hivi kuachwa inauma eeh,?CV yangu ndogo katika hili, najua kuacha tu so far!
vipi kukutana na barua ya kuachishwa/kupunguzwa kazi ambayo ndio ilikua inakupa pumzi hapa mjini?
vip ukiwa na mchumba wako umpendaye...kwa muda mrefu then mkataka kupima HIV ili mfunge ndoa, unakuta ana/una ngwengwe?