Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 12,923
- 32,337
Ni wa kuwasamehe tu, hawajui walitendalo.Hawa jamaa tunawachekea sana...ndo maana wanaendeleza kufanya huu us.nge..
Inatakiwa tuwe tunafanya tit for tat,huu ni upuuzi na wanajiona sana...
Adam alingonoka sardaus mbele ya Allah??Mbona umeruka kwenye wanawake kama kitu cha ajabu wakati Adam mwenyewe alipewa mwanamke? We umepotosha kwamba kila mtu atapewa wanawake 72 bila kuleta andiko. Hayo madai umeyatoa wapi? Au umemezeshwa na wenzako wa mitandaoni?
Adam akumuoa Hawa bali alikabidhiwa
Naona hapo Yesu ataoa peke yake.
Ufunuo 19:7 BHN
Tufurahi na kushangilia; tumtukuze, kwani wakati wa harusi ya Mwanakondoo umefika, na bibi harusi yuko tayari.
Adam kwa nini alipewa mwanamke peponi ?Kuoa na kuolewa ipo Sawa kwani Sifa za malaika unazijua kwa mujibu wa biblia yenu?
Kwa nini vitu hivyo we unaona vya ajabu sana wakati una amini kwa mujibu wa imani yako Mungu alishuka duniani na kujitundika msalabani ili msamehewe dhambi?
We una imani ya kuimba na kucheza. Ikiwa sauti sina na sijui kucheza, mtanilazimisha?
Kwa hiyo kijana usiwe unaropoka vitu.
Mnawachekea wakina nani? Wewe na nani? NIGERIA siyo mbali, nenda kafanye hiyo tit for tat, ni vizuri kutoa mfano kwa vitendo na siyo kutumia lugha ya wingi kuhamasisha watu katika uharibifu/uadui - tena kwa lugha chafu, nenda mwenyewe kwanza ukafanye ulichonuia, ukirudi utatusimuliaHawa jamaa tunawachekea sana...ndo maana wanaendeleza kufanya huu us.nge..
Inatakiwa tuwe tunafanya tit for tat,huu ni upuuzi na wanajiona sana...

Hili hapa Andiko!We tangu uliposikia hilo andiko huwa halitolewi. Ila la kuimba,kucheza na kunywa divai halikufurahishi kwa mujibu wa biblia?
Muda wote unapiga nyimbo na kucheza kama Diamond. Tarumbeta na ngoma mwanzo mwisho bila kupumzika


Rudi tena shule ukasome, usijidai unajua kila kitu.. Unajiabisha mbele za watu.. Unaweza kuwa mjinga, ila usiwe mpumbavu.Huna unaloliewa. Kipimo kidogo sana umejionesha jinsi ulivyo finyu. Kama huamini kuwa u poyoyo, weka ushahidi wako.
Kwa kukujza tu,hakuna taifa wala dini iliyoitwa "Wayahudi" wakati wa Yesu.
Gonna harm me cause the just hate me wit no reasons.Sawa![]()
Suppose what you're saying is correct, what's that gonna harm you?
The word kaffir just simply means someone who reject faith/iman
Point yako ni nini mkuu? Kwamba waislam waendelee kuua wengine kisa dini? Na wakiua wanyamaziwe kwa sababu kuna wauuaji wengine waaio waislam?Yule muuaji wa buffalo city USA angekuwa ni Muislamu Ingekuwa habari kubwa Sana
Sipo huko,means sio habari kisa kafanya Mzungu,pili Muislamu hawezi ua watu wasio na hatia. Wale wanaoua ni wahuni wasiyoijua hata dini.Point yako ni nini mkuu? Kwamba waislam waendelee kuua wengine kisa dini? Na wakiua wanyamaziwe kwa sababu kuna wauuaji wengine waaio waislam?
Where you at?Gonna harm me cause the just hate me wit no reasons.
Dei call me Cafir an hate me.
An dei can kil me any time.
Had yo notice dis danger ?

ادْعُ إِلَىٰ سَبِيلِ رَبِّكَ بِالْحِكْمَةِ
وَالْمَوْعِظَةِ الْحَسَنَةِ ۖ وَجَادِلْهُم بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ ۚ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ بِمَن ضَلَّ عَن سَبِيلِهِ ۖ وَهُوَ أَعْلَمُ بِالْمُهْتَدِينَ
[ AN NAH'L - 125 ]
Waite waelekee kwenye Njia ya Mola wako Mlezi kwa hikima na mawaidha mema, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora. Hakika Mola wako Mlezi ndiye anaye mjua zaidi aliye ipotea Njia yake, na Yeye ndiye anaye wajua zaidi walio ongoka
وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ
[ ASH-SHUURA - 7 ]
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Mji wa makka na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.

