Mauaji Nigeria

Mauaji Nigeria

Nini maana ya mahakama ya kadhi kuwepo na ni yapi majukumu ya kadhi na uwajibikaji wake. Je ni sahihi baadhi ya waislam kujichukulia shalia mkononi bila udhibitisho na hukumu toka kwa kadhi maana sote twajua kadhi ndio anae toa hukumu kwa mujibu wa shalia za kiislamu na taratibu za mahakama ya kadhi.
Tofautisha Waislam na Uislam.
 
Hujajibu swali, unaweza fafanua hio tofauti katika majibu yako wakati unajibu swali langu
Naam, kweli kabisa sikukujibu swali lako, bali nimetaka kukupa darsa, kwanza uelewe tofauti ya Uislam na Muislam.

Halafu la pili, sielewi ni nini 'shalia" uliyoiandika, hivi ni nini hicho?

Sasa kijana, nikujibu kitu ambacho unakielewa wewe peke yako tu?
 
Be careful with what you believe

Dini za kupokea hizi uiinga mtupu.

Mungu hayumo Kwenye dini.
Ufia dini ni kuonyesha upumbavu wa kukosa kufikiri.

Huyo Fai analeta bandiko kuubwa kuelezea undezi tuu.

Tumieni akili zenu

Hakika.
 
Tena Waislam usichezee wala kutoa maneno machafu (matusi)kabisa kwa Mitume yao na kuwakejeli, unajitafutia uhasama mwenyewe. Utatafuta pakutokea, labda ujifiche nyuma ya mtandao tu, kuna ambao wakikujuwa, unalo.
Ni Ushetani tu Huu na inferiority complex. Ukion mtu anahangaika na mambo madogo madogo ya kipumbavu ni sababu hajiamini. Mitume ya Waarabu Waafrika mnauana huku Kipumbavu tu kwa Kuahidiwa Mabikra Huko Jehanamu. Na Wanawake wanaenda pata nini? Yaani mimi na akili zangu uje unitukane kitu ambacho najua si kweli nipigane nawe ? Na nina mambo mengi tu ya msingi ya kufanya? Kama ni Jobless and Hopeless sawa. Huu ni Upumbavu to the highest point. Din zina wabrain wash watu wanakuwa Wapumbavu.
 
KUNA MIUNGU, MANABII NA MITUME WENGI DUNIANI, NA WENGINE NI WAFU.
USISAHAU ZUMARIDI NI MUNGU PIA KWA WATU WAKE!
NABII TITO NI NABII KWA WATU WAKE
KUNA MITUME WA KUTOSHA HUKU NA KULE

NI TANGU ENZI NA ENZI MUNGU MKUU HAITAJI KUPIGANIWA!WALA MITUME WAKE WALA MANABII WAKE.
KWA WOTE WANAOFANYA UNYAMA KWA JINA LA MTUME, NABII AU MUNGU. KWA KUWA UNAYEMPIGANIA NI MAREHEMU,NAAM NIMEJITOLEA KUWA MTUME WENU.
 
Mwanafunzi wa kike Debora Samuel (baadhi ya taarifa kaitwa Debora Yakubu) wa chuo cha elimu cha Shehu Shagari kilichopo Sokoto state nchini Nigeria ameuwawa na wanafunzi wenzake kwa kupigwa mawe na kisha mwili wake kuchomwa moto. Wanafunzi hao waliotekeleza mauaji walimtuhumu hayati kwa kitendo cha kumdhihaki/kumkejeli mtume kupitia voice message aliyotuma kwenye group la WhatsApp akiwazuia wenzake kutuma taarifa za dini kwenye group lililotengenezwa kwa ajili ya maswala ya kozi wanayosomea tu.

Baadhi ya picha za tukio ikiwemo ya kijana akionyesha kiberiti alichotumia kuwasha moto kuchoma mwili wa Debora pamoja na picha inayoonyesha maneno ambayo Debora alitamka kwenye hiyo voice message hizo apo.View attachment 2223080View attachment 2223079View attachment 2223082View attachment 2223081
Waafrika kwa kweli hata Mungu anatushangaa kwa ujinga tulionao......tunashabikia masuala ya Mohammed wakati hakuwa mtume kweli, alijipachika yeye mwenyewe kwa matakwa yake. Mtu akihoji eti anauliwa, unaua mtu (mwafrika mwenzako) kwa kupinga usanii?
 
Tena Waislam usichezee wala kutoa maneno machafu (matusi)kabisa kwa Mitume yao na kuwakejeli, unajitafutia uhasama mwenyewe. Utatafuta pakutokea, labda ujifiche nyuma ya mtandao tu, kuna ambao wakikujuwa, unalo.
Hao waliofanya mauaji ni wahalifu tu, hakuna dini inayohalalisha binadamu kuchomwa moto akiwa hai.
 
Back
Top Bottom