Mauzauza ya mke wangu

Hajui huyoo kwamba huo mkopo tuu utaisha then ww ndiyo uanze makeke yako au mwenzangu umestaafu?
 
kama unaishi kwenye nyumba ya mwanamke viandae vifurushi vyako kabisa maana mda wowote unaweza timuliwa
 
Hajawahi kukuambia tatizo ni nini, ameanza tu kufanya hivyo? kama ndivyo pengine ana msongo wa mawazo tafuta suluhu sahihi, usikimbie
 
Sioni fahari kusema hili ila, mkeo ameshapata bwana mwingine. ....
Siwezi kusema ufanye nini ila pole sana.
 
Hapo ndipo naona ushindi was Yesu msalabani kwa ajili ya dhambi zetu,ndoa,biashara n.k
Acha kuhangaika kutegemea busara za wanadamu hutafanikiwa ndugu,pigs magoti mkabidhi Yesu fadhaa zako naye atakushindia.
 
Ulijuana nae mda gani kabla ya kumuoa?na kabla hamjaoana mlikuwa marafiki?I mean are u friends???
Cha kufanya hapa kaka tafta sehemu nzuri iliyotulia umueleweshe kwa utaratibu na kumkanya aache hizo Tania,kwani wanawake wengi wakishavalishwa hizo Pete wanahisi wamemaliza kila kitu viburi,uzembe na makucha yote wanayatoa na kujisahau kwamba kazi ndo imeanza huyo kajisahau kwa hiyo ni wajibu wako kumkumbusha.
 
ongea naye tu... akileta jeuri shusha kipigo...
atanyooka tu.

ila ususahau kumshirikisha Mungu.
 
Mimi niko tofauti na wengi... Nakusapoti asilimia 100 kuondoka hapo nyumbani.. Na haimaanishi unakimbia matatizo km wengi wasemavyo.. . Bt ni aina ya mbinu ya kusolve tatizo. Utakapoenda mbali ndipo atagundua umuhimu wako.. Coz hatuonagi umuhimu wa kitu hadi kinapoondoka kwenye himaya zetu, na ndo majuto huanza! nakuhakikishia hata b4 miezi 6 atakuwa kashakutafuta na kuanguka miguuni pako. Lkn asipojali jua hata ufanyaje hamna ndoa tena, labda kwa miujiza ya BWANA
 
Sawa yuko lesi na mambo yake lakini vipi kuhusu mzigo anakupaga!( labda ujui nini mahana ya mzigo na mahanisha unyumba unapewa kama upewi ushauri wangu piga chini huyo afai)
 
¤ Kazi zote za nyumbani anamwachia dada wakazi.

¤ Kazini kwake amesha vuruga na wenzake karibia wote mpaka bosi wake.

¤ Kachukua mkopo 12m toka bank ya crdb hajanishirikisha mwezi wa tatu sasa nimeprove kwenye salary sleep zake.

¤ Hana muda nami tena tukiwa home yupo busy na raptop yake, nikitangulia kulala yeye anachelewa kuja kulala, akitangulia yeye busy tu na mambo yake.

¤ Mtaani amesha korofishana na watu kibao.

¤ Mtoto wetu na dada wakazi kila siku wana nambia wewe na mama hamko sawa myamalize.

¤ Hana story tena na ndungu zangu hawapigi simu hata wakimpigia hapokei akipokea majibu yake ni yamkato sana.

¤ Hashauriki hambiliki ,hanisikilizi kabisa.

¤ Majibu yake kwa sasa hanamuda wa kurumbana wala kumnyenyekea mwanaume mtumzima kama mimi.

¤ Sasa nafua mwenyewe nikiwepo nyumbani au dada wakazi.

¤ Ndugu hameshindwa kurudisha upendo unaooweka kila kukicha.

Nataka ni mnyoshe mkewangu wandoa naomba ushauri wenu.

Binafsi nataka niondoke nyumbani walau nikapumzike mbali na jiji hili for 6months.ushauri tafadhari.

Kapumzike uone.....huyo atakuwa CCM tu..
 
Back
Top Bottom