MAUAJI ARUSHA: Tamko la Rais Jakaya Kikwete

Naona ametumia sentensi mbili tu kuhusu tukio la Arusha, lakini hasa lengo lake lilikuwa kulialia kwa wahisani na kuomba misaada zaidi na kujisifia "uchaguzi wa haki na amani" nyimbo ambayo tumekuwa tukichombezewa nayo miaka 49 sasa.
 
Shame on cdm.
Mmewaponza watu wasio na hatia na sasa mnataka kutumia misiba yao kisiasa.

Mkakati huu mnaoutumia wa kuponza watu wasio na hatia wafe ili mpate mileage za kisiasa ni wa kishetani.

Mmeshapata laana na kamwe hamtafanikiwa kama chama cha siasa.

Au ndio matambiko ya biashara zenu za mahoteli, madanguro, casinos na guest houses?

Mafanikio ya biashara si lazima uue mtu....one day you will pay for it.

idiot
 
Naona ametumia sentensi mbili tu kuhusu tukio la Arusha, lakini hasa lengo lake lilikuwa kulialia kwa wahisani na kuomba misaada zaidi na kujisifia "uchaguzi wa haki na amani" nyimbo ambayo tumekuwa tukichombezewa nayo miaka 49 sasa.

ccm wana uchu wa madaraka,wapo tayari hata kuangamiza taifa kwa ajili ya vyeo visivyo na msingi
 
Shame on you throwing the blame to CDM leaders. Wanancii ni watu wazima na walikwenda pale kwa hiari yao. Watanzania si mbumbumbu. Mta spin laakini ukweli upo pale pale.

Sent from my ZTE-BLADE using Tapatalk
 
Muda si mrefu Mkwere ataaga dunia!!! Naamini hata MUNGU amemchoka sasa, yaani unashindwa kukikemea chama chako unaishia kutoa sentensi moja tu? Yote haya umeyaleta wewe Mkwere! Tunamwomba MUNGU akuchukue mapema maana yatakayokukuta hapo mbeleni hutaweza kuyakabili!! Eti Tunatarajia matukio haya hayatajirudia!! Yakijirudia je? Utaua nchi nzima? PUMB.......F *&^&^&***(*&)

Kura mchakachue na damu mmwage ninyi hao hao? Hapana haiwezekani!!!!!
 
JMK, nakusihi Mh. Rais wangu mpendwa, wakifanya maandamano tena, bila ya ruhusa. Wafungiwe kabisa hiki chama cha fujo na kisicho na uzalendo wala hakijali mamlaka za serikali, leo wanatuletea mpaka wa Kenya kuja kuandamana! hawa ni balaa kubwa sana katika nchi yetu tulivu.

Tumeishi kwa taabu na mashaka makubwa kutoka enzi za Nyerere, tukapata ahueni wakati wa Mwinyi, Tukaanza kuibiwa vibaya sana wakati wa Mkapa, sasa JMK unatuletea mema, hawa wanataka kutuletea maovu.
 
Mnafiki mkubwa,kwani alikuwa hana hizo taarifa kwamba kuna maandamano na mkutano?alikuwa anajua thats why aliagiza igp na police kuwaua.apigwe akafie mbali.
 
JK aliahidi pia kuwashughulikia wafanyakazi wakigoma. Sijui kama ana msimamo huo au ameulegeza baada ya kunywa damu uko A-town
 
Kikwete, I am sorry but I hate you. I dont have means to kill you but I will be happy if by any how you will perish suddenly.
I NEVER LIKED YOU AND I WILL NEVER LIKE. YOU ARE EVIL WITH YOUR GROUP i.e EL, RA, CHENGE AND OTHERS.
TANZANIA IS MUCH BETTER THAN WE ARE.
YOU ARE LIVING BECAUSE ITS ILLEGAL TO KILL YOU. PERIOD

Yaani we naona humchukii kama mimi, of all da president i hate this Kikwete.
 
Verbal diaorhea dehydrates human dignity. Kanafiki sana kale kajamaa
 
JMK, nakusihi Mh. Rais wangu mpendwa, wakifanya maandamano tena, bila ya ruhusa. Wafungiwe kabisa hiki chama cha fujo na kisicho na uzalendo wala hakijali mamlaka za serikali, leo wanatuletea mpaka wa Kenya kuja kuandamana! hawa ni balaa kubwa sana katika nchi yetu tulivu.

Tumeishi kwa taabu na mashaka makubwa kutoka enzi za Nyerere, tukapata ahueni wakati wa Mwinyi, Tukaanza kuibiwa vibaya sana wakati wa Mkapa, sasa JMK unatuletea mema, hawa wanataka kutuletea maovu.

Wakati Mandela kule Afrika ya Kusini akiongoza mapambano ya kudai uhuru zidi ya makaburu kuna baadhi ya waafrika wenzake walikuwa wanamkebehi. Walipenda na kufurahia kuona manyanyaso zidi ya weusi. Lakini Nguvu ya umma na kelele za kimataifa zilisaidia Mandela kutoka jela na uhuru wa kweli kwa Zuid Afrika. Kwa hiyo nie wala hamtazuia mapinduzi ya kweli Tanzania.
 
