Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

aisee, ni mchaga tena huyu!!!!!???? Nilichojifunza kwa wachaga ni kwamba hata kama utaona kuwa hawaelewani kati ya mke na mume then utumie fursa hiyo kumpata mke wake. Nakuambia akifahamu tu ni lazima akumalize. Wachaga wana wivu sana na wake zao, hata wakiachana kwa talaka au kutengana huwa wanaume wale hawafurahi sana wakisikia kuwa mke yule ana mwanaume mwingine. Nimeshuhudia incidence nyingi za hawa jamaa, hata kama hawakuua lakini huwa ni lazima mwanaume upate vitisho au kufanyiwa visa. Sasa huyu sijui huyo dada mtu ndiye aliyesababisha wawili hao kukosana au? Maana dada mtu kauwa na dereva na anayedhaniwa kuwa mchumba kajeruhiwa. Nafikiri alitaka awamalize wote akaona sasa atakamatwa akaamua kujimaliza. Rest in peace shemeji na dereva, na wewe muuaji mungu anajua atakapokupumzisha!!!! Tujitahidi hata kama unampenda mwanamke/mwanaume kiasi gani, kuachana kunauma ila jua kuwa wanawake/wanaume are like buses, you missed one, you get another (the next) one. Why killing yourself? Huyu jamaa anabiashara ya magari, siamini kama vihela havimtembelei, achana naye, wako wanawake wengine wazuri tu. Na mwanamke au mwanaume akianza kukudengulia jua kuwa hata mkifunga ndoa hamtaishi au kudumu. Bora dalili za kuachana zionekane mapema na kila mtu achukue ustaarabu wake.
well said, wenye masikio na wasikie ! Ubarikiwe sana
 
JAMAA ALIYETWANGA WA RISASI NI WAKULE KULE NI "GABRIEL MUNIS" na MPENZIWE NI "CHRISTINA NONDO" AKIENDESHWA NA DEREVA FRANCIS SAMUEL
 
Aisee, ni mchaga tena huyu!!!!!???? Nilichojifunza kwa wachaga ni kwamba hata kama utaona kuwa hawaelewani kati ya mke na mume then utumie fursa hiyo kumpata mke wake. Nakuambia akifahamu tu ni lazima akumalize. Wachaga wana wivu sana na wake zao, hata wakiachana kwa talaka au kutengana huwa wanaume wale hawafurahi sana wakisikia kuwa mke yule ana mwanaume mwingine. Nimeshuhudia incidence nyingi za hawa jamaa, hata kama hawakuua lakini huwa ni lazima mwanaume upate vitisho au kufanyiwa visa. Sasa huyu sijui huyo dada mtu ndiye aliyesababisha wawili hao kukosana au? Maana dada mtu kauwa na dereva na anayedhaniwa kuwa mchumba kajeruhiwa. Nafikiri alitaka awamalize wote akaona sasa atakamatwa akaamua kujimaliza. Rest in peace shemeji na dereva, na wewe muuaji Mungu anajua atakapokupumzisha!!!! Tujitahidi hata kama unampenda mwanamke/mwanaume kiasi gani, kuachana kunauma ila jua kuwa wanawake/wanaume are like buses, you missed one, you get another (the next) one. Why killing yourself? huyu jamaa anabiashara ya magari, siamini kama vihela havimtembelei, achana naye, wako wanawake wengine wazuri tu. Na mwanamke au mwanaume akianza kukudengulia jua kuwa hata mkifunga ndoa hamtaishi au kudumu. Bora dalili za kuachana zionekane mapema na kila mtu achukue ustaarabu wake.
hapo kwenye blue ndipo wengi wanaposhindwa kukubaliana napo,mie binafsi nilishaachwa na mwanamke niliempenda sana, tena wakati ananiacha mimi nilikua kwenye peak kabisa, i was almost crazy lakini nilipiga moyo konde siku zikaja siku zikaenda hatimaye nikasahau na nimempata mwingine ambae tuna mtoto mmoja sasa na ninafurahia maisha km zamani hivyo cha muhimu kwa vijana na wadogo zetu ni kukubaliana na hali halisi, km amekukataa achana nae though inauma sana kiukweli, jipange utapata mwingine tu cuz wanawake wamejaa tele humu duniani.
 
