Mauaji Nigeria

Mauaji Nigeria

Ila kuimba na kukata viuno ndiyo sehemu unayotaka wewe. Ndiyo maana wengi wenu ni wajinga kwa kumezeshwa kila kitu bila kufanya utafiti wa kimaandiko. Mke zaidi ya mmoja kwa wanaume wenye nguvu zao. Ndiyo maana karibia mitume wote walikuwa na mwanamke zaidi ya mmoja. Ukimuona mwanaume anashangaa mtu kuwa zaidi ya mke mmoja, atakuwa na matatizo ya uhanithi.
Huyo Yesu wa biblia anadai atapiga vyombo.

Mathayo 26:29​

Nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.”
Kwahiyo unasisitiza kuwa
Mbinguni
Kwa Allah
Pombe, Maziwa na Asali na Wanawake kama kawaida sio ?

Kwetu haitakuwa hivyo huko tutaishi kama Malaika.
Hakuna mambo ya kuzawadiwa wanawake.

Marko 12:23 Basi, katika kiyama atakuwa mke wa yupi katika hao? Maana wote saba walikuwa naye.

24 Yesu akajibu, akawaambia, Je! Hampotei kwa sababu hii, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu?

25 Kwa maana watakapofufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika walioko mbinguni.

Kama unasema mambo ya Ufalme wa Mbingu hata sasa sisi tupo katika Ufalme wa Mbingu ndio maana tunatumia Divai kwa kiasi.

Luka 17:20 Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, ufalme wa Mungu hauji kwa kuuchunguza;

21 wala hawatasema, Tazama, upo huku, au, kule, kwa maana, tazama, ufalme wa Mungu umo ndani yenu.

Halafu Ondoa jazba basi unapo ongea. Nini shida kwani ?
wakati mi nimeongea mambo ya kwenye maandiko tu ?

Au ndio nakufuru ?
 
Halafu Ondoa jazba basi unapo ongea. Nini shida kwani ?
wakati mi nimeongea mambo ya kwenye maandiko tu ?

Braza amekuwa mkali...

Ila mimi hilo swala la mabikira linanifurahisha sana,,,ngoja nitafute hilo andiko nikalisome...
 
Mkuu bikra 72...dah!
Anasa/uasherati mkuu...
Je kwa ambao hawapendi ngono watapewa nini?

Mjiandae kwenda kuwa sex machine.
Nimeuliza sana hata mimi,, hao mabikira 72 ni kila mtu atapewa au ni wateule wachache,,, na Wanawake watapewa nini..?? au ndio kina Yna2 wakifa wataenda kuwa hao mabikira...? inafikirisha sana kama hili jambo ni kweli lipo kwenye maandiko yao.

Na ambao hawapendi ngono nafikiri wao watapiga Nyeto tu..... Self service..

Futuhi sana..
 
Kwahiyo unasisitiza kuwa
Mbinguni
Kwa Allah
Pombe, Maziwa na Asali na Wanawake kama kawaida sio ?

Kwetu haitakuwa hivyo huko tutaishi kama Malaika.
Hakuna mambo ya kuzawadiwa wanawake.

Marko 12:23 Basi, katika kiyama atakuwa mke wa yupi katika hao? Maana wote saba walikuwa naye.

24 Yesu akajibu, akawaambia, Je! Hampotei kwa sababu hii, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu?

25 Kwa maana watakapofufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika walioko mbinguni.

Kama unasema mambo ya Ufalme wa Mbingu hata sasa sisi tupo katika Ufalme wa Mbingu ndio maana tunatumia Divai kwa kiasi.

Luka 17:20 Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, ufalme wa Mungu hauji kwa kuuchunguza;

21 wala hawatasema, Tazama, upo huku, au, kule, kwa maana, tazama, ufalme wa Mungu umo ndani yenu.

Halafu Ondoa jazba basi unapo ongea. Nini shida kwani ?
wakati mi nimeongea mambo ya kwenye maandiko tu ?

Au ndio nakufuru ?
Mbona umeruka kwenye wanawake kama kitu cha ajabu wakati Adam mwenyewe alipewa mwanamke? We umepotosha kwamba kila mtu atapewa wanawake 72 bila kuleta andiko. Hayo madai umeyatoa wapi? Au umemezeshwa na wenzako wa mitandaoni?
Adam akumuoa Hawa bali alikabidhiwa
Naona hapo Yesu ataoa peke yake.

Ufunuo 19:7 BHN​

Tufurahi na kushangilia; tumtukuze, kwani wakati wa harusi ya Mwanakondoo umefika, na bibi harusi yuko tayari.

Adam kwa nini alipewa mwanamke peponi ?Kuoa na kuolewa ipo Sawa kwani Sifa za malaika unazijua kwa mujibu wa biblia yenu?
Kwa nini vitu hivyo we unaona vya ajabu sana wakati una amini kwa mujibu wa imani yako Mungu alishuka duniani na kujitundika msalabani ili msamehewe dhambi?
We una imani ya kuimba na kucheza. Ikiwa sauti sina na sijui kucheza, mtanilazimisha?

