Mauaji Nigeria

Mauaji Nigeria

Wewe ni kichaa, mngefanya ujinga huo huku bongo mngeona moto.

Una jeuri gani wa kupigana na waislamu!! Kila kona ya Tanzania kuna waislamu, hiyo jeuri ya kuwapiga waislamu inatoka wapi!!! Acha kuongea kwa hisia kijana, utabondwa hadi kufa na urudishwe huko kwenu ITALY. Hii nchi ina idadi kubwa ya waisilamu, ivyo usithubutu kufanya hayo utakuisha 😁
 
Wewe kama huamini alikuwa Mtume Kweli, tupo Waislaam billioni mbili leo hii tunaoamini alikuwa mtume kweli. Tatizo lako nini?

Kama kuna Mwafrika juha basi wewe ni kiongozi wao.
pia kuna kuna wahindi zaidi ya milioni 500 wanaoamini kuwa ng'ombe ni Mungu.
 
Yaani mtu anamuua Binadamu mwenzake anaye mwona na anaishi naye kila siku.

Imekuuma ya debora, ila ya vibaka wanaopigwa kiberiti hapa bongo hadi kufa kisa ameiba bidhaa yenye thamani ndogo sana haikuuma eti!!

Imekuuma ya huyo binti wa kikafiri ila ya wapalestina watoto, watu wazima na wazee wanauawa dhidi ya mayahudi laana za Allah ziwe juu yao, kila leo wanauawa ila haikuumi. Ya binti wa kikafiri ndio imekuuma sio!!!
 
Una jeuri gani wa kupigana na waislamu!! Kila kona ya Tanzania kuna waislamu, hiyo jeuri ya kuwapiga waislamu inatoka wapi!!! Acha kuongea kwa hisia kijana, utabondwa hadi kufa na urudishwe huko kwenu ITALY. Hii nchi ina idadi kubwa ya waisilamu, ivyo usithubutu kufanya hayo utakuisha 😁
Imekuuma ya debora, ila ya vibaka wanaopigwa kiberiti hapa bongo hadi kufa kisa ameiba bidhaa yenye thamani ndogo sana haikuuma eti!!

Imekuuma ya huyo binti wa kikafiri ila ya wapalestina watoto, watu wazima na wazee wanauawa dhidi ya mayahudi laana za Allah ziwe juu yao, kila leo wanauawa ila haikuumi. Ya binti wa kikafiri ndio imekuuma sio!!!

You know what ustaadh!!!

Mimi sikushangai wewe ila nitamshangaa zaidi yule atakaeku-quote baada ya hizi post zako hasa hizi mbili hapa maana akili yako imeshajionyesha ni kwa namna gani upo outdated,imani yangu wewe lengo lako la kuwepo ktk hii sayari hulijui akili yako umeikusanya kwenye kijichupa kidogo cha ujinga kiasi umekuwa taahira.
 
Imekuuma ya debora, ila ya vibaka wanaopigwa kiberiti hapa bongo hadi kufa kisa ameiba bidhaa yenye thamani ndogo sana haikuuma eti!!

Imekuuma ya huyo binti wa kikafiri ila ya wapalestina watoto, watu wazima na wazee wanauawa dhidi ya mayahudi laana za Allah ziwe juu yao, kila leo wanauawa ila haikuumi. Ya binti wa kikafiri ndio imekuuma sio!!!
Nani alikuambia mimi hainiumi kuuwawa kwa vibaka na raia wa Palestina ?
Mada ya vibaka ipo
Mada za Palestina zipo

Ulisha niona huko nikifurahia hayo mauaji hadi uniulize ?

Mbona huniulizi kuhusu Warusi wanavyo uana na Wa Ukrain muda huu ?

Kuua mtu kwa ajiri ya kumwongelea Marehemu usiye mjua huo ni zaidi ya utaahira.
 
Una jeuri gani wa kupigana na waislamu!! Kila kona ya Tanzania kuna waislamu, hiyo jeuri ya kuwapiga waislamu inatoka wapi!!! Acha kuongea kwa hisia kijana, utabondwa hadi kufa na urudishwe huko kwenu ITALY. Hii nchi ina idadi kubwa ya waisilamu, ivyo usithubutu kufanya hayo utakuisha
Zanzibar ndo nchi yenu, nendeni huko kwa Waislam wenzenu muuane huku Bara hamna chenu
 
Mungu hahitaji piganiwa, Mungu wetu ana nguvu, hahitaji tumtetee, hujitetea mwenyewe. Kama alivyojitetea kwa Gideon mbele ya baal, Elisha mbele ya wale jamaa 400
 
Hayo umeandika wewe.

Hakuna dini yenye Msamaha katika hukumu zake kama Uislam.

Hakuna dini yenye sifa za huruma na kurehemu kama Uislam.

