MAUAJI ARUSHA: Tamko la Rais Jakaya Kikwete

JKK(1).jpg

""Tunatarajia matukio hayo yatakuwa ni ya mwisho kutokea,” alisema Rais Kikwete bila kutoa ufafanuzi"".

source: mwananchi

maana yake ni kuwa: KAMA NILIVYOSEMA KATIKA HOTUBA YANGU YA KUUKARIBISHA MWAKA KUWA UCHAGUZI UMEISHA NA SASA WANANCHI WAENDELEE NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA NA WASIWASIKILIZE WANASIASA AMBAO WANAWABURUZA KULETA FUJO ILI JAMII YA KIMATAIFA WATUONE WABAYA. NATUMAINI CHADEMA WAMEJIFUNZA NA KUTIA ADABU. WAMEJUA KUWA SERIKALI IPO. MIMI NDIYE MKULU WA KAYA. WAO NA WAPAMBE WAO WAJUE HAWAWEZI KUHATARISHA AMANI YA WATANZANIA WALIO WENGI. LAKINI PIA WAJUE KUWA HAYO NI MALIPO YA MAUAJI WALIYOFANYA KULE MASWA. LAKINI PIA UPANDE WETU KAMA SERIKALI TUTAJITAHIDI KUSIKILIZA KILIO CHA RAIA WETU NA KUTATUA MATATIZO YAO KWA NJIA YA KISTAARABU BILA KUWACHUKULIA HATUA YOYOTE WALINZI WA USALAMA KWA KUTEKELEZA KAZI YAO VIZURI. NA HUO NDIO MSIMAMO WETU KAMA SERIKALI.
Hivyo ndivyo alivyomaanisha: translating through the line of command (speech).
 
Wakati Mandela kule Afrika ya Kusini akiongoza mapambano ya kudai uhuru zidi ya makaburu kuna baadhi ya waafrika wenzake walikuwa wanamkebehi. Walipenda na kufurahia kuona manyanyaso zidi ya weusi. Lakini Nguvu ya umma na kelele za kimataifa zilisaidia Mandela kutoka jela na uhuru wa kweli kwa Zuid Afrika. Kwa hiyo nie wala hamtazuia mapinduzi ya kweli Tanzania.

Masanilo. huwa naheshimu sana posts zako na huwa sikujibu. ila katika hili umekosea. HUWEZI FANANISHA JK NA MAKABURU. JK NI RAIS MSIKIVU PENGINE KULIKO MARAISI WALIOWAHI KUITAWALA NCHI HII. USHAHIDI UNAO MOYONI MWAKO.
FUATILIA MATAMSHI YA DR. SLAA JUU YA KIKWETE TOKEA KWENYE KAMPENI NA HATA BAADA YAKE HALAFU JIWEKE KATIKA POSITION YA RAIS HALAFU UANGALIE UAMUZI GANI UNGEUCHUKUA.
HALAFU NIKUULIZE, HIVI WALE WALIOUWA MFUASI WA CCM PALE MASWA WALICHUKILIWA HATUA GANI?? NAOMBA UNIJIBU HAPAHAPA JF.
HALAFU KWA NINI CHADEMA HAWAKUSOMA LINE OF COMMAND KUTOKA KWA IGP MWEMA NA WAKAACHA KUANDAMANA NA BADALA YAKE WAKAENDA KWENYE MKUTANO BILA KUSABABISHA MAAFA KWA RAIA WASIO NA HATIA?? HUONI DR. SLAA NI HATARI KWA TAIFA??????

halafu msaada kwenye tuta: pale kwenye RED badilisha useme "DEMOKRASIA" na sio "MAPINDUZI" kwani chama kilicho madarakani tayari kimesajiliwa kwa nembo hiyo. ni hayo tu.
 
Ameunda tume ili kufanya uchunguzi?
mbona kuku akidondoka tuu tume zinaundwa sasa la Arusha ameunda tume?
 
Rais Kikwete leo ametoa tamko lake huku akisikitishwa na tukio la Arusha lililosababisha mauaji ya raia wawili na kuacha mali za mamilioni ya shilingi zikiharibiwa.

