Mauaji Nigeria

Mauaji Nigeria

Huu uzombi wa kidini unaitesa sana dunia....
Waliofanya hayo mauaji watapewa mabikira siku wakifa.
 
View attachment 2237185

nawausia ndugu zangu waislam kua na subira na uvumilivu wa maudhi hivo ni Bora zaidi kwetu sisi kwani maudhi hayakuanza leo Wala Jana tukumbuke kisa Cha Mtume wetu alipokea kejeli,,matusi na kashfa na vitisho vingi Mara tu baada ya kupokea utume lakini alivumilia na kua na subra Wala hakuwaombea mabaya Wala kuagiza wauwawe na wengi wa waliokua wakimkejeli wakaja kusilimu kutokana na tabia na mwenendo wake kwao tukumbuke pia alipoenda kijijini Cha Tai'f alipigwa mawe kiasi nguo zake zilitapakaa damu malaika akamshukia kwa idhini ya Mwenyezi Mungu kumuuliza adhabu gani ingewastahili wenye mji ule ili Mwenyezi Mungu aitekeleze juu yao lakini mtume wetu akasema amewasamehe na kumuomba Mwenyezi Mungu asiwaadhibu Bali azilainishe nyoyo zao wawe waislam na baada ya muda kupita tunashuhudia wenyeji wote wa mji ule walisilimu Basi nasi tujipambe na sifa za Mtume wetu,,,

Pia nawausia wenzetu wa upande wa pili kuacha chokochoko,,kejeli na kashfa dhidi ya waislam na kile wanachokiamini kwani waislam tuna mapenzi makubwa mno na imani yetu na mtume wetu zaidi ya mapenzi ya mama kwa mwanae au zaidi ya vile alivyopendwa yesu na wanafunzi wake maana Kuna waliomsaliti na waliomkana kipindi Cha misukosuko lakini mtume wetu Ni kinyume chake hakuwahi kusalitiwa Wala kukanwa na maswahaba wake pamoja na misukosuko yote aliyopitia Bali walikua tayari kufa wakimkinga dhidi ya washirikina wa macca,,,na mahaba hayo yamedumu Hadi hivi leo Sasa ukimpenda mtu halafu ukaona anafanyiwa ndivo sivo roho lazima iumie na kwa vile sisi pia Ni binadamu ukiumizwa Kila mtu ana kiwango chake Cha subra na uvumilivu kuepusha Shari za namna hii Kila dini ziheshimu Imani za wengine tutaishi kwa salama na kiukweli waislam tunajitahidi Sana katika hili la kuheshimu Imani za wengine ndo maana hujapata kusikia muislam amechoma,,amechana au kukojolea au kutemea mate Wala kukanyaga biblia,,,hujapata kusikia muislam ana mtusi yesu Wala Maria mama yake,,lakini kejeli na kashfa nyingi zinatoka kwa wakristu ambao kutwa mnajisifu kua mna upendo lkn ukweli upendo wenu Ni wa nje TU ila kwa ndani mna chuki kubwa Sana dhidi ya waislam,,, Basi tuchukieni tu kimoyomoyo msianzishe uchokozi halafu waislam waki react ionekana ndio wakorofi huku mnasahau huku kwetu hakuna unyonge wa " akupigae la kulia mgeuzie la kushoto" huku kwetu Kuna ""wakikupigeni nanyi wapigeni Hadi fitina iondoke katika ardhi maana fitina Ni mbaya kuliko kuua, wakikushambulieni nanyi washambulieni sawa sawa na walivokushambulieni,,, lakini wakiacha nanyi acheni wala MSIANZE UADUI kwani Mwenyezi Mungu HAWAPENDI WAANZAO uadui"" Sasa mnaanza uadui halafu tukireact tunaonekana sisi ndo maadui,,acheni hizo.
Baada ya kusema hayo SIUNGI mkono walichofanya ndugu zetu waislam dhidi ya huyo dada wa kikristu Ni kinyume na mafundisho ya Quran na sunna.

Ni ujinga sana kuua mwafrika mwwnzako kisa dini ya waarabu, hata shetani anawashangaa sana.
 
