Mauaji Nigeria

Mauaji Nigeria

wewe nae hata sijisumbui kukujibu Tena Kama kusifia na kusujudu unaona ni sawa nimeshafahamu uwezo wako wa kufikiri unapoishia.
Kwani kusujudu ni kufanya nini??
Ni Heshima ima ibada??
 
Tena Waislam usichezee wala kutoa maneno machafu (matusi)kabisa kwa Mitume yao na kuwakejeli, unajitafutia uhasama mwenyewe. Utatafuta pakutokea, labda ujifiche nyuma ya mtandao tu, kuna ambao wakikujuwa, unalo.
Hiyo Kweli aisee ...unajua sababu ya Mimi kukimbia Dar?? kuna waislam wa mtaani kule temeke walinijua I'd ya JF...wakaanza kupanga njama Za kuniua..Baadae nilipotaarifiwa Na waliponikosa mara 1 ikabidi nitoroke nikimbilie Moshi
 
Nini maana ya mahakama ya kadhi kuwepo na ni yapi majukumu ya kadhi na uwajibikaji wake. Je ni sahihi baadhi ya waislam kujichukulia shalia mkononi bila udhibitisho na hukumu toka kwa kadhi maana sote twajua kadhi ndio anae toa hukumu kwa mujibu wa shalia za kiislamu na taratibu za mahakama ya kadhi.
Mambo ya sharia Na kadhi hayamo kwenye Quran Wala hadith
 
kwanza yeye Ni "mtume" kiwango chake Cha Imani,,subra na uvumilivu hakiwezi kulingana na watu wa kawaida,,ndio maana walitaka kumpiga "akazuia" in maana asingekuepo yule aliyekojoa angepigwa ,hivo msituchokoze makusudi mkakojoa msikitini mkidhani WAISLAMU wote wana kiwango sawa Cha Imani,,uvumilivu na subra,, hata tujitahidi vipi hatuwezi kufikia level ya "mtume" utapigwa bakora.
Hatukatai baba Fatuma ni Mtume!
Tunacho kata Hakutumwa na Mwenyezi Mungu, Mungu Hakuna Alicho sahau hadi Amtume baba qasim na Mafundisho dhaifu...
Nani kamtuma Muhammad??
 
Niwekee aya.1 ya qulaani inayo bainisha miongoni mwa waislamu wapo wacha Mungu
Mimi nimeona aya inasema waislamu woote Motoni halidina fiha abadan!
وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّاًّا

(مريم - 71)
ولا أحد منكم قادر على الوصول إليه. هذا هو حكم ربك الذي يجب أن يتحقق.

wa'iin minkum 'iilaa wariduha ۚ kan ealaa rabik hatman maqdianaana
(maryam - 71)
wala 'ahad minkum qadir ealaa alwusul 'iilayhi. hadha hu hukm rabik aladhi yajib 'an yatahaqaqa.

(MARYAM - 71)
Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

Mimi as Waislamu Ninawapenda Sana Sana! Ilaha naichukia Roho(spirit) Islam!

Hiyo Mungu mmoja kwa watatu imeandikwa wapi kwenye Biblia Takatifu
Qulaani inasema Asie Amini Kitabu Anacho Tumia Paulo Mtume Shabab wa Yesu Amepotea tena mbali!

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا آمِنُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي نَزَّلَ عَلَىٰ رَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي أَنزَلَ مِن قَبْلُ ۚ وَمَن يَكْفُرْ بِاللَّهِ وَمَلَائِكَتِهِ وَكُتُبِهِ وَرُسُلِهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ فَقَدْ ضَلَّ ضَلَالًا بَعِيدًا

[ AN-NISAAI - 136 ]
Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake. Na anaye mkataa Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya Akhera, basi huyo amekwisha potelea mbali

MARYAM - 71)
Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

unajitahidi kuokoteza Aya ila bado Sana,,,ongeza juhudi huenda ukabahatisha kupata kile unachokitafuta.

19:66 - Na mwanaadamu husema: Hivyo, nitakapo kufa, ni kweli nitafufuliwa niwe hai tena?

19:67 - Je! Hakumbuki mwanaadamu ya kwamba tulimuumba kabla, na hali hakuwa chochote?

19:68 - Basi naapa kwa Mola wako Mlezi! Kwa yakini tutawakusanya wao pamoja na mashet'ani; kisha tutawahudhurisha kuizunguka Jahannamu, nao wamepiga magoti!