Ujinga tu ndio unakufanya uandike maneno yako uyasingizie kuwa ni yangu. Punguani wahed.
Dini zikipokewa na wapumbavu zitaharibiwa tu. Hao wauaji ni wajinga wapumbavu wanaopaswa kulaaniwa na kushughulikiwa.

Kama wapo wanaowashabikia hao wapumbavu waliopokea dini bila ufahamu basi nao wakae mkao wa kunyooshwa.

Ni aibu huu upumbavu unafanywa na mtu mweusi karne hii, akiigiza mambo yaliyofanywa na wapumbavu wengine miaka maelfu iliyopita.
 
Jifikie kabla ya kuandika. Unakuja na hasira na lugha zinazofichua ujinga wako. Zinafichua ubaguzi wako.

Unafahamu kuwa Uislam ndio uliokuja kufuta ubaguzi? Hebu ingia msikiti wowote leo hii uone kama kuna ubaguzi humo. Hebu chukua japo dakika mbili tatu uusome Uislam. Hebu usome Uislam uelewe kuwa ndio dini pekee walioanza kuikumbatia hawakuwa watu weusi.

Uislam ndio dini pekee iliokuja kusema "mbora kati yenu ni mcha Mungu". Sio mbora mwenye rangi fulani, au mwenye mali, au mwenye ufedhuli wa maneno (kama wewe).

Wasome mabingwa wa urtrtrzi wa ubaguzi wa rangi duniani walivyoukumbatia Uislam, umejiuliza kwanini?

Msome Malcolm X, Msome Muhammad Ali (hawa wahivi karibuni, walidhalilishwa kwa rangi zao na dini yao ya awali haikuwasaidia kitu. Jiulize ni nini walikiona kwenye Uislam wakakikumbatia kindaki ndaki? Utapata jibu jema kabisa.

Unajuwa ukirusha shutuma, uweke na ushahidi. Ni juu yako kuweka ushahidi kwa tuhuma zako. Tuwekee hapa mafundisho ya Uislam yaliokufanya wewe uuponde.

Baada ya hapo, nakuuliza hivi watu billion mbili wanaoukumbatia Uisla leo hii dunia nzima, wote ni "wapumbavu" isipokuwa wewe tu? Jifikirie.
 
dini ni kitu sensitive sana na unapotaka kuongelea masuala ya dini tena isiyo yako inakupasa u calculate mara mbilimbili...
 
Tena Waislam usichezee wala kutoa maneno machafu (matusi)kabisa kwa Mitume yao na kuwakejeli, unajitafutia uhasama mwenyewe. Utatafuta pakutokea, labda ujifiche nyuma ya mtandao tu, kuna ambao wakikujuwa, unalo.
Ujinga mtupu! Kwa hiyo nyie ndiyo mnamachungu sana na Uwisilaamu kuliko hao Wa Arabu wenyewe waliowaletea hiyo Dini huku Africa kwa lengo la kufanya Biashara zao za utumwa na meno ya tembo!? Wa Africa kweli Dini zimetupumbaza sana!!
 
Biashara ya utumwa ilifanywa na babu zako, kumbuka hilo. Unafikiri watumwa walikamatwa kwa nguvu bila babau zako na machifu wao kuwauza? Waliwauza kwa vioo vya kujitazamaia, kwa kaniki na shuka za kujifunika, na shanga za kujipamba. Biashara ya utumwa ilikuwa ni kawaida sana enzi hizo kama inavyokuwa kawaida leo kwa majina mengine. Unaweza kunambia maana ya "manpower agency". Usidanganywe na aliyekufundisha historia ya kijinga kuwa Utumwa ulifanywa na "Mwarabu tu. Huyo alikudanganya ili akugawe na watetezi wako. Uislam na Waislam ndio watetezi wako wa kukutoa kizani kukuingiza kwenye Nuru ya maisha na kama ulikuwa huelewi.

Elewa kuwa Uarabu sio kabila au rangi kama ulivyojazwa ujinga na aliyekujaza ujinga. Jiulize ni nani huyo? Ni yule aliyewagawa akawatawala mababu zako kwa ukabila na dini. Kabla ya ujio wake.

Labda huelewi kuwa Waarabu wengi wapo Afrika kuliko kontinenti lingine lolote lile.

Labda huelewi kuwa kontinenti lenye watu weusi wengi nje ya Afrika leo hii ni Amerika, jiulize walifikaje huko, ni nani aliwapeleka huko> Ukipata majibu utakuwa umenielewa, labda ni ujinga tu ukufanye usielewe.
 
pia kuna kuna wahindi zaidi ya milioni 500 wanaoamini kuwa ng'ombe ni Mungu.
Naam, wajinga bado wengi ndio maana Mwenyezi Mungu akatuma mitume wake waje kuwafuta wajinga.
Wewe unaamini nini kuwa ni Mungu wako, mti au pango?
 
