Maumivu ya mapenzi

Maumivu ya mapenzi

Wazee wetu walichukuana na wamedumu , ndoa ulaya America kila siku zinavunjika , hakuna cha nyota wala kitj gani ,ni mifumo ya maisha tu imebadilika na hakuna mtu yupo tayri kuvumilia ujinga wa mwingine
Asikudanganye mtu bora ndoa za kuachana kuliko ndoa za wazee wetu, walikua wanachapiana vibaya mno… unakuta familia ina watoto 9 ila wawili ni wa nje na hio siri anajua mama na baba. Kitakachostua ni ubaguzi wa chinchin…. Wanajipoza kwa msemo ‘kitanda hakizai haramu
 
685a546f-cbc2-4611-8483-ffcd823555ae.jpeg
waliitumia Sana hiyo kanuni
 
Tuliachana baada ya mahusiano ya miaka 07. In my early 20's and her as a teeneger we found each other. Alinivumilia sana coz sikua na mwelekeo wowote wa mafanikio, I had a real hustle bt matokeo yalikua bila bila. Akaona siwez mfikisha nchi ya ahadi, nikaachika kwa maumivu makali sana ya fumanizi, kisha kutoa mimba alopata kwangu baada ya kuona ni mkosi kuzaa na mtu asiye na nyota ya mafanikio, Nikamuachia kila kitu nilichopata kwa hustle za hapa na pale na kuanza maisha mapya na godoro tu. Mawasiliano pekee after divorce ni kuniomba nirudishe lile godoro. Mungu si "Tlaatlaa" after less than 6 months nikaheshimika mjini. The rest is history.
 
Asikudanganye mtu bora ndoa za kuachana kuliko ndoa za wazee wetu, walikua wanachapiana vibaya mno… unakuta familia ina watoto 9 ila wawili ni wa nje na hio siri anajua mama na baba. Kitakachostua ni ubaguzi wa chinchin…. Wanajipoza kwa msemo ‘kitanda hakizai haramu
Unatoka nnje ya hayo mambo yako ya nyota, hakuna cha nyota ,sijui punda ,mbuzi ,beberu ,nguruwe itakayo kufanya ufanikiwe au mahusiano kudumu
 
Kabisa, mimi daima ntaziponda sana ndoa za zamani maana zilikua ni maumivu kwa wote… Unakuta baba anapata safar anaacha hakuna mimba ila baada ya mwaka anarud anakuta kuna mtoto ananyonya na hana cha kufanya anatulia maskin😀😀😀
Don't try this with Gen Z
 
Back
Top Bottom