19:69 - Kisha kwa yakini tutawatoa katika kila kundi wale miongoni mwao walio zidi kumuasi Arrahmani, Mwingi wa Rahema..

19:70 - Tena hakika Sisi tunawajua vyema zaidi wanao stahiki kuunguzwa humo.

19:71 - Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.
Read that again kwa sauti,,,Kama bado hujaelewa uliza usaidiwe.

Hiyo Mungu mmoja kwa watatu imeandikwa wapi kwenye Biblia Takatifu-----sasa unaniuliza Mimi Tena sio wewe ndo uoneshe wapi pameandikwa Mungu Ni mmoja kwa watatu maana mimi nimetafuta sijaona na Wala Yesu hajafundisha Sasa nyie ya Mungu na utatu mtakatifu mmeutoa wapi Kama kwenye biblia haijaandikwa??

miongoni mwa waliopotelea mbali wewe mmoja wapo Quran inamtambua Muhammad Kama mtume wa Mwenyezi Mungu ,, vipi wewe?? Quran inamtambua Yesu kama mtume,, vipi wewe?? Yesu hamtambui Paulo Kama mwanafunzi wake achilia mbali kua mtume wake'' vipi wewe au Kama kuna andiko Yesu akiwaagiza mumuamini Paulo Kama mtume leta,,,
 
Nilifikiri nina-chat na mtu muelewa kuhusu deen/Imani kumbe ni mshabiki fulani tu!
Kwa Taarifa Huduma ya Yesu dunia Ilikuwa na Awamu.2!
1-Kabla ya Ufufuko
2-Baada ya kufufuka

Isaya 49
6 naam, asema hivi, Ni neno dogo sana wewe kuwa mtumishi wangu ili kuziinua kabila za Yakobo, na kuwarejeza watu wa Israeli waliohifadhiwa; zaidi ya hayo nitakutoa uwe nuru ya mataifa, upate kuwa wokovu wangu hata miisho ya dunia.

Baada ya Kufufuka!

Mathayo 28
16 Na wale wanafunzi kumi na mmoja wakaenda Galilaya mpaka mlima ule aliowaagiza Yesu.

17 Nao walipomwona, walimsujudia; lakini baadhi yao waliona shaka.

18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;

20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

""Watakapowaudhi katika mji huu, kimbilieni mwingine kwa maana ni kweli nawaambieni, Hamtaimaliza mji yote ya Israeli hata ajapo mwana wa Adamu (Matt.10:23).""

sasa nikuulize wewe maneno hayo aliyasema Nani?? mwana wa Adam anayezungumziwa hapo ni nani?? Kama Ni yesu je amesharudi ama bado?? Kama bado hajarudi hapo anasema hawataimaliza miji ya Israel mpaka atakaporudi,,,au unataka kutuaminisha kufufuka ndo kurudi kwa mwana wa Adam?? au tuseme yesu ndo muongo maana bado hajarudi lkn wanafunzi wameshaimaliza Israel na Sasa wanaendea mataifa,,,

Ona hii

Mt 5:18 SUV​

Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie.

lakini yeye Paulo anasema hampo Tena chini ya sheria ya Musa/torati yani Paulo sio kaondoa yodi moja au nukta yeye katengua karibia torati yote,,,, Sasa hapo Nani muongo Kati ya yesu na Paulo,,, Kama mafundisho ya Paulo Ni ya kweli Basi mnatuthibitishia kua hamumuamin yesu na Ni muongo maana mbingu na nchi bado zipo na torati imetenguka,,,Kama mnamuamin yesu Basi Pauli muongo hakupewa utume na yesu maana mafundisho yao yanakinzana.
 
MARYAM - 71)
Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

unajitahidi kuokoteza Aya ila bado Sana,,,ongeza juhudi huenda ukabahatisha kupata kile unachokitafuta.

19:66 - Na mwanaadamu husema: Hivyo, nitakapo kufa, ni kweli nitafufuliwa niwe hai tena?

19:67 - Je! Hakumbuki mwanaadamu ya kwamba tulimuumba kabla, na hali hakuwa chochote?

19:68 - Basi naapa kwa Mola wako Mlezi! Kwa yakini tutawakusanya wao pamoja na mashet'ani; kisha tutawahudhurisha kuizunguka Jahannamu, nao wamepiga magoti!