Kikwete ameonesha ukomavu mkubwa wa kisiasa tofauti na mtangulizi wake BWM ambaye hakuonesha kusikitishwa na mauaji ya Pemba yaliyopoteza maisha ya watu 27 zaidi ya kuendelea kuwalaumu viongozi wa CUF.

SOURCE: HABARI TBC1

msanii tu yule mbona tushamzoea!
 
Masanilo. huwa naheshimu sana posts zako na huwa sikujibu. ila katika hili umekosea. HUWEZI FANANISHA JK NA MAKABURU. JK NI RAIS MSIKIVU PENGINE KULIKO MARAISI WALIOWAHI KUITAWALA NCHI HII. USHAHIDI UNAO MOYONI MWAKO.
FUATILIA MATAMSHI YA DR. SLAA JUU YA KIKWETE TOKEA KWENYE KAMPENI NA HATA BAADA YAKE HALAFU JIWEKE KATIKA POSITION YA RAIS HALAFU UANGALIE UAMUZI GANI UNGEUCHUKUA.
HALAFU NIKUULIZE, HIVI WALE WALIOUWA MFUASI WA CCM PALE MASWA WALICHUKILIWA HATUA GANI?? NAOMBA UNIJIBU HAPAHAPA JF.
HALAFU KWA NINI CHADEMA HAWAKUSOMA LINE OF COMMAND KUTOKA KWA IGP MWEMA NA WAKAACHA KUANDAMANA NA BADALA YAKE WAKAENDA KWENYE MKUTANO BILA KUSABABISHA MAAFA KWA RAIA WASIO NA HATIA?? HUONI DR. SLAA NI HATARI KWA TAIFA??????

halafu msaada kwenye tuta: pale kwenye RED badilisha useme "DEMOKRASIA" na sio "MAPINDUZI" kwani chama kilicho madarakani tayari kimesajiliwa kwa nembo hiyo. ni hayo tu.

Sikio la kufa
 
maana yake ni kuwa: KAMA NILIVYOSEMA KATIKA HOTUBA YANGU YA KUUKARIBISHA MWAKA KUWA UCHAGUZI UMEISHA NA SASA WANANCHI WAENDELEE NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA NA WASIWASIKILIZE WANASIASA AMBAO WANAWABURUZA KULETA FUJO ILI JAMII YA KIMATAIFA WATUONE WABAYA. NATUMAINI CHADEMA WAMEJIFUNZA NA KUTIA ADABU. WAMEJUA KUWA SERIKALI IPO. MIMI NDIYE MKULU WA KAYA. WAO NA WAPAMBE WAO WAJUE HAWAWEZI KUHATARISHA AMANI YA WATANZANIA WALIO WENGI. LAKINI PIA WAJUE KUWA HAYO NI MALIPO YA MAUAJI WALIYOFANYA KULE MASWA. LAKINI PIA UPANDE WETU KAMA SERIKALI TUTAJITAHIDI KUSIKILIZA KILIO CHA RAIA WETU NA KUTATUA MATATIZO YAO KWA NJIA YA KISTAARABU BILA KUWACHUKULIA HATUA YOYOTE WALINZI WA USALAMA KWA KUTEKELEZA KAZI YAO VIZURI. NA HUO NDIO MSIMAMO WETU KAMA SERIKALI.
Hivyo ndivyo alivyomaanisha: translating through the line of command (speech).

Mbona wewe kama zuzu fulani? Hakuna kitu hapo ili mradi yuko madarakani na anajua chanzo chake hana ubavu wa kuzuia kitu. Lakini leo kwa wanyonge kesho kwake.
 
Nakulaani JK! Umeua ndugu zetu!
Huna safa za kuwa prezidaa katika zama hizi za demokrasia, unajifanya Charles Tailor eee? Ipo siku utashika adabu yako. Shame on u.
 
