Rashid wa Arusha
Member
- Jul 29, 2012
- 25
- 8
Mimi mchango wangu ni kuwa;
Nahisi mbinu za kujiosha kwenye usaliti wa mahusiano hazitatusaidia sana, ni sawa kumfundisha mtu mbinu za kuishi na ugonjwa wa Malaria Badala ya kumuelekeza Hospitali akatibiwe.
Sasa hivi, hali ya uchumi iko tight, watu wanafight mchana na usiku " umeoa bado unaenda kuhonga small house" unaonaje..... ukajaribu kuongea na mwenzako akajua hicho unacho kikosa kwake?
Utakuta mtu ameoa na amepanga kwa wanaume wenzake wala haimpi kero...anakimbizana mtaani na vimobitel tutafika?
Heshimu mahusiano, heshimu ndoa yako, mshirikishe mwenzako; utakuwa na amani nyumbani na utajikuta unaishi kwenye nyumba yako na gari lako kama wengine!!!!!!!!!
kama ulituma meseji kama hiyo kwa mkeo/mpenzi wako; mpigie magoti na mwambie nimekukosea mpenzi wangu na nakuahidi sitarudia tena ...na kama ni mara ya kwanza atakusamehe...ILA usirudie tena!!!!!!!!!!