Sasa kama wanajitoa muhanga kwa kuua watu hovyo tufanyaje??Una jeuri gani wa kupigana na waislamu!! Kila kona ya Tanzania kuna waislamu, hiyo jeuri ya kuwapiga waislamu inatoka wapi!!! Acha kuongea kwa hisia kijana, utabondwa hadi kufa na urudishwe huko kwenu ITALY. Hii nchi ina idadi kubwa ya waisilamu, ivyo usithubutu kufanya hayo utakuisha![]()
TaqiyaView attachment 2237185
nawausia ndugu zangu waislam kua na subira na uvumilivu wa maudhi hivo ni Bora zaidi kwetu sisi kwani maudhi hayakuanza leo Wala Jana tukumbuke kisa Cha Mtume wetu alipokea kejeli,,matusi na kashfa na vitisho vingi Mara tu baada ya kupokea utume lakini alivumilia na kua na subra Wala hakuwaombea mabaya Wala kuagiza wauwawe na wengi wa waliokua wakimkejeli wakaja kusilimu kutokana na tabia na mwenendo wake kwao tukumbuke pia alipoenda kijijini Cha Tai'f alipigwa mawe kiasi nguo zake zilitapakaa damu malaika akamshukia kwa idhini ya Mwenyezi Mungu kumuuliza adhabu gani ingewastahili wenye mji ule ili Mwenyezi Mungu aitekeleze juu yao lakini mtume wetu akasema amewasamehe na kumuomba Mwenyezi Mungu asiwaadhibu Bali azilainishe nyoyo zao wawe waislam na baada ya muda kupita tunashuhudia wenyeji wote wa mji ule walisilimu Basi nasi tujipambe na sifa za Mtume wetu,,,
Pia nawausia wenzetu wa upande wa pili kuacha chokochoko,,kejeli na kashfa dhidi ya waislam na kile wanachokiamini kwani waislam tuna mapenzi makubwa mno na imani yetu na mtume wetu zaidi ya mapenzi ya mama kwa mwanae au zaidi ya vile alivyopendwa yesu na wanafunzi wake maana Kuna waliomsaliti na waliomkana kipindi Cha misukosuko lakini mtume wetu Ni kinyume chake hakuwahi kusalitiwa Wala kukanwa na maswahaba wake pamoja na misukosuko yote aliyopitia Bali walikua tayari kufa wakimkinga dhidi ya washirikina wa macca,,,na mahaba hayo yamedumu Hadi hivi leo Sasa ukimpenda mtu halafu ukaona anafanyiwa ndivo sivo roho lazima iumie na kwa vile sisi pia Ni binadamu ukiumizwa Kila mtu ana kiwango chake Cha subra na uvumilivu kuepusha Shari za namna hii Kila dini ziheshimu Imani za wengine tutaishi kwa salama na kiukweli waislam tunajitahidi Sana katika hili la kuheshimu Imani za wengine ndo maana hujapata kusikia muislam amechoma,,amechana au kukojolea au kutemea mate Wala kukanyaga biblia,,,hujapata kusikia muislam ana mtusi yesu Wala Maria mama yake,,lakini kejeli na kashfa nyingi zinatoka kwa wakristu ambao kutwa mnajisifu kua mna upendo lkn ukweli upendo wenu Ni wa nje TU ila kwa ndani mna chuki kubwa Sana dhidi ya waislam,,, Basi tuchukieni tu kimoyomoyo msianzishe uchokozi halafu waislam waki react ionekana ndio wakorofi huku mnasahau huku kwetu hakuna unyonge wa " akupigae la kulia mgeuzie la kushoto" huku kwetu Kuna ""wakikupigeni nanyi wapigeni Hadi fitina iondoke katika ardhi maana fitina Ni mbaya kuliko kuua, wakikushambulieni nanyi washambulieni sawa sawa na walivokushambulieni,,, lakini wakiacha nanyi acheni wala MSIANZE UADUI kwani Mwenyezi Mungu HAWAPENDI WAANZAO uadui"" Sasa mnaanza uadui halafu tukireact tunaonekana sisi ndo maadui,,acheni hizo.
Baada ya kusema hayo SIUNGI mkono walichofanya ndugu zetu waislam dhidi ya huyo dada wa kikristu Ni kinyume na mafundisho ya Quran na sunna.


