Matumizi ya simu katika Mahusiano

Matumizi ya simu katika Mahusiano

Asante Sangara kwa kunielewa. I fail to understand hawa wenzangu wanaosema watamezea. Mimi kwa kweli mume wangu anajua what am capable of kwa hiyo hata kama ana cheat nina hakika anawapa limits hao vimada wake kwani so far sijawahi kutana na huo upuuzi na nikikutana nao walahi patachimbika.

Emu kuweni honest nyie wanaume; mkeo kama anakuwa anatabasamu tu anapukutana na vitu kama hivyo will it make you stop??? Will it make you love her more??? WOnt it make you love the other woman more since you know that your wife doesn't care??? Wont it make you a serial cheater??

Kwa experience yangu wanaume wenye wanawake wapole ni viwembe balaa kwa sababu wapo kwenye conducive environment.
Kuna mawili nikiona mke wangu ananichukulia poa..kwanza nitaona kama na yeye anafanya tena zaidi yangu so ananiinjoi tu...akikasirika nitamwelewa hasa kama huyo mtu nina flirt nae...

Hakuna mambo ya nikipata mke kama wewe, ili uwe unaacha hizo sms kama hizo kila siku, Kwanza patachimbika ndio mambo mengine yafate baadae.

Nimesema nitashukuru kama nitapata mtu wa aina yake kwani inawezekana kabisa kuna mwehu anatuma msg na anajua umeoa.
So,mke wangu badala ya kukurupuka kurusha mwiko akaelewa ukweli kwanza,kwakweli nitashukuru kama nitampata mwenye OS ya hivyo.
Ila kama ni kweli,pigana tu ili siku akitaka kucheza atakumbuka moto aliokumbana nao last time.

Dear Hny
sorry leo sitoweza kuja niko kwenye period jamani alafu si unajua na hasira zangu sijui hata kutakalika nikija
mbona ukunjulisha mapema kabla ya kuchukua chumba..sorry again
luv u

Nawashauri wana ndoa, msiwe wepesi kufanyia maamuzi msg za simu. Binafsi Nimewahi kupatwa na incidents 3, nikopokea msgs za aina hiyo kutoka kwa 'wapenzi' nisiowajua kabisa. Yawezekana walinitumia kwa makosa (maana sizijui hizo namba) ama kwa makusudi.

Na kama huna uhusiano na huyo mtuma SMS tatizo liko wapi. Si mnaongea na mnaelewana hasa kama mkeo anakujua vizuri atajua when you are telling truth or not.
Kuna mawili nikiona mke wangu ananichukulia poa..kwanza nitaona kama na yeye anafanya tena zaidi yangu so ananiinjoi tu...akikasirika nitamwelewa hasa kama huyo mtu nina flirt nae...

Dear Hny
sorry leo sitoweza kuja niko kwenye period jamani alafu si unajua na hasira zangu sijui hata kutakalika nikija
mbona ukunjulisha mapema kabla ya kuchukua chumba..sorry again
luv u

Msg kali sana hyo. Lazima yapatikane maelezo ya kunielewesha halafu sijui kama nitauamini uongo wake.

Tukiachana na incidence za meseji ya bahati mbaya (ambayo ni rare) je kama kweli huyo ni kimada wako; will you understand when your wife smiles??? Will it make you stop cheating?

Nawashauri wana ndoa, msiwe wepesi kufanyia maamuzi msg za simu. Binafsi Nimewahi kupatwa na incidents 3, nikopokea msgs za aina hiyo kutoka kwa 'wapenzi' nisiowajua kabisa. Yawezekana walinitumia kwa makosa (maana sizijui hizo namba) ama kwa makusudi.

Umeona eeh. Kwa kweli asitegemee amani baada ya hiyo meseji; lazima atoe maelezo ya kina na yaloyonyooka. Na bado the sender will be in the list for further investigation.

ikitokea hvyo ukweli na uongo utajulikana tu. Kama ni kidumu lazima utakuwa unahaha.

Na kama huna uhusiano na huyo mtuma SMS tatizo liko wapi. Si mnaongea na mnaelewana hasa kama mkeo anakujua vizuri atajua when you are telling truth or not.

Ni kweli kabisa mnajua tukidanganya...cha msingi ni kujua ukweli kabla huja react...hakuna kitu sipendi kama mtu kuja juu kabla hajachuja maelezo yangu...
Ukiwa hivyo mbona tutasonga kwa amani.

Mume wangu ni mwerevu... Na ni the type aki cheat, ni kazi saaana me as a wife ning'amue hilo.... Sio mshamba kiasi kwamba naweza kuta such a message, hivo nikiikuta nitajua mtumaji ndio wale waharibifu.... na alikua na hope nitaiona... Soln kwangu itakua kuipotezea... ili nisimpe faida/furaha (mtumaji).... na kumwambia Mume wangu "Mpenzi acha kutoa number Ovyo... ona sasa hadi vichaa wanakutumia message"

@Ashadii - Nadhani hiyo sentensi ndiyo inaitwaga "limbwata"! Wanawake wachache sana wanaweza kuwa na "hekima" kama hiyo!

Hii hapa ni kutoka - bell hooks:
The moment we choose to love we begin to move against domination, against oppression. The moment we choose to love we begin to move towards freedom, to act in ways that liberate ourselves and others. That action is the testimony of love as the practice of freedom.

