Maumivu ya mapenzi

Maumivu ya mapenzi

Unatoka nnje ya hayo mambo yako ya nyota, hakuna cha nyota ,sijui punda ,mbuzi ,beberu ,nguruwe itakayo kufanya ufanikiwe au mahusiano kudumu
Mtani yapo na kwa wenzetu ni elimu kabisa na madaraja na tafiti zilizowapa watu uprofesa na PhD lakini sio kama hizi za mchongo za Malawi šŸ˜‚

Dr. Sohini Sastri: A world-renowned astrologer who received a Grand PhD in Astrology from National American University, USA.

Dr. Chandrasekar: A PhD scholar in Astrology and Jyotish Shastra, known for merging Vedic wisdom with modern practical needs.

Dr. Rajan Raj: Holds an MD and a PhD, recognized for promoting Indian Vedic sciences with a focus on ethical guidance.

Dr. Ira Kiourti: A professional astrologer with a PhD specializing in Logic and Metaphysics from the University of St Andrews, who also holds a prestigious diploma from the Faculty of Astrological Studies.

Dr. Liz Greene: A highly respected figure in the field who holds a PhD and is a co-founder of the Centre for Psychological Astrology.

Dr. Sagi Satyanarayana: An Indian academic and physician who holds multiple degrees, including a PhD specifically in Medical Astrology.

Dr. Joshi: Described as a "Scientific Astrologer" and a PhD holder in Astrology, specializing in research-based horoscope analysis.
 
Sio kumwendekeza ni bas tuu mm mtu wa kulalama kila kitu hapana[emoji3][emoji3]
Nilikua nazidharau hizi zodiac ila saiv uniambii kitu, ikishasema haya mahusiano ni fire we jua ni Bom. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaan wee akusumbue mtu mliyekutana wote mna meno 32 na magego juu?
Aaah wapiii wee! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unatoka nnje ya hayo mambo yako ya nyota, hakuna cha nyota ,sijui punda ,mbuzi ,beberu ,nguruwe itakayo kufanya ufanikiwe au mahusiano kudumu
Issue sio kufanikiwa, ila kikubwa ni kumwelewa mwenza wako positively. Mfano watu wa April hua wanachukia haraka na wanawai kusamehe…
so ukijua hii inakusaidia kuhepuka maudhi kwa mwenzio.

Kudumu kwenye mahusiano ni issue nyingine, ila amini kama binadamu ana mwisho bas hata mapenzi hua yanafika wakat yanaishašŸ˜€šŸ˜€šŸ˜€
 
Wakati huo ilikuwa ni album za picha na daftari za autobiography
Alikuja na kisu kikali akaanza kuchanachana kila kitu.. Nikatulia tuli..
Alipoona sina reaction akaacha na kuniuliza kwanini hunizuii

Nikamwambia kwa upole kumbukumbu halisi haziwezi kuchanwa kwa kisu labda turudishe wakati nyuma na ku cancel kila kitu
Zile nyakati za furaha
Zile nyakati za hisia kali tukiwa wawili tu chumbani
Tulikoenda pamoja
Tulipokula pamoja..
Akakitupa kisu mvunguni na kuanza kulia.. Kisha nikatia komeo mlangoni nikashusha pazia
Nikaweka mziki wa killing me softly nikamchojoa zote na kuanza kumbebeleza[emoji23]View attachment 3572766
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Issue sio kufanikiwa, ila kikubwa ni kumwelewa mwenza wako positively. Mfano watu wa April hua wanachukia haraka na wanawai kusamehe…
so ukijua hii inakusaidia kuhepuka maudhi kwa mwenzio.

Kudumu kwenye mahusiano ni issue nyingine, ila amini kama binadamu ana mwisho bas hata mapenzi hua yanafika wakat yanaishašŸ˜€šŸ˜€šŸ˜€
Hakuna uhalisia zaidi ya imani yako tu
 
Mtani yapo na kwa wenzetu ni elimu kabisa na madaraja na tafiti zilizowapa watu uprofesa na PhD lakini sio kama hizi za mchongo za Malawi šŸ˜‚
Mimi sio mapenzi tuu hata kazn inanisaidia kuishi na watu.. kuna watu ukishawasoma walivyo huna haja ya kubishana nao maana kwa asili yake hutoshinda šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Ulaya America kote huko ndoa zina migogoro Africa cha mtoto , hizo elimu za nyota ni imani tu hazina impact yoyote
Yan daima tambua migogoro ni sehemu ya maisha. Ila usisaau mahusiano yanaweza kudumu hata mapenzi yakiisha…

Hii tunaishi hata leo, ndoa kibao wanaishi pamoja ila ndani wameachana na kila mtu ana mtuwe nje… sasa hii ni bora au bora kuachanašŸ¤·šŸ½ā€ā™€ļø
 
Nyota hazina impact ni imani tu kama zilivyo nyingine, sasa kama ni hivyo hizo nyota zenu zimesaidia kitu gani
 
Ulaya America kote huko ndoa zina migogoro Africa cha mtoto , hizo elimu za nyota ni imani tu hazina impact yoyote
Unajua nyota ni kwa ajili ya maisha na si kitandanišŸ˜‚ ukitegemea nyota mpaka kwenye jihad ya kanyama utafeli big timešŸ˜‚
 
Back
Top Bottom