heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Kama kwa mwali kwaliwa na kwa kungwi kuliwe
Ukipenda kugusa sim ya mwenza wako basi na wewe ukubali yako iguswe.....
Kwa mfano wewe uko upande upi?
wa kukaguwa vya mwenzio ila vya wewe hakuna ama???