19:69 - Kisha kwa yakini tutawatoa katika kila kundi wale miongoni mwao walio zidi kumuasi Arrahmani, Mwingi wa Rahema..

19:70 - Tena hakika Sisi tunawajua vyema zaidi wanao stahiki kuunguzwa humo.

19:71 - Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.
Read that again kwa sauti,,,Kama bado hujaelewa uliza usaidiwe.

Hiyo Mungu mmoja kwa watatu imeandikwa wapi kwenye Biblia Takatifu-----sasa unaniuliza Mimi Tena sio wewe ndo uoneshe wapi pameandikwa Mungu Ni mmoja kwa watatu maana mimi nimetafuta sijaona na Wala Yesu hajafundisha Sasa nyie ya Mungu na utatu mtakatifu mmeutoa wapi Kama kwenye biblia haijaandikwa??

Qulaani inasema Asie Amini Kitabu Anacho Tumia Paulo Mtume Shabab wa Yesu Amepotea tena mbali!

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا آمِنُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي نَزَّلَ عَلَىٰ رَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي أَنزَلَ مِن قَبْلُ ۚ وَمَن يَكْفُرْ بِاللَّهِ وَمَلَائِكَتِهِ وَكُتُبِهِ وَرُسُلِهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ فَقَدْ ضَلَّ ضَلَالًا بَعِيدًا

[ AN-NISAAI - 136 ]
Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake. Na anaye mkataa Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya Akhera, basi huyo amekwisha potelea mbali

miongoni mwa waliopotelea mbali wewe mmoja wapo Quran inamtambua Muhammad Kama mtume wa Mwenyezi Mungu ,, vipi wewe?? Quran inamtambua Yesu kama mtume,, vipi wewe?? Yesu hamtambui Paulo Kama mwanafunzi wake achilia mbali kua mtume wake'' vipi wewe au Kama kuna andiko Yesu akiwaagiza mumuamini Paulo Kama mtume leta,,,

Ona unavyo jibu kikafir kafir
Hiyo aya inawahusu walio amini(المؤمنين) sio watu( اشخاص)
Weka andiko ww Paulo sio Mtume wa Yesu!
Halafu nipe sababu ya kushuka suratul Rumi
,
 
Hatukatai baba Fatuma ni Mtume!
Tunacho kata Hakutumwa na Mwenyezi Mungu, Mungu Hakuna Alicho sahau hadi Amtume baba qasim na Mafundisho dhaifu...
Nani kamtuma Muhammad??
emoji101.png
emoji101.png
Yeye aliyemtuma Daudi,,, Ibrahim,,, Nuh,, Yona,, Musa,, na yesu na wengineo ndiye aliyemtuma Muhammad,,Wala hakusahau kitu alipomtuma musa na taurat baada ya kwisha mtuma Daudi na zaburi,,pia hakusahau kitu alipomtuma Yesu na injili baada ya kwisha mtuma Musa na taurat,,,na hajasahau kitu alipomtuma Muhammad na Quran baada ya kumtuma yesu na injili,,,na kusahau na udhaifu Ni sifa ya viumbe vyake.
 
Ona unavyo jibu kikafir kafir
Hiyo aya inawahusu walio amini(المؤمنين) sio watu( اشخاص)
Weka andiko ww Paulo sio Mtume wa Yesu!
Halafu nipe sababu ya kushuka suratul Rumi
,
wewe unayemuamin Paulo weka andiko yesu anasema Paulo Ni mtume wake,,,

wewe ndo unayejibu kikafiri eti Aya inasema walioamin sio watu,,,Sasa wanaoamin Ni kina Nani Kama sio watu,,,,

suratul al-Rum kwa ufupi,,
inaanza kwa Mwenyezi Mungu kusimulia kushindwa kwa dola ya warumi dhidi ya waajemi,,Kisha Ahadi ya Mwenyezi Mungu kwa waumini kwamba atawapa ushindi dhidi ya waajemi,,

Kisha Mwenyezi Mungu akawageukia waumini na wasio waumini wa mji wa macca na kuwataka watembee wajionee mini mingine ya wale waliokua wameendelea zaidi walivyoangamizwa na Mwenyezi Mungu kwa uovu wao

