Kupendana sio lazima kuzeeka pamoja.. Wazungu walisema Enjoy while it lasts.. mtu anaweza kuwa sahihi kwako kwa wakat flan ila baada ya jambo flan akabadilika au ukabadilika na ile bonding na usahihi ukapotea kati yenu. Usilaumu kuachana na kutodumu maana ni from within uwez bet upendo wa mtu ikiwa moyo wake uuoniNyota hazina impact ni imani tu kama zilivyo nyingine, sasa kama ni hivyo hizo nyota zenu zimesaidia kitu gani
Kama ndio una utundu huu, hapo kuachika ni haki.. tafuta namna ujipooze machungu yako.
Huyu dragon nani atamuoa?Duh! Mtani kwaheri😂View attachment 3572793
Mmm sio gono hilo mkuu 🤣🤣🤣🤣Baada ya kumuacha aliniroga mkuyenge kila demu ninaekutana nae nikimaliza tendo napata maumivu makali sana yanadamu kwa muda wa dk40..bora angeniacha yeye
Nyota ,nyota gibberish🚮Kupendana sio lazima kuzeeka pamoja.. Wazungu walisema Enjoy while it lasts.. mtu anaweza kuwa sahihi kwako kwa wakat flan ila baada ya jambo flan akabadilika au ukabadilika na ile bonding na usahihi ukapotea kati yenu. Usilaumu kuachana na kutodumu maana ni from within uwez bet upendo wa mtu ikiwa moyo wake uuoni
Haya yapo mengi Sana kimboka😂Huyu dragon nani atamuoa?View attachment 3572794
Uliacha au uliachwa? Kwanini?
Mliachana? Kwa vurugu au kimyakimya?
Uliachwa na faida au na hasara?
Mlijaribu kurudiana? Mliweza?View attachment 3572743
Seat ya dirishani!Ngoja nivute siti nikae 😅
sikupatii picha ww jamaa ukoje kwa akili hzo nizionazo kwenye comment zako zote na hyo aveta yako.Nilimuacha; sababu siku moja tukiwa naked kabla ya tendo mimi nilianza kuimba "show me the way I can go..." (By Papa Wemba), kisha yeye kwa utukutu alinionesha ule mlango mwengine.
Nikamwambia sina jadi ya kuchimba mbolea (samadi), nikamwachwa.
Kijana unaniangusha mambo madogo hayo, Usha panic mchezoni inasikitisha sana, mi bibi yenu nilimwambia sitaki maneno ni vitendo tu, akileta zake, namtoa nje tunachapana weeeeee, mpaka basiYan hata bure simtaki🤣🤣… Tena mtu aliezaliwa March/April simtaki kabisaaaa…. Hawa watu kubishana hadi asubui sio kitu cha kushangaa kwao🤣🤣🤣🤣
harufu ya jike shupa nimenusa hapa😂 natania kajukuu kangu jamboooBongo hatuachani tunapumzishana, ukilewa brutal zako mbili unaenda kufata mtandio wako uliousahau..!! 😹😹😹
Niite tu mkuu
Ewaaa nasubiri ulete kisa chakoSeat ya dirishani!