Yaani sijui kama mtafika.
taf rudi mapema kuupata ushauri wako wa kina!Sasa huyo mmh hivi unajua kama mtu sio mwaminifu siku zote huwa anamuwazia mabaya mwenzie
Nimekosa hata la kusema ngoja kwanza nimalizie kahawa nipate ushauri
Amekushtukia zile tabia zako,ni mbaya sana na hapa hujaliwakilisha vizuri iliyopelekea huyo kufanya hivyo ukimshitaki utaumbuka ndugu yngu we tulia kimya maana kweli umeyafanya hayo na kweli umekamatwa kwani ni uongo ?acheni kucheat ni mbaya sana mimi nilifanya huo umfia na niliwafungisha mdomo wanafki niliwatoa jasho jembambaaaaaaaaaaa mawasiliano yao yote ya simu na imail nikaprint nakuweka kwenye kikao .mpaka leo ni heshima kuu
hapo.....
1. Je wewe ni mwaminifu? Huna visomething?
2. Je mwenzio anavisomething ndo maana hakuamini
3 mwenzio hajiamini.......hapa ndo pagumu pabaya....
Unaweza ukaongea nae, mwambie hupendi tabia yake ajirekebishe na mpe warning......
Au mmwage ....kama hajiamini watu wa namna hii atakusumbua sana, mwisho utaanza kuchaguliwa marafiki
siunaona sasa umefunguka kumbe ulishatoa na conclusion then unakuja kutupa mabaki hapa jf ,she will surferif she havent independent spirit but yet ua the one destroy the family peace .nakuhurumia sana ndugu yangu hutafika mbali kwa kweli pole sana ,hamna kitu kibaya kama mabavu katika maisha sit down with your dear wife talk the fact achana na vichenchede ,hapa duniani hatuishi milele we just pass no time to waste by being unhappy ,kama una watoto unawaharibu kabisa furaha ya mama ni furaha ya watoto ,sijui nikuambiaje,ninauhakika una mambo mengi yaliyopelekea huyo mdada kufanya hivyo,solve wenyewe sina ushauri zaidi ya huo all the bestndoa ni kukomoana? au kuaibishana? nadhani ni hiari so inabidi mmoja akiona anabezwa afaye homework ajue hasa kisa ni nini? may be yeye ndo tatizo? Je anatiiza yote yampasayo km mume/mke? Ok ameshaona na mimi nkasema basi uhusiano wangu na wewe basi nani kashika makali? mwanaume mwanamke? who is going to suffer more? who is going back home even if there is no home? so sikubaliani nawewe sijui vikao sijui kuabishan no no
Yaani sijui kama mtafika.
utakkuwa mwanamke we Nivea, ila ni hivi mwanamke anao uwezo mkubwa kumchange mume wake whatever atavyokuwa, inakuwa tabu pale prcess ya kumchange inakuwa km wewe navyohisi waweza go abt it. Mwanamke km kweli anataka apendwe yeye na yeye tu lazma kwanza awe humble no mattter mme ni biter kiasi gani. Ndo sababu wazee wetu hawakuwapa kabisa nafasi wanawake sababu ya mouth mouth big big( sory am not insulting but huu ndo ukweli), mnachonga sana hata raha sasa ndani inakuwa haipooo! Sasa mkishaharibu tena haaya uaanza kutafuta mchawi ooh sijui msg zangu, marafiki yanini yote hayo? Ujue nwananmke akishaolewa anarelax na kunyoosha miguu hata majukumu yake anayasahau, mume akioa ndo kwaanza kumekucha kila kitu over his shoulder! agrrrr i have 11yrs in marriage jamani msidhani mi ni kavulanasiunaona sasa umefunguka kumbe ulishatoa na conclusion then unakuja kutupa mabaki hapa jf ,she will surferif she havent independent spirit but yet ua the one destroy the family peace .nakuhurumia sana ndugu yangu hutafika mbali kwa kweli pole sana ,hamna kitu kibaya kama mabavu katika maisha sit down with your dear wife talk the fact achana na vichenchede ,hapa duniani hatuishi milele we just pass no time to waste by being unhappy ,kama una watoto unawaharibu kabisa furaha ya mama ni furaha ya watoto ,sijui nikuambiaje,ninauhakika una mambo mengi yaliyopelekea huyo mdada kufanya hivyo,solve wenyewe sina ushauri zaidi ya huo all the best
Pole sana mkuu. Katika mapenzi/mahusiano likianza jambo hilo, pana hatari. It is delicate and very embarracing. Mkuu qfsonwin, please you wisdom is needed. In fact, inudhi na kukera sana. Mimi mwenyewe simu y mke wangu naiona kama mkamwana, yaani mkazamwana (mkwe) kwa kinyakyusa na kisambaa.