Kisha sura ikaelezea siku ya kiama Hali itavokua na kuwasihi waumini kumuabudu Mwenyezi Mungu asubuhi mchana n jioni na ikaelezea ulimwengu na uumbaji wake kama ishara ya uweza wake

Kisha ikaeleza kuhusu kuomba toba,,kushika Sala,,kujiepusha na ushirikina,,kutenda haki dhidi ya jamaa,,maskini na wasafiri,,ikaelezea kuhusu riba,,zaka na ufisadi

Kisha sura ikaelezea nguvu za uweza wa Mwenyezi mungu ktk kuendesha ulimwengu akatumia mfano nguvu yake ktkaupepo,,,kufa na kufufuka kwa mazao ardhini,,na ukuaji kutoka utoto Hadi uzee,,

Kisha Mwenyezi Mungu akaelezea utofauti wa Hali za wakosefu na wale waliopewa elimu na iman zitavokua siku ya kiama

Kisha Mwenyezi Mungu akahitimisha kwa kumtaka mtume kua na subra juu ya ahadi ya Mwenyezi Mungu na asitishwe na wale wasio na iman.

Sasa ndugu Ni Aya ipi iliyo kutatiza usaidiwe.
 
Dawa ni kutafuta hiyo video na kutambua wauaji wote walioshiriki, msako unaanza kwa siri mmoja baada ya mmoja na kila anayeshikwa ni kuchoma moto LIVE na kurusha video zao mitandaoni ili wenzao waelewe wakiua nao watauawa na kwa mateso mara 100
 
Kuna jamaa mmoja mama yake aliuawa kijijini na wanakijiji kwa tuhuma za kusingiziwa uchawi, jamaa alichofanya aliunda kikosi kazi cha siri bila mtu yeyote kujua, waliwatambua wote waliohusika na mauaji ya mama yake, kwa siri aliwasafisha zaidi ya 50 na viongozi wote wa kijiji waliokuwa wana support mauaji ya wachawi, kwa ufupi mauaji ya tuhuma za uchawi yalikoma na hayakurudi tena na watu wakaanza kuheshimiana
 
unaruka ruka tu Kama maharage,,,hiyo wagalatia Ni maneno ya Nani?? Kama sio ya Paulo mwenyewe!! kwa hiyo Mungu alimtuma yesu(mtume),,yesu akaona ameshindwa kazi akamtuma Paulo??

Kama alitumwa na yesu kwa Nini ametengua torati? Nani Ni muongo Kati yao hujajibu unapiga tu sarakasi,,,

mitume wote wa Mwenyezi Mungu wawe laki ama wawe million wote ujumbe wao ulikua mmoja,,,waliwafunza watu kumuabudu Mungu mmoja kwa nn yeye Paulo peke yake awafunze kuabudu Mungu watatu?? kitu ambacho yesu mwenyewe hakuwafunza,,,msingi mkuu wa ukristo ni utatu mtakatifu kwa Nini yesu hakufundisha neno Hilo,, Yesu hamtambui Paulo Kama mtume ila Hawa kumi na mbili;;

Akawaita wanafunzi wake kumi na wawili, akawapa amri juu ya pepo wachafu, wawatoe, na kupoza magonjwa yote na udhaifu wa kila aina.

Na majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya; Wa kwanza Simoni aliyeitwa Petro, na Andrea nduguye; Yakobo wa Zebedayo, na Yohana nduguye;

Filipo, na Bartholomayo; Tomaso, na Mathayo mtoza ushuru; Yakobo wa Alfayo, na Thadayo;

Hao Thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie

Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

kwa hiyo mitume 12 walipewa kazi ya kuwaendea kondoo wa Israel lakini Paulo peke yake akapewa hadhi ya kuendea mataifa na ujumbe tofauti,,Hawa kumi na mbili waliasi Nini hadi apewe aliyekua adui yao ktk Iman??

yohana 17; 3-4
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Mimi nimekutukuza duniani, hali nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye.

Yesu anasema ameimaliza kazi aliyopewa Sasa alimtuma Paulo wa Nini Kama kazi imemalizika???

eeh mtajua wenyewe na maandiko yenu yanayokinzana yenyewe kwa yenyewe,,, msikie Paulo anavyosema kuhusu torat/sheria:;

Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulibiwa?

