Mnyama wa DM
JF-Expert Member
- Mar 24, 2026
- 325
- 1,060
uyo mwenyewe anadai ana 62 yrs. Wahuni nao huzeeka mkuu.Harufu ya ufwala nimenusa hapa, vivulana bhana, jambooo kijana
uyo mwenyewe anadai ana 62 yrs. Wahuni nao huzeeka mkuu.Harufu ya ufwala nimenusa hapa, vivulana bhana, jambooo kijana
Kimya kimya lakini, kwake yeye alishakua mkongwe kwenye mahusiano ila mi ndo ilikua mara ya kwanza kuingia kwenye mahusiano na kubreak.Hukulia na kusaga meno 😁😁?
Kuna siku utanielewa mtani.. taratibu tuu unielewe.. hata mm nilikua sipendi hizi mambo kama wewe ila nilipochunguza nikagundua kuna some helpNazungumzia nyota, naweza kuchambulia mpaka NATA chati yako ila ni gibberish tu
Mzee kijanauyo mwenyewe anadai ana 62 yrs. Wahuni nao huzeeka mkuu.
Doh! Polee sana lakini ndiyo ukubwa huo, sahivi ushakuwa mzoefu unapepea tu 😁Kimya kimya lakini, kwake yeye alishakua mkongwe kwenye mahusiano ila mi ndo ilikua mara ya kwanza kuingia kwenye mahusiano na kubreak.
VemaaUko sahihi babu ndyo najaribu kumwelewesha min -me hata anielew 😔😔
Mtani sio lazima kuzifuata ila zinakusaidia kukupa ABC ya mtu ili kuconnect na kulindana kihisiaAmbae hafutishi nyota na yupo hivyo hivyo tu kuna faida gani yakuzifuata?
Kuna kijana masikini humshauri kitu hapo akakuelewaFuture wife huyo wa mtu😂
Confidence ✅️Basi poa hapo mkubwa
View attachment 3572756
Hakuna chochote ni maujinga tu , hakuna siku nitaelewa, siku nilipo acha kujikita na hizi mambo nikayakabili maisha kiuhalisia ,ndio nilipata matokea na sio nyota sijui maombiKuna siku utanielewa mtani.. taratibu tuu unielewe.. hata mm nilikua sipendi hizi mambo kama wewe ila nilipochunguza nikagundua kuna some help
Mno nimempenda bureConfidence ✅️
Tatizo nyoyo zetu jinga sana...kila anaekuja zinamwamini sana...zinatubebesha mzigo na majukumu...kupenda tusipopendwa....nyoyo zetu ni jinga sanaUzuri mapenzi hayaishi fasheni na watu wameumbiwa kusahau
Unapenda kisha unatendwa unajiapiza hutapenda tena! Halafu unajikuta mtegoni tena! Na tena!
Kinachokera ni kwamba *UKIONA UMEPIGWA KIBUTI UJUE KUNA MJANJA KAPENDWA NA UKIONA UMEPENDWA JUA KUNA FALA KAACHWA!😝😷
Nishasahau mambo ya kuachana saiv ni kudate tu tunapotezana tukikutana tunaanza upya, tunapeana space tukikutana tunaanza upya.Doh! Polee sana lakini ndiyo ukubwa huo, sahivi ushakuwa mzoefu unapepea tu 😁
VemaaYaani.. Ila huwezi kujua anapewa nini.. Wahenga walisema kila shetani na mbuyu wake
Yeah 🤣Mzee wa mfeeeji😂