kagumyamuheto
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 286
- 3
sikio la kufa
ngoma ikilia sana mwisho hupasuka. Kama huelewi kamuulize mushumbusi
sikio la kufa
Mwana ANAPULIZA HUKU ANANG'ATA :shut-mouth:...... Hoooooo... atakuachia KOVU...!!! Labda mwenzangu humjui huyo... Hatutaki TAMKO... Tumnataka Wahusika WACHUKULIWE HATUA HARAKA SANARais Kikwete leo ametoa tamko lake huku akisikitishwa na tukio la Arusha lililosababisha mauaji ya raia wawili na kuacha mali za mamilioni ya shilingi zikiharibiwa.
Kikwete ameonesha ukomavu mkubwa wa kisiasa tofauti na mtangulizi wake BWM ambaye hakuonesha kusikitishwa na mauaji ya Pemba yaliyopoteza maisha ya watu 27 zaidi ya kuendelea kuwalaumu viongozi wa CUF.
SOURCE: HABARI TBC1
halafu kwanini midomo yenu michafu sana? Matusi mtindo mmoja, hivi mna matatizo ya utindifu wa akili? Au...?
Josephine Slaa, wife of Tanzanian anti-graft campaigner, Wilbrod Slaa, is helped onto a police truck on Wednesday after being injured when police attacked a rally of supporters of the main opposition party Chadema. Tanzanian President Jakaya Kikwete has expressed deep regret over recent violence.