Kwa hiyo kijana usiwe unaropoka vitu.
 
Braza amekuwa mkali...

Ila mimi hilo swala la mabikira linanifurahisha sana,,,ngoja nitafute hilo andiko nikalisome...
We tangu uliposikia hilo andiko huwa halitolewi. Ila la kuimba,kucheza na kunywa divai halikufurahishi kwa mujibu wa biblia?
Muda wote unapiga nyimbo na kucheza kama Diamond. Tarumbeta na ngoma mwanzo mwisho bila kupumzika
 
Should i respond to all islamophobic comments? Unhealthy opinions? Misconceptions?

Nay thanks
20220517_142609.jpg
 
We tangu uliposikia hilo andiko huwa halitolewi. Ila la kuimba,kucheza na kunywa divai halikufurahishi kwa mujibu wa biblia?
Muda wote unapiga nyimbo na kucheza kama Diamond. Tarumbeta na ngoma mwanzo mwisho bila kupumzika

Kuwa mpole mkuu,, Nasubiri hilo andiko walilete...
 
Huu upuuzi wako unamwandikia nani wewe kizee

USSR
Fatilia uzia utaelewa nani aliyeuliza.

Huo unaouita upuuzi kwako huelewi kuwa hiyo ndiyo faraja kwako. Ni mfumo pekee wa maisha uliokamilika.

You are simply ignorant.
 
Kwa hiyo watakabidhiwa mabikra wao 72 kila mmoja ili wacheze nao pembeni ya vijito vya maji matamu?Hawana akili.
Inasikitisha sana!

Ukiwaambia watu baadhi ya imani wanazoamini kuliko kuwa mmoja wa wanaoamini bora ukawa mpagani nao hujikuta wanatamani wakugonge mawe na wewe wakutie kiberiti wakuuwe,ila ukweli kwa wanaofanya ujinga huu ni wazi humo dini hamna wala hawana wanachokijua kuhusu Mungu.
 
Waislam labda ujifiche nyuma ya mtandao tu, kuna ambao wakikujuwa, unalo.

Exactly!!!

Huyu hapa muislam sasa,wale wote wanaotafuta sympathy kwamba dini haikuruhusu kuhukumu sijui blah blah blahs waje wasome comment ya muislam aliyeandika ukweli wa uislam.hakuna kitu msamaha ktk hiyo dini siyo kutoka kwa Mungu wao wala wafuasi wao
 
Hayo umeandika wewe.

Hakuna dini yenye Msamaha katika hukumu zake kama Uislam.

Hakuna dini yenye sifa za huruma na kurehemu kama Uislam.

Ujinga tu ndio unakufanya uandike maneno yako uyasingizie kuwa ni yangu. Punguani wahed.
 
Mtu mpaka anafikia kuchoma Qur'an, kumdhihaki Mtume Muhammad S.A.W n.k!!

Kwahiyo binti wa kikafiri ameuawa sio!! Iwe fundisho kwa wengine.
Wewe ni kichaa, mngefanya ujinga huo huku bongo mngeona moto.
 
Hayo umeandika wewe.

Hakuna dini yenye Msamaha katika hukumu zake kama Uislam.

Hakuna dini yenye sifa za huruma na kurehemu kama Uislam.

Ujinga tu ndio unakufanya uandike maneno yako uyasingizie kuwa ni yangu. Punguani wahed.
And vice versa!!!

Hapo mwisho it's definitely imani imekujaa kisawa sawa kwa hilo sina shaka nalo,naongozwa na hekima sitaenda unavyotaka niende.
 
Nikuulize wewe wakati Uislam ndiyo mfumo pekee wa maisha uliokamilika. Jifikirie kaba hujaropoka.
Mfumo pekee uliokamilika kuuwana kama wanyama?rubbish!

Aliyekwambia dunia hii kuna uhalali wa kumuuwa binadamu mwenzako kisa amekuudhi nani?so huo ndo mfumo wenu wa dini,labda unachokiabudu kimekuharibu akili na bora wanyama wanauwana ni nature wengine ni kitoweo kwa wenzao sasa wewe huyo aliyechomwa moto mmemla?
 
Yaani mtu anamuua Binadamu mwenzake anaye mwona na anaishi naye kila siku.
Eti kwa kumtetea Marehemu wa Kiarabu ambaye hata hajawahi kumwona.

Duniani kwa sasa hicho ndicho kikundi kikatili zaidi, kisicho na chembe ya huruma.

Ndani ya kikundi hicho ndio wanatokea akina Boko Haram na Al-Shababu.

Hicho kizazi Yesu alikizungumzia sana tu.

Yohana 8:44 Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo.

Tokea yule Jinni amtokee Muhammadi kule pangoni na kumkaba shingoni nusura ya kumvunja shingo na kuanza kujibashiria utume taabu ilinzia hapo.
 
Back
Top Bottom