Maumivu ya moyo....!!!

Maumivu ya moyo....!!!

Mmmmh mtu kashachenjuliwa maboso, pole sana mkuu..!! Kuchapiwa inauma hatari, huyo kumuoa ni sawa na kuweka bomu la Korea Kaskazini ndani siku yoyote linakulipukia!!!
 
Kikubwa chukua maamuzi ya kiume kwa sababu aliye nae unamjua vizuri basi mwite kwa utaratibu sehemu tulivu bila pressure ukiwa na huyo shetani wa kike, kisha waambie ukweli, waendelee na mapenzi yao kamwe hutowaaingilia, alafu ondoka. Wasijue ni maamuzi gani utachukua baada ya hapo.
 
Takwimu zinaonesha kuwa wanawake wengi wakichepuka huwa wanapigiwa simu kwenye mtandao wa tigo. Mpigie tigo kisha piga chini
 
Mfungo umeisha tena wazinifu waanze visa vyao, achana na huyo mwanamke! Waite pamoja (un expected) waleze ukweli na ikibidi waonyeshe uchafu wao kisha achana nae na huo ndio uwe mwisho wa yote,moyo utauma ila utakua umeulinda mwili dhidi ya magonjwa
 
Kama nawe umewahi kuchepuka ukiwa kwenye mahusiasno /ndoa jiulize Kama mkeo angekukamata ulipaswa kupewa adhabu gani!?

Kama tangia umekuwa na mahusiasno naye /umeoa hujawahi kuchepuka basi, tafuta vijana uwe na mafuta ili ukimdaka huyo jamaa naye aliwe.
 
Pole sana ndugu maisha haya kwa kweli ni changamoto sana kuna Binadam hawapendeki ata ungejitoa vipi
 
Mapenz yanahitaji uwe unapuuza mambo kwa kiasi kikubwa....wengi wamrjilipua tu wakisubir majaliwa.

Kama bikr hukuitoa wewe kuwa mpole huo ni mwendelez wa shoo alizokuwa anapigwa
 
Aliacha maksudi wala hajasahau, kakutaftia gear kakosa hiyo ndo iliyobak kwake, pole sana
 
Pole sana mkuu, lilishanikuta janga kama hilo nayaelewa maumivu yake. Wanawake bhana..!!
 
Mkuu pole sana. Ila mimi sinaga msamaha kama ni mimi namalizana kikubwa na huyo jamaa.

Ila nakushauri kuwa makini katika maamzi yako usije haribu future yako. Chukuria poa mweleze mpenzi wako na uachane naye ingawaje natambua si kazi rahisi mkuu ila jaribu kama utafanikiwa itakuwa ni nzuri zaidi.
 
Back
Top Bottom