kwani mtu akikufanya kitega uchumi ndio umuue na kujiua.....its simple kudeal na mtu huyo_ni kumnyima misaada na kumtema mazima then...life goes on....sema nyie watoto mliosoma academy na st..mary's mna uwezo mdogo sana kuhimili mikiki..mikiki ya maisha....get it..?

sawa ujakosea ila bora udhulimiwe mamilioni kuliko tunda lako
 
kapuya anajitaidi kupangua hoja kwa ustadi mkubwa anaweza akashinda hii mechi jamaa

mkuu kwa hizi blah blah za kwenye media naona km jamaa ameshashinda hii isssue long time, kweli mwenye pesa sio mwenzako.
 
Nadhani atakuwa anatoka kule kwa mazuzu yanayolima msimu mzima halafu mavuno wanayatumia kwa ajili ya ngoma na wengi wao miguu imeenda kushoto kwa kushambuliwa na funza.

umejibu kwa ukali mno wakati mimi nimeuliza kwa nia njema mangi wa kishumundu
 
wahehe style yao kujitundika kwisha kabisa...wachaga wameamua ku-advanve na manati ya mzungu ukimkera tu anakulipua
 
JAMAA ALIYETWANGA WA RISASI NI WAKULE KULE NI "GABRIEL MUNIS" na MPENZIWE NI "CHRISTINA NONDO" AKIENDESHWA NA DEREVA FRANCIS SAMUEL

Ni Christina Nando na Marehemu mdogo wake ni Alfa....Nimekuwa shocked sana sababu ni jamaa zangu....Mungu awalaze marehemu mahali pema peponi na awatie nguvu majeruhi...
 
Spirit ya kiarabu hii " IF YOU HURT ME, I KILL YOU AND I KILL MYSELF"
WEWE sisi hatujiui kijinga hivyo!!

Re: Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

quote_icon.png
By zogwale
aisee, ni mchaga tena huyu!!!!!???? Nilichojifunza kwa wachaga ni kwamba hata kama utaona kuwa hawaelewani kati ya mke na mume then utumie fursa hiyo kumpata mke wake. Nakuambia akifahamu tu ni lazima akumalize. Wachaga wana wivu sana na wake zao, hata wakiachana kwa talaka au kutengana huwa wanaume wale hawafurahi sana wakisikia kuwa mke yule ana mwanaume mwingine. Nimeshuhudia incidence nyingi za hawa jamaa, hata kama hawakuua lakini huwa ni lazima mwanaume upate vitisho au kufanyiwa visa. Sasa huyu sijui huyo dada mtu ndiye aliyesababisha wawili hao kukosana au? Maana dada mtu kauwa na dereva na anayedhaniwa kuwa mchumba kajeruhiwa. Nafikiri alitaka awamalize wote akaona sasa atakamatwa akaamua kujimaliza. Rest in peace shemeji na dereva, na wewe muuaji mungu anajua atakapokupumzisha!!!! Tujitahidi hata kama unampenda mwanamke/mwanaume kiasi gani, kuachana kunauma ila jua kuwa wanawake/wanaume are like buses, you missed one, you get another (the next) one. Why killing yourself? Huyu jamaa anabiashara ya magari, siamini kama vihela havimtembelei, achana naye, wako wanawake wengine wazuri tu. Na mwanamke au mwanaume akianza kukudengulia jua kuwa hata mkifunga ndoa hamtaishi au kudumu. Bora dalili za kuachana zionekane mapema na kila mtu achukue ustaarabu wake.

well said, wenye masikio na wasikie ! Ubarikiwe sana​
 
Kuna kituhuwa nafikiria cjui kama na wengine mnafikiria hivi humu duniani kuna mijitu tunaishi nayo ina nafsi za kishetwani nafsi zao zinawaza mabaya kuliko hata wanyama zamani enzi zetu tukiwa wadogo ukisikia mtu kafa sehemu aliozikwa km pana njia hutapita hiyo njia mpaka ipite miezi lakini sasa tofauti nafsi zimekuwa za damu na nyama hii ni laana ya kutokuwa ns hofu ya mungu tunahiji maombi
 
A lady who have built his banking career for 9 good years...anakuja kuuawa kinyama kiasi hiki???RIP my co-worker and friend......RIP Alpha Alfred
 
Back
Top Bottom