atarudi nyumbani
pale tu utapoenda kumchukua wewe mwenyewe.
 
Mtwange yellow card, asipojirekebisha piga pyepyeeeeee then mtwange Red Card atoke ndani na wewe usifanya substation si unajua red card haina substation
Aisee.......substation!
Kipaumbele i. Elimu, 2. Elimu, 3. Elimu tarehe 25 oct.
 
¤ Kazi zote za nyumbani anamwachia dada wakazi.

¤ Kazini kwake amesha vuruga na wenzake karibia wote mpaka bosi wake.

¤ Kachukua mkopo 12m toka bank ya crdb hajanishirikisha mwezi wa tatu sasa nimeprove kwenye salary sleep zake.

¤ Hana muda nami tena tukiwa home yupo busy na raptop yake, nikitangulia kulala yeye anachelewa kuja kulala, akitangulia yeye busy tu na mambo yake.

¤ Mtaani amesha korofishana na watu kibao.

¤ Mtoto wetu na dada wakazi kila siku wana nambia wewe na mama hamko sawa myamalize.

¤ Hana story tena na ndungu zangu hawapigi simu hata wakimpigia hapokei akipokea majibu yake ni yamkato sana.

¤ Hashauriki hambiliki ,hanisikilizi kabisa.

¤ Majibu yake kwa sasa hanamuda wa kurumbana wala kumnyenyekea mwanaume mtumzima kama mimi.

¤ Sasa nafua mwenyewe nikiwepo nyumbani au dada wakazi.

¤ Ndugu hameshindwa kurudisha upendo unaooweka kila kukicha.

Nataka ni mnyoshe mkewangu wandoa naomba ushauri wenu.

Binafsi nataka niondoke nyumbani walau nikapumzike mbali na jiji hili for 6months.ushauri tafadhari.
Subiri mpaka jpili ukishampigia kura yako Lowassa, mbunge wa UKAWA na diwani wa UKAWA unaweza kusepa.
 
Binafsi nataka niondoke nyumbani walau nikapumzike mbali na jiji hili for 6months.ushauri tafadhari.

You are damn wrong.
Usikimbie kadhia, tatua ukiwa humo humo ndani. Wewe ni kichwa cha familia, onesha uanaume wako. Na yeye akisepa kwa miezi hiyo sita unadhani patakua na nyumba tena hapo? Solve kadhia hizo ukiwa humo humo
 
Mkuu jamaa anaomba ushauri wala haja lalamika.
Mkuu hivi huelewi nini maana ya mwanaume kuwa kichwa? Ni kuweza kusimamia nyumba yako ipasavyo, Kama unaweza kumwachia mke wako akafanya maamuzi yake bila wewe kuhusika huoni kama ni kushindwa kuisimamia nyumba yako!!! Unawezaje sema unataka kuondoka nyumbani kwako Simama sema kuanzia leo sitaki moja,mbili, tatu mwambie mwanamke kama hawezi kuacha ni vigumu kuwa pamoja basi na iwe hivyo sio kukimbia nyumba!!
 
¤ kazi zote za nyumbani anamwachia dada wakazi.

¤ kazini kwake amesha vuruga na wenzake karibia wote mpaka bosi wake.

¤ kachukua mkopo 12m toka bank ya crdb hajanishirikisha mwezi wa tatu sasa nimeprove kwenye salary sleep zake.

¤ hana muda nami tena tukiwa home yupo busy na raptop yake, nikitangulia kulala yeye anachelewa kuja kulala, akitangulia yeye busy tu na mambo yake.

¤ mtaani amesha korofishana na watu kibao.

¤ mtoto wetu na dada wakazi kila siku wana nambia wewe na mama hamko sawa myamalize.

¤ hana story tena na ndungu zangu hawapigi simu hata wakimpigia hapokei akipokea majibu yake ni yamkato sana.

¤ hashauriki hambiliki ,hanisikilizi kabisa.

¤ majibu yake kwa sasa hanamuda wa kurumbana wala kumnyenyekea mwanaume mtumzima kama mimi.

¤ sasa nafua mwenyewe nikiwepo nyumbani au dada wakazi.

¤ ndugu hameshindwa kurudisha upendo unaooweka kila kukicha.

Nataka ni mnyoshe mkewangu wandoa naomba ushauri wenu.