Umeona eeh. Kwa kweli asitegemee amani baada ya hiyo meseji; lazima atoe maelezo ya kina na yaloyonyooka. Na bado the sender will be in the list for further investigation.

waliosema wanapotezea naona wametania tu au inawezekana usimuulize kitu kwa muda ule ukiendelea na uchunguzi, ukipata ushahidi wa kutosha unalianzisha..

Haya basi utapiga hayo makelele will that stop him from cheating huoni busara inahitajika zaidi kuliko ukali.

Umeona eeh. Kwa kweli asitegemee amani baada ya hiyo meseji; lazima atoe maelezo ya kina na yaloyonyooka. Na bado the sender will be in the list for further investigation.

Tukiachana na incidence za meseji ya bahati mbaya (ambayo ni rare) je kama kweli huyo ni kimada wako; will you understand when your wife smiles??? Will it make you stop cheating?

NK, nimeshapokea msgs tatu za aina hiyo kwa bahati mbaya, moja ilingia wakai simu iko mkononi mwake mke wangu, alinibana kwa maswali nilimjibu cmjui, mara 2 nyingine hakuziona . Kama angeziona hizo nyingine cjui ingekuwaje, naamini Mungu alituepusha maswali na ugomvi usio sababu

Mume wangu ni mwerevu... Na ni the type aki cheat, ni kazi saaana me as a wife ning'amue hilo.... Sio mshamba kiasi kwamba naweza kuta such a message, hivo nikiikuta nitajua mtumaji ndio wale waharibifu.... na alikua na hope nitaiona... Soln kwangu itakua kuipotezea... ili nisimpe faida/furaha (mtumaji).... na kumwambia Mume wangu "Mpenzi acha kutoa number Ovyo... ona sasa hadi vichaa wanakutumia message"
Umenifurahisha kwani niwachache wahivyo hivi hayo maskil umeyapata hapa jf au katika vicheni pati??Nakupa big up huyo uliyenaye anaraha zote maana kwangu ikikutwa kama yahivyo dah!najua mwenyewe kwani simu itabidi nihesabu sina simu hata kama itakuwa BB tuch!slide vyote vitaishia hapo nakuwa na budget mpya ya kununua simu!!lol!!

Mpenzi Asha D,
Congrats, sasa naomba msaada maana mimi hupigwa na mamii hata kabla sijala, sasa hii ingekutwa kwangu pangekuwa pekundu, NAKUOMBA NIKUONE UMSAIDIE WIFI YAKO!
Huwezi kugombea uwaziri wa kina mama TZ?
Kina dada walionyamaza wana madonge wangekuwa na skyrockets ungekiona!:hug:

Mume wangu ni mwerevu... Na ni the type aki cheat, ni kazi saaana me as a wife ning'amue hilo.... Sio mshamba kiasi kwamba naweza kuta such a message, hivo nikiikuta nitajua mtumaji ndio wale waharibifu.... na alikua na hope nitaiona... Soln kwangu itakua kuipotezea... ili nisimpe faida/furaha (mtumaji).... na kumwambia Mume wangu "Mpenzi acha kutoa number Ovyo... ona sasa hadi vichaa wanakutumia message"

mnaonaje tuakaanzisha chama cha wanaume wanaopigwa na wakezao(CHAWAWA) ili akichapwa mtu na ushahidi upo basi tunapeleka malamiko na huko naomba kuwepo na kamati ya nidhamu kama TFF ili tupunguze madaraka ya mwenyekiti na katibu wake washugulikie ndoa zilizoachana

I have my principles. Am not the kind of a woman anayeweza ku tolerate kuishi na serial cheater. Kama nimepiga makelele haija work I would rather make tough decision kuliko kuishi na ndoa ya serial cheater. Open relationship kwangu haikubaliki.

Haya basi utapiga hayo makelele will that stop him from cheating huoni busara inahitajika zaidi kuliko ukali.

Aaaah mie naangalia then nitafanya juu chini ajue nimejua basi nauchuna,tamaliza mabucha mangapi sasa

mnaonaje tuakaanzisha chama cha wanaume wanaopigwa na wakezao(CHAWAWA) ili akichapwa mtu na ushahidi upo basi tunapeleka malamiko na huko naomba kuwepo na kamati ya nidhamu kama TFF ili tupunguze madaraka ya mwenyekiti na katibu wake washugulikie ndoa zilizoachana

Kwa kutoa hili wazo wamaanisha na wewe wachezea kichapo kutoka kwa wife! Anzisha nitakupigia debe uwe mkiti japo sitakuwa mwanachama.

Mimi ninachowezakusema ni kuwa kama utakuta sms kama hiyo kwenye simu ya mwenzi wako usishtuke basi anza kujisearch na kujiuliza juu ya uzito wa penzi lako kwake!! Lazima utaumia sema tubusara inakuja kwenye namna utakavyoreact.

Mimi sijawahi kuwa na tabia ya kushika simu ya mwenzi wangu, na wala sitokaa ntamani kuigusa (Haimaanishi yangu nayo aione kituo cha polisi, la hasha) but kuna siku niliwahikujikuta 'nasukumwa' kuigusa......nawaambia sikuwezakushindana na ile nafsi ndani ya moyo wangu, nilikwenda kulala lakini bado inaniambia tu..kamata hiyo simu wewe acha ujinga!! nilipoikamata...ilikuwa mwanzo na mwisho but nilichokikuta huko kiliathiri kabisa mfumo wangu wa mapenzi kwake pamoja na kuwa sikumwuliza kwa takriban wiki nzima mpaka pale aliponibore kwa kunishtumu habari mbofu mbofu ndo uzalendo ukaniishinda but INAUMA.

Back
Top Bottom