Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar


mguu moja ndani, moja njee ndio mpango mzima.
 

Huyo raia wa Kenya ni mchumba wa dada yao mkubwa,anaitwa carol....ndiye aliyekuwa anadrive....na yuko hospital...Hajafa!!
So,walikuwa wanaendeshwa na shemeji yao....(marehemu Alfa&Christine)pamoja na Bi.Mkubwa.
 
Comments nyingi humu ni za kuuga mkono kwa kitendo kilichotokea na hasa wanaume. Sijaona comment za wanawake kuwa nao wana maoni gani kwa haya yanayowatokea? All in all ni kwamba, tulio wengi hasa watanzania hatuna desturi ya kuwatumia wanasihi (counselors or psychotherapists) kwa nyakati zote. Hili si kosa lao ni la kimfumo, kwamba serikali haioni umuhimu wa hii huduma kwani wanakazania kuingiza dawa (chemicals) zaidi kutoka india na china as if kila tatizo linahitaji vidonge au sindano!
Ifike wakati serikali ione haja ya kuziweka counselling centers karibu zaidi na watu kama ilivyo kenya ili kuwasaidia watu waliostuck kuweza kusonga. Watu wana psychological disorders nyingi but huwezi kuziona wala kufeel kwani zahitaji utaalam. Mfano, hawa wanaocommit suicide and murder wangekuwa na small knowledge ya counselling wangeweza hata kuapply eclectic method na wakaachana na mawazo ya kuua na kujiua.
Tupiganie huduma ya unasihi itumike mashuleni kwa lazima badala ya viboko kuwaokoa waliobaki. Kinyume na hapo tutarajie majanga makubwa zaidi. Nawasilisha.
 
na pesa yenyewe ilivyokuwa ngumu kumamamke unadhulumiwa hivi hivi aisee, nway
 
Jamani mdogo wangu Gabriel kwanini umejiondoa mapema kisa mapenzi.
Kweli jana niliipuuza hii habari ila leo nimesoma kwa umakini nimeshituka sana.
Pole sana dada Gloria kaka Edo na Mama.
Tumekuwa pamoja pale Kitangiri Mwanza jeshini.
Poleni familia.
 
Mungi, hii dunia ina makorokoro mengi sana. Iwe kweli au si kweli lakini mtu kuchukua uhai wa mwenzake na wa kwake at a go si suala dogo. Hawa wadudu wa kike waone hivyo hivyo. 1999 kidogo ni disco kwa sababu kama za Ufoo. Niishie hapa

heheheheheeee,,,,,,,,ila ungekua na pisto ww,hiyo 1999 ungeua
 
Last edited by a moderator:

mapenzi hayo ndugu yangu,je Gabriel kama unamjua alikua ni mtu wa tabia gani???,mpole,mlevi,mcheshi au???
 
Huyo raia wa Kenya ni mchumba wa dada yao mkubwa,anaitwa carol....ndiye aliyekuwa anadrive....na yuko hospital...Hajafa!!
So,walikuwa wanaendeshwa na shemeji yao....(marehemu Alfa&Christine)pamoja na Bi.Mkubwa.

thanx,so mume mwenza wa Gabriel hakua kwenye gari,,,,,
 
Matukio kama yakitokea mengine saba, wadada watakuwa wamejifunza. Mapenzi ya kilaghai yatapungua kama siyo kuisha kabisa. Tuombe Mungu yatokee mengine yenye action zaidi hata ya kijambazi
 
Hatakama umeoa ndugu hawajamaa ni kunguni ukigusa2 ananuka labda awe mchamungu sana bilahivyo subiribalaa utauwa.

Tunatukanajwe kwa makosa ya wengine!
Hata wanaume matapeli wa mapenzi wapo pia jamani na huyo plan B pia ni mwanaume vile vile.
 
Ha ha haaaaa utachekwa mchana kweupe ujue!!!!!!
Nikikukuta mkuu ni maganja kwenda mbele ana ukibisha napiga kelele ya mwizi!!!!!

Honestly huwa muoga sana wa kupenda,mambo yenyewe ndo haya ya kuzinguana nahofia sana,wacha niumize kichwa kwenye pesa,watu wengi wananitegemea leo nije nijiue kwa kuzinguliwa na bint,its beta nikawa naepuka mapemaaa
 
Hapana hapa kulikuwa na mkataba / contract kama ni kweli lakini. Kulikuwa na contact kati ya hawa wawili, kumbuka mkataba siyo lazima uandikwe hata wa maneno ni mkataba

ni ujinga bora angelia tu maisha yakaenda unakufa kisa nyapu mazee
 
Ha ha haaaaa utachekwa mchana kweupe ujue!!!!!!
Nikikukuta mkuu ni maganja kwenda mbele ana ukibisha napiga kelele ya mwizi!!!!!

Maana hivi vibuti vya kuambiwa na bint kuanzia leo mim na wewe basi,au naomba tusitishe uhusiano,nshaambiwa sana,ila huwa siumii au kujutia kwakua nakua sijapenda,sasa ndo nawaza naambiwa hivo halafu ndo nshwekeza moyo na pesa,nadhan hadi leo moyo ungekua na viraka,,,,,
 
Honestly huwa muoga sana wa kupenda,mambo yenyewe ndo haya ya kuzinguana nahofia sana,wacha niumize kichwa kwenye pesa,watu wengi wananitegemea leo nije nijiue kwa kuzinguliwa na bint,its beta nikawa naepuka mapemaaa

Ivyo ivyo mpwa!!!!!!
Penda kwa kichwa bana moyo acha usukume damu tu!!!!!!
Love by objectives!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…