Hapo umelenga, unajua mume unapojifanya mpelelezi wa mkeo wakati hujasomea kazi hiyo hapo ndo utata unapoanzaga. Kama huyo mwanamke sio mwaminifu we acha tu utaona usijepata presha kwa jambo usilolijua, just lipe hilo suala muda. Afu pia sometimes Gubu la mwanaume linamfanya mwanamke awe mwoga kwenye ndoa yake hivyo kuwa na nidhamu ya uwoga, hivyo kuepusha anaamua kuwa na simu nyingine kwa ajili ya kuwasiliana na ndugu, jamaa na marafiki awapo ofisini kuepusha shari. Mpe mkeo uhuru wenye mipaka na usimchukulie muda wote kama mtuhumiwa. Wapenzi mkichunguzana sana hamfiki mbali bra!!!Ukimchunguza sana bata utashindwa kumla. We shukuru Mungu hujamfumania. Endelea na maisha. Huyo yuko innocent mpaka atakapopatikana na hatia!
Afu hii tabia ya kuchunguzana ndo inasambaratisha ndoa. If I may ask, ilikuwaje mpaka mtu ukajua mkeo ana simu nyingine anaiacha ofisini? Upelelezi katika ndoa ni hatari sana!
Hommie kuna wengine wanawawekea watu wao priveti investigeta, natamani hiyo pesa wangekua wanaleta pale king star tuburudike nayo!Ukimchunguza sana bata utashindwa kumla. We shukuru Mungu hujamfumania. Endelea na maisha. Huyo yuko innocent mpaka atakapopatikana na hatia!
Afu hii tabia ya kuchunguzana ndo inasambaratisha ndoa. If I may ask, ilikuwaje mpaka mtu ukajua mkeo ana simu nyingine anaiacha ofisini? Upelelezi katika ndoa ni hatari sana!
Naomba kuapata ushauri kwenye hili jambo ambalo mpaka sasa linanitatiza sana,katika maisha ya ndoa naamini kuwa hamna siri baina ya wanandoa,lakini inapokuja kwenye swala la simu,nakubali kwamba simu ni privacy ya mtu lakini inapokuja pale ukagundua kuwa mkeo anatumia simu mbili na hiyo moja huwa anaiacha ofisini na alikuwa akificha usiijue hiyo namba,anaitumia akiwa ofisini tu muda wa kurdi nyumbani ukifika anaizima na kuiacha ofisni.Je hii inaleta picha gani?
Kimsingi badala ya kutumia resources kama time na fedha kumchunguza mkeo, better ukae chini kujichunguza wewe mwenyewe tatizo ni nini hadi mke wangu anakuwa na tabia tofauti na unavyotarajia, usikute wewe ndo chanzo cha tatizo pengine huwajibiki nyumbani so dawa ni kujituma na sio kuchunguza mkeo. Kwa kweli naamini kama kila kitu kinaenda sawa, hakuna mwanandoa anayependa kurukaruka na kumdhalilisha mwenzake au ndoa yake, maana hili suala kwa ujumla wake limegubikwa na aibu kubwa.Hommie kuna wengine wanawawekea watu wao priveti investigeta, natamani hiyo pesa wangekua wanaleta pale king star tuburudike nayo!
Nashanga! Yani na karne hii ya utandawazi mtu bado unapekua simu, utakufa kwa kihoro! Watu twaweza kukuachia simu tukawasiliana kwa email....... simu zinakaririwa namba kichwani unatumia simu ya swahiba wako kuwasiliana na mpango wa nje........
Naomba kuapata ushauri kwenye hili jambo ambalo mpaka sasa linanitatiza sana,katika maisha ya ndoa naamini kuwa hamna siri baina ya wanandoa,lakini inapokuja kwenye swala la simu,nakubali kwamba simu ni privacy ya mtu lakini inapokuja pale ukagundua kuwa mkeo anatumia simu mbili na hiyo moja huwa anaiacha ofisini na alikuwa akificha usiijue hiyo namba,anaitumia akiwa ofisini tu muda wa kurdi nyumbani ukifika anaizima na kuiacha ofisni.Je hii inaleta picha gani?
Naomba kuapata ushauri kwenye hili jambo ambalo mpaka sasa linanitatiza sana,katika maisha ya ndoa naamini kuwa hamna siri baina ya wanandoa,lakini inapokuja kwenye swala la simu,nakubali kwamba simu ni privacy ya mtu lakini inapokuja pale ukagundua kuwa mkeo anatumia simu mbili na hiyo moja huwa anaiacha ofisini na alikuwa akificha usiijue hiyo namba,anaitumia akiwa ofisini tu muda wa kurdi nyumbani ukifika anaizima na kuiacha ofisni.Je hii inaleta picha gani?
maybe ni kuboresha penzi lenu aliinunua ili awe anakutest km mtu mwingine dont take things negatively all the time.
Swala kusema ni simu ya ofisini halipo..ilikuja kugundulika ana simu nyingine ni pale alipopigiwa simu yake inayojulikana ikawa haipatikani akapigiwa staff mwenzake na bila wasiwasi alijibu hebu mcheck kwenye ile simu yake nyingine....kama ni ya ofisi hata staff wenzake wasiijue?
Inaleta picha nzuri, kwamba anatofautisha pasono ishuzi na Ofisho wanzNaomba kuapata ushauri kwenye hili jambo ambalo mpaka sasa linanitatiza sana,katika maisha ya ndoa naamini kuwa hamna siri baina ya wanandoa,lakini inapokuja kwenye swala la simu,nakubali kwamba simu ni privacy ya mtu lakini inapokuja pale ukagundua kuwa mkeo anatumia simu mbili na hiyo moja huwa anaiacha ofisini na alikuwa akificha usiijue hiyo namba,anaitumia akiwa ofisini tu muda wa kurdi nyumbani ukifika anaizima na kuiacha ofisni.Je hii inaleta picha gani?
Naomba kuapata ushauri kwenye hili jambo ambalo mpaka sasa linanitatiza sana,katika maisha ya ndoa naamini kuwa hamna siri baina ya wanandoa,lakini inapokuja kwenye swala la simu,nakubali kwamba simu ni privacy ya mtu lakini inapokuja pale ukagundua kuwa mkeo anatumia simu mbili na hiyo moja huwa anaiacha ofisini na alikuwa akificha usiijue hiyo namba,anaitumia akiwa ofisini tu muda wa kurdi nyumbani ukifika anaizima na kuiacha ofisni.Je hii inaleta picha gani?
Hili wallah ni kama Neno la Mungu vile!..........Waambie walete hiyo sadaka King Star tunywe divai bana!Hommie kuna wengine wanawawekea watu wao priveti investigeta, natamani hiyo pesa wangekua wanaleta pale king star tuburudike nayo!
Mke/mme wako ni wako akiwa kwako, akitoka nje si wako! Ukimfuatilia sana unataka ufe siku si zako!mulika mwizi mazee!