Hili Swala kutojirudia haliwezi kutimizwa kwa maneno matupu tu.
Hapa lazima watu wawajibike au wawajibishwe kwanza ili nawale wengine watakaopewa dhamana ya maamuzi mazito waone mifano halisi lasivyo itakuwa nikudanganyana tu huku Watanzania wenzetu wakiuawa.
Wanaotakiwa kuwajibika au kuwajibishwa hapa ni:Makamba coz alikataa Mazungumzo na Chadema,Said Mwema,Andeng'enye pamoja na Maaskari wote waliowapiga wananchi Risasi uwajibikaji sambamba nakufukuzwa kazi walizokuwa wanafanya uambatane nakufunguliwa Mashtaka wakajibu kwa pilato.
NAKUBALIANA NA WEWE,SERIKALI ya KIKWETE imewawajibisha CHADEMA kwa kuwapeleka mahakamani kujibu tuhuma za kuandamana bila kibali( hapo serikali imechukua hatua) Sasa Iwajibishe WAUAJI, IGP SAIDI MWEMA(mzee wa inteligensia), RPC ARUSHA AMDEMGENYE, OCD ARUSHA mjini, na ASKARI wanaoonekana bayana ktk picha wakitekeleza
utesaji, unyanyasaji na UUAJI kwa raia wema wa ARUSHA MJINI, bila kumsahau mzanziberi SHAMSI VUAI NAHODHA.
MUUAJI NIA MUUAJI TU hata kama ni
IGP, dhambi hii ya uuaji
IGP MWEMA aikwepi, maana toka uchaguzi mkuu POLISI hawaruhusu mikutano na maandamano ya WAPINZANI eti wamepata inteligensia kuwa kutakuwa na uvunjifu wa amani.
INTELIGENSIA HIZO UPATIKANA KWA MIKUTANO NA MAANDAMANO YA WAPINZANI TU? Pili POLISI ndio wasimamizi WAKUU uchakachuaji wa UMEYA ARUSHA maana wao waliweka ulinzi CHADEMA wasiingie hadi MEYA atangazwe, hivyo kuua ili MEYA aendelee kuwepo sio ajabu NDIO MAANA PAMOJA NA MAAFA YALIYOTOKEA ARUSHA
GARBO WA ARUSHA MEYA LYIMO anasema hawezi kujiuzulu maana yeye ni mshindi halali. HANA AIBU WANANCHI HAWAMTAKI VIONGOZI WA DINI HAWAMTAMBUI, Binadamu wenzake wanauwawa kwa ajili yake YEYE JIBU LAKE NI RAHISI TU NIMESHINDA KIHALALI, HIVI MJINGA huyu anajua
TOFAUTI YA HALALI NA HARAMU.
HALAFU kuna mtu anaitwa JK anasema kasikitika kwa mauaji ya RAIA tena anawaambia wahisani wake ili waendelee kumpa hisani,
LAKINI MBELE YA WATANZANIA HAJATOA KAULI YOYOTE. HUYU ni muabudu WAHISANI ndio maana yupo radhi kutokwa machozi kwa kuwaomba radhi akibaini kunajambo linawaudhi ilimradi wasifute ufadhili kwake na wateule wake maana sisi watanzania hatuoni manufaa ya moja kwa moja ya wahisani hao.