Wewe *****, ndugu zako hawajauliwa na JK, wamekufa kwa upumbavu wao wa kutotii amri ya serikali halali iliyochaguliwa na watanzania. Kama Slaa amekudanganyeni kwamba serikali haipo na yeye ndiye rais wenu, wadhungu wanasema..."the proof is in the pudding"
 
halafu kwanini midomo yenu michafu sana? matusi mtindo mmoja, hivi mna matatizo ya utindifu wa akili? au...?
 
Rais Kikwete leo ametoa tamko lake huku akisikitishwa na tukio la Arusha lililosababisha mauaji ya raia wawili na kuacha mali za mamilioni ya shilingi zikiharibiwa.

Kikwete ameonesha ukomavu mkubwa wa kisiasa tofauti na mtangulizi wake BWM ambaye hakuonesha kusikitishwa na mauaji ya Pemba yaliyopoteza maisha ya watu 27 zaidi ya kuendelea kuwalaumu viongozi wa CUF.

SOURCE: HABARI TBC1

YOU CAN WOUND US, BUT CAN'T STOP US, WE ARE COMING. YOU CAN KILL US, BUT WE WILL LIVE AGAIN. AND NOW WE ARE SHARPENING OUR SPEARS AND SWORDS, THE WAR IS AT OUR DOOR. YOU ARUSHA'S RPC, IGP etc, YOUR TEN WILL COME WHEN DR. SLAA WILL BE A PRESDENT. OHH, I LIKE TO SEE THAT.
 
hata aongee nini yeye ndie aliyewatuma kwa uoga wake wasijijenge for 2015 ili riziwani apande juu pia
 
Shame on cdm.
Mmewaponza watu wasio na hatia na sasa mnataka kutumia misiba yao kisiasa.

Mkakati huu mnaoutumia wa kuponza watu wasio na hatia wafe ili mpate mileage za kisiasa ni wa kishetani.

Mmeshapata laana na kamwe hamtafanikiwa kama chama cha siasa.

Au ndio matambiko ya biashara zenu za mahoteli, madanguro, casinos na guest houses?

Mafanikio ya biashara si lazima uue mtu....one day you will pay for it.

pumbavu na hayawani ulaaniwe ww kizazi chako.
 
CCM kwa kuendelea kutegemea mbeleko ya polisi wataumbuka hivi karibuni, kwani mbegu wanayoipanda kupitia polisi wataivuna si kitambo.
 
maana yake ni kuwa: KAMA NILIVYOSEMA KATIKA HOTUBA YANGU YA KUUKARIBISHA MWAKA KUWA UCHAGUZI UMEISHA NA SASA WANANCHI WAENDELEE NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA NA WASIWASIKILIZE WANASIASA AMBAO WANAWABURUZA KULETA FUJO ILI JAMII YA KIMATAIFA WATUONE WABAYA. NATUMAINI CHADEMA WAMEJIFUNZA NA KUTIA ADABU. WAMEJUA KUWA SERIKALI IPO. MIMI NDIYE MKULU WA KAYA. WAO NA WAPAMBE WAO WAJUE HAWAWEZI KUHATARISHA AMANI YA WATANZANIA WALIO WENGI. LAKINI PIA WAJUE KUWA HAYO NI MALIPO YA MAUAJI WALIYOFANYA KULE MASWA. LAKINI PIA UPANDE WETU KAMA SERIKALI TUTAJITAHIDI KUSIKILIZA KILIO CHA RAIA WETU NA KUTATUA MATATIZO YAO KWA NJIA YA KISTAARABU BILA KUWACHUKULIA HATUA YOYOTE WALINZI WA USALAMA KWA KUTEKELEZA KAZI YAO VIZURI. NA HUO NDIO MSIMAMO WETU KAMA SERIKALI.
Hivyo ndivyo alivyomaanisha: translating through the line of command (speech).
Lini umekuwa msemaji wa Kikwete?
 
Mbona wewe kama zuzu fulani? Hakuna kitu hapo ili mradi yuko madarakani na anajua chanzo chake hana ubavu wa kuzuia kitu. Lakini leo kwa wanyonge kesho kwake.

Dua la kuku. hapo hafanyi biashara ikulu. analinda nchi. soma katiba???
 
Back
Top Bottom