Exactly!!!

Huyu hapa muislam sasa,wale wote wanaotafuta sympathy kwamba dini haikuruhusu kuhukumu sijui blah blah blahs waje wasome comment ya muislam aliyeandika ukweli wa uislam.hakuna kitu msamaha ktk hiyo dini siyo kutoka kwa Mungu wao wala wafuasi wao
Dini ya Kiislaam ndio dini pekee yenye hukumu zilizokamilika ki sharia. Na ni dini pekee ambayo haina ujinga ujinga wa kutukaniwa Mitume yake. Hakuna kupigwa la kushoto ukageuzwa upigwe na la kulia kwenye Uislam.

Muislam anatakiwa asinyanyue mkono kupiga au kudhuru mtu mpaka iwe kwa kujihami tu. Sasa wewe unasikiliza manung'uniko ya upamde mmoja tu unatoa hukumu, ni dini ipi iliyokufundisha hayo? Ulisikiliza na upande wa pili?

Leo Tnzania hii, akimatwa mwizzi hata kwa kusingiziwa tu "mob justice" unamuua au kumpiga vibaya sana, huyajuwi hayo? Hujasikia hata kibaka akichomwa moto na kuuliwa? Hukumu hiyo imetolewa na nani?
 
Hawa watu ambao huua wenzao kwa sababu ya Allah/Mungu Mimi huwashanga, kwanini huyo Allah/Mungu asijipiganie mwenyewe maana tuanambiwa ni Mkuu na muweza wa yote!!!
Ndio maana hata mungu wenu alivyokuwa anasulubiwa mkabaki mnaangalia tu mnataka ajipiganie mwenyewe
 
Ndio maana hata mungu wenu alivyokuwa anasulubiwa mkabaki mnaangalia tu mnataka ajipiganie mwenyewe
Mambo ya Kusurubiwa yamepita miaka 2022 iliyopita.
Hapa tunazungumzia chinja chinja inayoendelea leo kwa mgongo wa kuilinda Dini.

Ustadh kama Ustadh Tongwe, huoni hilo ni tatizo.?
 
Soma vizuri post namba moja kilichodhihakiwa ni nini, usitie maneno yako kubadilisha kilichoandika, ni ujinga huo. Sijaona mahali kwenyeb post namba 1 kama ulivyoandika wewe kuwa "aliyeudhihaki Uislam".
Mjibu tu muislamu amtakaye allah atampatia!;

۞ قُلْ أَؤُنَبِّئُكُم بِخَيْرٍ مِّن ذَٰلِكُمْ ۚ لِلَّذِينَ اتَّقَوْا عِندَ رَبِّهِمْ جَنَّاتٌ تَجْرِي مِن تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا وَأَزْوَاجٌ مُّطَهَّرَةٌ وَرِضْوَانٌ مِّنَ اللَّهِ ۗ وَاللَّهُ بَصِيرٌ بِالْعِبَادِ

[ AL I'MRAN - 15 ]
Sema: Nikwambieni yaliyo bora kuliko hayo? Kwa wachamngu ziko Bustani kwa Mola wao zipitazo mito kati yake. Watadumu humo, na wake walio takaswa, na wanazo radhi za Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaona waja wake,
 
Biashara ya utumwa ilifanywa na babu zako, kumbuka hilo. Unafikiri watumwa walikamatwa kwa nguvu bila babau zako na machifu wao kuwauza? Waliwauza kwa vioo vya kujitazamaia, kwa kaniki na shuka za kujifunika, na shanga za kujipamba. Biashara ya utumwa ilikuwa ni kawaida sana enzi hizo kama inavyokuwa kawaida leo kwa majina mengine. Unaweza kunambia maana ya "manpower agency". Usidanganywe na aliyekufundisha historia ya kijinga kuwa Utumwa ulifanywa na "Mwarabu tu. Huyo alikudanganya ili akugawe na watetezi wako. Uislam na Waislam ndio watetezi wako wa kukutoa kizani kukuingiza kwenye Nuru ya maisha na kama ulikuwa huelewi.

Elewa kuwa Uarabu sio kabila au rangi kama ulivyojazwa ujinga na aliyekujaza ujinga. Jiulize ni nani huyo? Ni yule aliyewagawa akawatawala mababu zako kwa ukabila na dini. Kabla ya ujio wake.

Labda huelewi kuwa Waarabu wengi wapo Afrika kuliko kontinenti lingine lolote lile.

Labda huelewi kuwa kontinenti lenye watu weusi wengi nje ya Afrika leo hii ni Amerika, jiulize walifikaje huko, ni nani aliwapeleka huko> Ukipata majibu utakuwa umenielewa, labda ni ujinga tu ukufanye usielewe.
Faiza naona unawanyoosha mpaka wanatia huruma
 
Back
Top Bottom