Bullshit, Tatizo ni kwamba yakitokea mazuri huwa Serikali inayaunganisha na CCM yakitokea mabaya Serikali na CCM inatenganishwa
 
Rais Kikwete leo ametoa tamko lake huku akisikitishwa na tukio la Arusha lililosababisha mauaji ya raia wawili na kuacha mali za mamilioni ya shilingi zikiharibiwa.

Kikwete ameonesha ukomavu mkubwa wa kisiasa tofauti na mtangulizi wake BWM ambaye hakuonesha kusikitishwa na mauaji ya Pemba yaliyopoteza maisha ya watu 27 zaidi ya kuendelea kuwalaumu viongozi wa CUF.

SOURCE: HABARI TBC1

1. Analaani jambo ambalo alikuwa na uwezo kwa asilimia 10,000 kuzuia lisitokee

2. Anahuzunika katikati ya sherehe-what a context washauri wa mawasiliano kwa umma wa Rais mpo kweli?
 
kitu ambacho sielewi ni kuwa yanapotokea mabaya wanajaribu kutenganisha ccm na serikali; yakitokea mazuri ya serikali ccm hutamba kuwa ni "serikali ya ccm". Ndio maana sikumuelewa kabisa vuai jana! Alikuwa anazungumza kana kwamba yaliyofanywa hayahusiani na chama kilichoko madarakani.

hvi ukiacha mwiny ni mzanzbar gani alowai kufanya vzur huku bara?
Mapuri-aliagza askar magereza wawatwange raia,jeykei akampeleka china awe baloz.
Mohamed seif hatibu-kaz kuyafungia magazet,hata zenj wanamchukia
megji-kashfa lukuki,ishu ya bot alichachawa
naodha-kaua wa2 wawili
husen mwinyi-milipuko ya mbagala,jesh halikuwa makini,
 
Sidhani ni busara kuchangia juu ya maneno ya JK kwani order ya kupiga wananchi ilitoka serikalini na mkuu wa nchi ni yeye. Nim esoma hii kauli ya JK kwenye gazeti la tanzania Daima. hebu niwakumbushe, Askari waliwauwa wanachi DSM na JK akaunda tume, then what was the results. His statement is politics and not Actional words. One day atajijutia
Rais Kikwete leo ametoa tamko lake huku akisikitishwa na tukio la Arusha lililosababisha mauaji ya raia wawili na kuacha mali za mamilioni ya shilingi zikiharibiwa.

Kikwete ameonesha ukomavu mkubwa wa kisiasa tofauti na mtangulizi wake BWM ambaye hakuonesha kusikitishwa na mauaji ya Pemba yaliyopoteza maisha ya watu 27 zaidi ya kuendelea kuwalaumu viongozi wa CUF.

SOURCE: HABARI TBC1
 
Wakati Mandela kule Afrika ya Kusini akiongoza mapambano ya kudai uhuru zidi ya makaburu kuna baadhi ya waafrika wenzake walikuwa wanamkebehi. Walipenda na kufurahia kuona manyanyaso zidi ya weusi. Lakini Nguvu ya umma na kelele za kimataifa zilisaidia Mandela kutoka jela na uhuru wa kweli kwa Zuid Afrika. Kwa hiyo nie wala hamtazuia mapinduzi ya kweli Tanzania.

Na nyie mnadai uhuru kutoka wapi?
 
Tanzania: 2 Demonstrators Are Killed
By REUTERS
Published: January 6, 2011
RECOMMEND
TWITTER
SIGN IN TO E-MAIL
PRINT
REPRINTS
SHARE

The police shot and killed two anti-government protesters in Tanzania and arrested at least 10 leading opposition figures during a violent political demonstration, a senior police official said Thursday. The opposition leader Willibrod Slaa, who ran in last year’s disputed presidential election, was among those detained and his Chadema party spoke of a deliberate crackdown on the opposition. The police arrested 49 people, including Chadema’s chairman, Freeman Mbowe, and at least four opposition lawmakers. The detained opposition leaders were later charged with unlawful assembly and released on bail.

Opposition leaders were protesting the election of a ruling party candidate as mayor of Arusha, an opposition stronghold, saying Chadema councilors were barred from voting. The arrest of Mr. Slaa, the main challenger to President Jakaya Kikwete, above, in an Oct. 31 presidential election marred by allegations of vote rigging, came days after he called for Mr. Kikwete’s resignation. He demanded that Mr. Kikwete step down after a scandal over a power generation contract.

A version of this brief appeared in print on January 7, 2011, on page A9 of the New York edition.
 
JMK, nakusihi Mh. Rais wangu mpendwa, wakifanya maandamano tena, bila ya ruhusa. Wafungiwe kabisa hiki chama cha fujo na kisicho na uzalendo wala hakijali mamlaka za serikali, leo wanatuletea mpaka wa Kenya kuja kuandamana! hawa ni balaa kubwa sana katika nchi yetu tulivu.

Tumeishi kwa taabu na mashaka makubwa kutoka enzi za Nyerere, tukapata ahueni wakati wa Mwinyi, Tukaanza kuibiwa vibaya sana wakati wa Mkapa, sasa JMK unatuletea mema, hawa wanataka kutuletea maovu.

mema anakuletea kwenu?au babako mdogo?
 
Back
Top Bottom