cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 114,667
- 184,568
Polee sana!! Utapona tyuuh. 😂😂😂View attachment 3572744kupatwa kea mganga😭
Polee sana!! Utapona tyuuh. 😂😂😂View attachment 3572744kupatwa kea mganga😭
Mtafute myajenge naiona connection ipo 😀Tuliachana bila vurugu ila n kikaz tukapoteleana hivyo ila namkumbuka sana kipenz Yasmini.
😂😂😂 ulikua una muendekeza,Alikua Aries mimi ni Cancer… u can emagine hili bom tulitengeneza 😀 🙌🏽🙌🏽
Alitaka kuniua mbwa yule.. yan kosa lake ukizubaa linakua lako😀😀😀
Yan hata bure simtaki🤣🤣… Tena mtu aliezaliwa March/April simtaki kabisaaaa…. Hawa watu kubishana hadi asubui sio kitu cha kushangaa kwao🤣🤣🤣🤣Moto ulikutana na fire😂
Inasikitisha sana mkuu 😂We ni chiz nimecheka 🤣🤣🤣
Sio kumwendekeza ni bas tuu mm mtu wa kulalama kila kitu hapana😀😀😂😂😂 ulikua una muendekeza,
Tena mbele yakeila nawe na nyeto unapg hata ukiwa na mwenza
Pisi ya popoma gentamibangi GENTAMYCINEBasi poa hapo mkubwa
View attachment 3572756
Watabiri uchwara wa nyota wamekula sana wake za watu kwa kujifanya wanachajisha nyotaAlikua Aries mimi ni Cancer… u can emagine hili bom tulitengeneza 😀 🙌🏽🙌🏽
Alitaka kuniua mbwa yule.. yan kosa lake ukizubaa linakua lako😀😀😀
Anaeliwa kwa utabiri wa nyota ni chizi 🤣🤣Watabiri uchwara wa nyota wamekula sana wake za watu kwa kujifanya wanachajisha nyota
Hakuna cha nyota wala nini ,wazee wetu walikua wanachukuana tu na wanadumu , ni mifumo tu ya maisha imebadilikaAnaeliwa kwa utabiri wa nyota ni chizi 🤣🤣
Mbona hivi vitu viko open hadi kweny AI… tena AI anatiririka balaa yan unacheka na kuchela.
Hakuna cha nyota wala nini ,wazee wetu walikua wanachukuana tu na wanadumu , ni mifumo tu ya maisha imebadilika
Wazee wetu walichukuana na wamedumu , ndoa ulaya America kila siku zinavunjika , hakuna cha nyota wala kitj gani ,ni mifumo ya maisha tu imebadilika na hakuna mtu yupo tayri kuvumilia ujinga wa mwingineIzi ni tafiti zilifanyika kwa kuagalia miezi watu wamezaliwa na ulinganisho wa tabia.. sio exactly 100% ila inakusaidia kujua namna gani ya kuconnect na mtu pia vitu gani hapedelei.. Inasaidia kumuelewa mtu kwa vichache na kuhepuka kumuumiza