FYI, hii dini sio ya waarab ila mtume alikua mwarabu,,pili kwa hiyo Ni halali kumuua mwafrika kwa sbb nyinginezo??au Ni halali kumuua mwarabu kwa sbb ya imani yake ya uislam??,,Maujinga anayoshangaa shetani Ni mengi hadi Vatican kwa papa yapo,,,muhimu Kila mtu aheshimu Imani ya mwingine.
 
Mwarabu asingekuja kubaka wazee wetu pwani na kupandikiza hiyo dini yake, leo hamgekua mnapigia watu haya makelele.
 
kwa hiyo waarabu walimbaka babu yako?? pole aisee,,kwa hiyo waarab wanapita kubaka wachina,, wazungu,, wahindi na waafrika ili wawe waislam?? za kuambiwa changanya na zako,,
 
Walifanya kosa sana, leo unakuta mwafrika na likanzu na mindevu anaongea kiarabu na kuwa tayari kulipuka bomu kisa dini ya mwarabu.
 
kama wewe Ni mkristu Basi jokes on you,,,
 
Mtafakari sana, maana siku hizi hata hao waarabu wenyewe wamepunguza huo ujuha....
nimeshakujibu jokes on you,,hatuna Cha kutafakari/ Cha kuongeza/kupunguza Wala kubadili kwenye imani yetu kufuata matakwa ya wanadamu,,hii dini ilishakamilika haihitaji nyongeza ya mawazo ya wanadamu,,,ilivo ndo hivo hivo love it or leave it,,,waarabu hawana hakimiliki ya uislam na Wala mtume hakuwa mtume kwa ajili ya waarabu peke yao wakipuuza dini na kufuata Mila za wazungu na za kikristu Ni kwa maslahi yao binafsi Na Ni juu yao na nafsi zao.
 
Uwezo huo wa kubadili hamuna maana waarabu walipobaka mababu zenu kisha wakawakaririsha hiyo dini yao ikabidi muirithi hivyo hivyo na ndio mpaka leo mnakwenda kihivyo kujilipua mabomu, waarabu mwenyewe wamepunguza huo uzombi.
 
ulisema walibaka babu zako Sasa imekua Babu zetu,, huna la maana unalolijua zaidi ya story za vijiweni na kwenye mabench,,,Ni kweli uwezo wa kubadili neno la Mungu hatuna na neno la Mungu sio sheria za wanadamu ila nyie wenzetu uwezo wa kubadili neno la Mungu mnao ndo maana papa Yuko mbioni kuongeza kifungu Cha Ushoga ndani ya biblia,,na tayari Kuna makanisa yanawachungaji mashoga na yanafungisha ndoa za jinsia moja,,hongereni kwa kua na dini inayofuata mihemko na matakwa ya watu na sio watu wanaofuata matakwa ya dini,,,
 
Hivyo ukae ukijua tunavumilia huo uzombi mlioambukizwa na waarabu tukitumai ipo siku mtazinduka na kuanza kuwa na akili.
Hayo mambo ya kujilipua kisa mnafuata mabikira ni uzombi uliokubuhu, na waarabu wengi wameanza kubadilika.
 
vumilieni tu uzombi wetu hata na sisi tunawavumilia na kutumai ipo siku mtazinduka na ujinga wenu wa kusema Mungu Ni watatu Kwa mmoja,, Mara Ni mmoja kwa watatu ,hata wazungu wengi wameanza kuwa na akili hawaendi tena makanisani sababu wanaona Ni ujinga uliokubuhu,,,waende kanisani kuimba na kusifu ili waende MBINGUNI kuimba na kusifu,,, upuuzi
 
Japo kuna wakati huwa tunachoka kuwavumilia inabidi muwahishwe kwa hao mabikira 72 kwa kila mmoja.....hehehe
 
pia na sisi tunachoka na kejeli na chokochoko zenu ndo Kama hivo bidada kawahishwa kuimba mapambio na kusifu,,, hehehe.
 
halafu siku hizi naona nyote wa dini hiyo ya waarabu mnamuabudu kafir Putin ghafla, hehehe hamueleweki.....
 
Back
Top Bottom