Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,119
- 136,864
Nijuavyo mimi watu wote wanaofanya kazi nyeti hawaruhusiwi hata kutumia private PC kwa shughuli za kikazi... Afu watu wanakuja na cheap explanation eti siri za kazini...Kazi zenye usiri uwa zinaishia ofisini. Acha kuwadanganya wake zenu.
Nimeipenda sana hii. Yaani siri za kazini ziwekwe ama zipitie kwenye simu binafsi? Maajabu ya mwaka haya.