Binafsi nataka niondoke nyumbani walau nikapumzike mbali na jiji hili for 6months.ushauri tafadhari.
70% my wife!hata mie nilitaka kukimbia nyumba lkn nikaghairi nikajifunza kutokumuongelesha, "mzigo?? Nikaanza kuchepuka" tena sina mpango hata yeye akitaka akechepuke tu!3 month kanyooka, yeye ndio anabembeleza!
 
Natoa ushauri huu kwa unyenyekevu sana tafadhali kabla ujaamua kutengana au kuachana na mkeo au mumeo onana na mwanasheria na wala sio padre au mchungaji au sheikh, utapata ushauri mzuri sana kuhusu usalama wako wewe na wa mali zako

Khaaa jamaniii yamekua hayo tena,mali kwanza???
 
¤ Kazi zote za nyumbani anamwachia dada wakazi.

¤ Kazini kwake amesha vuruga na wenzake karibia wote mpaka bosi wake.

¤ Kachukua mkopo 12m toka bank ya crdb hajanishirikisha mwezi wa tatu sasa nimeprove kwenye salary sleep zake.

¤ Hana muda nami tena tukiwa home yupo busy na raptop yake, nikitangulia kulala yeye anachelewa kuja kulala, akitangulia yeye busy tu na mambo yake.

¤ Mtaani amesha korofishana na watu kibao.

¤ Mtoto wetu na dada wakazi kila siku wana nambia wewe na mama hamko sawa myamalize.

¤ Hana story tena na ndungu zangu hawapigi simu hata wakimpigia hapokei akipokea majibu yake ni yamkato sana.

¤ Hashauriki hambiliki ,hanisikilizi kabisa.

¤ Majibu yake kwa sasa hanamuda wa kurumbana wala kumnyenyekea mwanaume mtumzima kama mimi.

¤ Sasa nafua mwenyewe nikiwepo nyumbani au dada wakazi.

¤ Ndugu hameshindwa kurudisha upendo unaooweka kila kukicha.

Nataka ni mnyoshe mkewangu wandoa naomba ushauri wenu.

Binafsi nataka niondoke nyumbani walau nikapumzike mbali na jiji hili for 6months.ushauri tafadhari.
Ondoka nyumbani.........
Maisha mafupi haya mkuu....
usipoteze muda na wapumbavu.....
 
70% my wife!hata mie nilitaka kukimbia nyumba lkn nikaghairi nikajifunza kutokumuongelesha, "mzigo?? Nikaanza kuchepuka" tena sina mpango hata yeye akitaka akechepuke tu!3 month kanyooka, yeye ndio anabembeleza!

Duuh mkuu, ntakutafuta nione jinsi hii strategy yako inavyofanya kazi
 
Nitarudi kwenye jukwaa hili kwa mrejesho .
Ushauri wenu ni muhimu sana kwangu.

Naheshimu mawazo yakila mwana jukwaa.

Mbarikiwe sana.
 
¤ Kazi zote za nyumbani anamwachia dada wakazi.

¤ Kazini kwake amesha vuruga na wenzake karibia wote mpaka bosi wake.

¤ Kachukua mkopo 12m toka bank ya crdb hajanishirikisha mwezi wa tatu sasa nimeprove kwenye salary sleep zake.

¤ Hana muda nami tena tukiwa home yupo busy na raptop yake, nikitangulia kulala yeye anachelewa kuja kulala, akitangulia yeye busy tu na mambo yake.

¤ Mtaani amesha korofishana na watu kibao.

¤ Mtoto wetu na dada wakazi kila siku wana nambia wewe na mama hamko sawa myamalize.

¤ Hana story tena na ndungu zangu hawapigi simu hata wakimpigia hapokei akipokea majibu yake ni yamkato sana.

¤ Hashauriki hambiliki ,hanisikilizi kabisa.

¤ Majibu yake kwa sasa hanamuda wa kurumbana wala kumnyenyekea mwanaume mtumzima kama mimi.

¤ Sasa nafua mwenyewe nikiwepo nyumbani au dada wakazi.

¤ Ndugu hameshindwa kurudisha upendo unaooweka kila kukicha.

Nataka ni mnyoshe mkewangu wandoa naomba ushauri wenu.

Binafsi nataka niondoke nyumbani walau nikapumzike mbali na jiji hili for 6months.ushauri tafadhari.

kama aliyesema "the way a person writes reflects his personality then kweli kuna tatizo...no one should be quick kujudge kam we ndio una tatizo au mkeo
 
Back
Top Bottom