Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,330
- 17,856
hahaha ..kweli mimi ni mjinga eee? eti? hakajaniomba msamaha na kamesepa zake bila hata kugeuka nyuma ..sitakuja kupenda tena
Usitukane mamba kabla hujavuka mto!
hahaha ..kweli mimi ni mjinga eee? eti? hakajaniomba msamaha na kamesepa zake bila hata kugeuka nyuma ..sitakuja kupenda tena
mkuu unampenda sana huyo dada ndio mana uko hapa unalialia.....take action one bim bim bim.....hauna pistol karibu hapo ukarahisisha mambo(just kidding).... ila kabla hakikisha una hata mtoto mmoja umeacha dunianihahaha ..kweli mimi ni mjinga eee? eti? hakajaniomba msamaha na kamesepa zake bila hata kugeuka nyuma ..sitakuja kupenda tena
mkuu i pad3 nadhani hapa nikikusoma btn the lines ni kwamba badounampenda huyo msichana. Ni KAWAIDA kabisa. Ila yeye HAKUPENDI. Ni KAWAIDA kabisa. Wengi tumepitia huko, na tumejifunza ku move on. Kinachotakiwa hapa ni kwa wewe kukubaliana na hali hiyo.Kisha u move on. Alichofanya kinatosha kabisa kuthibitisha kuwa kweke ex wake anakuwa wa kwanza, wewe wa pili au zaidi. sasa kama una lengo la kuoa, HAKUFAI
Ndo maana The Boss tangu mwanzo akakwambia "the writing is on the wall".....nadhani unaona hata kina CUTE and co wanakushangaa hujamwacha hadi sasa hivi? yeye alishakuacha zamani au tuseme hajawahi kuwa na wewe intimately!
Hawa wadada wa siku hizi wasikie tu, I can understand your feelings anyway.
Mkuu Kaizer ni kweli nampenda sana na nilikuwa na mpango wa kumuoa ila basi tena ..ngoja tu nijikaze kiume naona hadi wasichana wenyewe wananishangaa ..maana yake ni kuwa mimi ni mshamba wa mapenzi..ok nimekubaliana na hali halisi japo ni ngumu ila najua hata haya yatapita ...asanteni sana wana JF kwa ushauri mzuri ..sikujau kabisa kuwa huyu mdadad anamaanisha nini ..alivyokuwa anamponda ex wake na anavyofanya sasa hivi ni tofauti kabisa ..
asante MOLA AMENIEPUSHA NA HILI BALAA .. sasa haya yangetokea nadi ya ndoa si ingekuwa ni aibu kubwa kwenye familia yetu jamani ..tena mimi ndio last boni naheshimiak nyumbani sana . Thankx God kwa kunionyesha mapema.
huyu mdada alivyomuongo eti alikuwa ananiambiaga kuwa mimi ndio mwanaume wa kwanza kumfanya a come...afikie kikomo,,nikawa namuangalia tu ..sasa wadau ni kweli ama nilikuwa napakwa mafuta kwa kutumia mgongo wa chupa?
Aisee platozoom hebu tupia hizo namna kama zipo cause nadhani ndo anachohitaji zaidi hapa
Na ndicho anachohitaji......anahisi hawezi kumwacha na kwamba hata akimwacha kuna mtu atamchukua..kingine anahisi kudharauliwa na kibaya zaidi naye ameanza kujiona mjinga.Rafiki yangu @i pad 3 kama alivyosema Kaizer haya ni mambo ya kawaida sana katika mapenzi nyakati hizi tena pengine wakati wewe unalia kwa habari ya simu kuna mwingine kama wewe anamfumania g/f wake ana-sexy na mtu.
Kwa hiyo unatakiwa kuona ni sehemu ya challenge tu.........Ni kweli unaumia sana na ninaelewa hilo lakini kwa nini uishi kwa mateso wakati source ya furaha yako ni wewe mwenyewe.............Amini wewe ni kijana mzuri na hayo yamekwisha unaanza ukurasa mpya.
Huyu msichana nampenda sana tena sana na yeye ananipenda ..huwa sipendagi kushika simu yake ila kuna siku nilishika simu yake akaichukua ghafla akafuta meseji nikamuuliza kwa nini amefuta akasema kuwa imetoka kwa ex wake na hakutaka niione..sasa nimwache aendelee kuwasiliana na ex wake ama nifanyeje?
updates!
Jamani huyu msichana kweli anayo nia njema na mimi kweli? tar 26 nilimkataza asiwasiliane na ex wake huyo bila ya kunihusha akanielewa sasa tar 29 akambeep huyo ex wake wakawa wanachati kwenye yahoo.. ..
na wameahidiana kutumiana meseji ili wawe wanachati huko yahoomessenger
kweli huyu mdada ana nia njema na mimi kweli?halafu kial saa ananinunia nikimuuliza kuhusu huyo ex wake anakuwa kama mbogo ananuna mpaka basi..eti wadau hapa kuna maisha kweli hapa??
naomba kama una matusi uachane na thread yangu nahitaji ushauri na wala sio kebehi. najua sio vizuri kukagau vitu vya mpenzi wako ila ukiona kuna kitu kimebadiliak naona ni vema kukagua .. nafanya hivi kwani natyaka nioe na huu ndio umri wangu wa kuoa so sitaki niingie mkenge .
Regards!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
updates!!
huyu mrembo nimekutana naye leo tukakaa sehemu nikamuuliza
hence nimeshapewa jibu ..i m supposed to read between lines
huu ni ushauri mzuri kuliko wote, maana ninachokiona utajikuta anakuletea huyo mtu ndani au anaku....Dawa ya moto ni moto sasa tafuta mwingine unayeamini ni mzuri zaidi yake. kingine achana na mambo ya kusoma msg za couple wako,... bye nilikuwa napita tufind a new hobby
women can be a source of stress and unhealthy life