Mauaji Nigeria

Mauaji Nigeria

Mkuu hvi huo mchongo kuwa ndgu zetu wameandaliwa mabikira 72 ni real upo kwenye maandiko yao..!???

Na ni bikira 72 kwa kila kichwa.!?...

Kama ni hivo basi hio Dini ina Maunono sana hapo baadae
Huwa unanichekesha sana comments zako 😂😂
 
Tena Waislam usichezee wala kutoa maneno machafu (matusi)kabisa kwa Mitume yao na kuwakejeli, unajitafutia uhasama mwenyewe. Utatafuta pakutokea, labda ujifiche nyuma ya mtandao tu, kuna ambao wakikujuwa, unalo.
Kwanini wamefunga shule sasa ujue visasi vingetokea upande wa wakristo na hata hivyo lazima vitokee tu , chunguza africa ya kati waislam wenzenu wanavyochinjwa mchana kweupe kila leo, mimi nigeria naijua lazima kisasi kitokee tuu watachinjwa sana waislam we chunguza utajionea
 
ukisoma huu uzi utagundua ni chuki kiasi gani watu wamemeza juu ya uislam,kuna wengine wamekuja kutoa povu huenda hata hawajapitia vizuri kinachoongelewa,jambo la kunote ni kwamba chuki haziwez mbadili yoyote kutoka dini yake aloielewa na akaiamin kikamilifu ,
 
Wewe kama huamini alikuwa Mtume Kweli, tupo Waislaam billioni mbili leo hii tunaoamini alikuwa mtume kweli. Tatizo lako nini?

Kama kuna Mwafrika juha basi wewe ni kiongozi wao.
Imagine that, watu bilioni 2 wanamuamin msanii, what does that say about them?
 
Hii dini hii basi tu! Katika mitihani aliyotupa Mungu DUNIANI ni pamoja na hii dini.
Sio mtihan WA mungu kuuwawa na alowaumba msalaban na ndan ya siku tatu sijui nan alikuwa anaendesha dunia
 
Hili la kumuua mwenzio eti unampigania Mungu ni ukosefu wa maarifa ya kutosha kuhusu hata huyo unaempigania.
 
Naam, hilo wala halina ubishi. Hao na Hitler ambae alikuwa mkatoliki, hawa tofauti. Au yule askari wa juzi aliyemuua Mtanzania Marekani, wana tofauti ipi?

Hao na "Anti balaka" wana tofauti ipi?
Samahani kwa kutumia lugha ngumu, kifupi WEWE NI MPUMBAVU NA MJINGA KUPITILIZA

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Tuombe yasitokee ya central africa ya wapumbavu kumpigania Mungu.
Hakuna mahali Mungu kasema anahitaji msaada wa wapumbavu wampiganie huyo atakuwa mungu na sio Mungu.
 
Samahani kwa kutumia lugha ngumu, kifupi WEWE NI MPUMBAVU NA MJINGA KUPITILIZA

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Naelewa kuwa hoja zikiwaingoa barabarana mkiwa hamna jibu mnaanza lugha hizo za Sunday School.

Nini tatizo lako na Uislam? Nini utapeda kukijuwa zaidi kuhusu Uislam?
 
Yule muuaji wa buffalo city USA angekuwa ni Muislamu Ingekuwa habari kubwa Sana
 
Tutukane sis ukimtukan mtume wetu sis tunakuuwa sasa tuache kutii amri ya mola wetu tukutii wewe khabith ??
We endelea kutii tu Amri za Mola wako bila kuangalia jamii inayokuzunguka ni ya aina gani.

Na ukijibiwa uache kulialia kama kule India na Africa ya Kati.

Ni kwamba huwa mnaangaliwa kama watoto wadogo mnapojitutumua.

Ogopa sana mtu ambaye unamfanyia fujo yeye anakuangalia tu.
 
Uongo mtupu.Kama kweli utaishi kwa kufuata amri za Mungu halafu ufariki,itwezekanaje huyohuyo Mungu akuandalie ngono na starehe za hovyo?

Mkuu Moisemusajiografii nilichouliza ni kwamba "Ni kweli kwenye maandiko yao hilo jambo limezungumziwa..??",,, Yaani kuna mahala nikishika kitabu chao wanasema hizo habari za mabikira 72..... au ni watu tu mataani wameamua kuwapakazia....
 
Mtu mpaka anafikia kuchoma Qur'an, kumdhihaki Mtume Muhammad S.A.W n.k!!

Kwahiyo binti wa kikafiri ameuawa sio!! Iwe fundisho kwa wengine.
 
Halafu tuko bize na Comedian akipata kichapo kutoka kwa warusi,,,ya binti wa kikafiri aliyemdhihaki Mtume wetu, ameshauawa hivyo yameshapita, na iwe fundisho kwa wengine.
 
Back
Top Bottom