Nataka kujifunza neno hili moja kwenu. Je! Mlipokea Roho kwa matendo ya sheria, au kwa kusikia kunakotokana na imani

Je! Mmekuwa wajinga namna hii? Baada ya kuanza katika Roho, mnataka kukamilishwa sasa katika mwili?

Mmepatikana na mateso makubwa namna hii bure? Ikiwa ni bure kweli.

Basi, yeye awapaye Roho na kufanya miujiza kati yenu, je! Afanya hayo kwa matendo ya sheria, au kwa kusikia kunakotokana na imani?

Kama vile Ibrahimu alivyomwamini Mungu akahesabiwa haki

Fahamuni basi, ya kuwa wale walio wa imani, hao ndio wana wa Ibrahimu

Na andiko, kwa vile lilivyoona tangu zamani kwamba Mungu atawahesabia haki Mataifa kwa imani, lilimhubiri Ibrahimu habari njema zamani, kusema, Katika wewe Mataifa yote watabarikiwa.

Basi hao walio wa imani hubarikiwa pamoja na Ibrahimu aliyekuwa mwenye imani.

Kwa maana wale wote walio wa matendo ya sheria, wako chini ya laana; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu asiyedumu katika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha torati, ayafanye

Ni dhahiri ya kwamba hakuna mtu ahesabiwaye haki mbele za Mungu katika sheria; kwa sababu Mwenye haki ataishi kwa imani

Na torati haikuja kwa imani, bali, Ayatendaye hayo ataishi katika hayo.

Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;

Hayo ni maneno ya Paulo kwamba Imani pekee inawatosha wakristu na kwamba torat/sheria/matendo Ni laana,,yaani Musa alileta laana kwa waisrael,,na yesu amelaaniwa!!duh! balaa hili.. kwa msingi huu hakuna haja ya kuhubiri tabia njema Wala matendo mema na mabaya maana kuamini pekee kua yesu Ni Mungu na alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi kunawatosha!!!

Haya twende na hii;;
yakobo 2;14-26

Ndugu zangu, yafaa nini, mtu akisema ya kwamba anayo imani, lakini hana matendo? Je! Ile imani yaweza kumwokoa?

Ikiwa ndugu mwanamume au ndugu mwanamke yu uchi na kupungukiwa na riziki,

na mtu wa kwenu akawaambia, Enendeni zenu kwa amani, mkaote moto na kushiba, lakini asiwape mahitaji ya mwili, yafaa nini

Vivyo hivyo na imani, isipokuwa ina matendo, imekufa nafsini mwake.

Lakini mtu atasema, Wewe unayo imani, nami ninayo matendo. Nionyeshe imani yako pasipo matendo, nami nitakuonyesha imani yangu kwa njia ya matendo yangu

Wewe waamini ya kuwa Mungu ni mmoja; watenda vema. Mashetani nao waamini na kutetemeka

Lakini wataka kujua, wewe mwanadamu usiye kitu, kwamba imani pasipo matendo haizai?

Je! Baba yetu Ibrahimu hakuhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo, hapo alipomtoa Isaka mwanawe juu ya madhabahu?

Waona kwamba imani ilitenda kazi pamoja na matendo yake, na ya kwamba imani ile ilikamilishwa kwa njia ya matendo yale.

Maandiko yale yakatimizwa yaliyonena, Ibrahimu alimwamini Mungu, ikahesabiwa kwake kuwa ni haki; naye aliitwa rafiki wa Mungu.

Mwaona kwamba mwanadamu huhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo yake; si kwa imani peke yake.

Vivyo hivyo na Rahabu, yule kahaba naye, je! Hakuhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo, hapo alipowakaribisha wajumbe, akawatoa nje kwa njia nyingine?

Maana kama vile mwili pasipo roho umekufa, vivyo hivyo na imani pasipo matendo imekufa.

NIMEFUNGA MJADALA,,,BISHANA NA PAULO NA MWANDISHI WA YAKOBO,,ONLY MPUMBAVU NA ASIYE NA AKILI NDO ATAKUBALI KUINGIZWA KWENYE HII SINTOFAHAMU YA WAANDISHI WA BIBLIA..

AMANI YA BWANA IWE NAWE.

Huna Sifa wala Mamlaka ya kunitakia Amani!
Kwani qulaani ni maneno ya nani??
Nakualika uje madrasat Nuur Bahari Jannat kwa Maalim Jabir kwa Mtogole Upate Ilimu Ghaibu dogo!
 
Back
Top Bottom