Mauzauza ya mke wangu

Kana bhono muraaa! Ai! Wewe ni kabira gani? Wacha uchinga muda, mwanaume ni ghichwa cha nyumba bhana, mleko hata kakofi mura!

Anyway, so much might be going on with her and huenda MNA unfinished and unspoken issues nyingi ambazo zinamfanya anakua hivyo coz kwake yeye anavyokufanyia ni anakutumia msg Fulani kwamba 'I want you to listen to me, something is not right'

Sasa ni wewe kujua kutafsiri.

Wanawake wameumbiwa kuto-react kwa muda mrefu/uvumilivu so unawezakua unafanyakitu wewe unaona simple ila yeye kinamkera anatunza...siku akichoka anaanza kukumbuka cha kwanza hadi mwisho, then ndo wewe unaona reaction hizo, ila kiuhalisia hayo ni matunda tu ya mambo yaliyo jaa ndani ambayo anaona hatendewi haki.

Nikushauri..

Badala ya wewe kukimbia nyumba, jitahidi uondoke na mkeo tu...nendeni mahali salama wawili tu, pateni muda wa kutafakari kilichowafanya mkaoana.

Sometimes love is not enough to keep your marriage. ...

Marriage is like any other project...work hard to make it work even at your expense.

Gudluck!

Ahsante kwa ushauri mzuri... Mtoa mada akiufuta huu ataiokoa ndoa take
 
Kukimbia nyumba sio solution,ukisimama kama mwanaume rijali mbona atanyooka tu? Umezidisha upole na kusahau nafasi yako Ndiomana anakufanya anavyotaka
 
Back
Top Bottom